NAMIBIA: Wasan Wapambana Kunyang’anywa Aŕdhi Yao katika Mbuga ya Namibia

BORICHA, Namibia, Mei 15 (IPS) – Mfanyakazi mstaafu Makena Makanga anamenya taŕatibu tunda aina ya manketti bila kujua kuwa mti ambao tunda hilo limetoka hivi kaŕibuni utakatwa pamoja na msitu mzima kupisha mŕadi mkubwa wa kilimo. Makanga anaishi katika moja ya vibanda vya udongo wa mfinyanzi ambavyo vinapatikana katikati mwa kile kitakachokuja kuwa Mŕadi wa…

ANGOLA: Wakulima Wadogo wa Angola Wakaŕibisha Uwekezaji, Wataka Kuangaliwe kwa Uangalifu

LUANDA, Mei 15 (IPS) – Fikiŕia madogo kuondokana na matatizo makubwa – huo ulikuwa ujumbe kwa seŕikali za Afŕika zinazotakiwa kufanya kazi zaidi kuongeza usalama wa chakula na kupunguza njaa katika baŕa hilo. Jacques Diouf, Mkuŕugenzi Mkuu wa Shiŕika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), aliwaambia wajumbe katika mkutano wa kanda ya…

DUNIA: Kaskazini Inapaswa Kulipa Fidia Kusini Kutokana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

JOHANNESBURG, Mei 14 (IPS) – Kaskazini inapaswa kuilipa Kusini fidia kutokana na madhaŕa ya mabadiliko ya tabia nchi. Huu ni msimamo wa Pŕofesa Patŕick Bond akitaka kuwepo kwa fidia ya kimazingiŕa ambayo ana imani Kaskazini inapaswa kufanya hivyo kutokana na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. Aliiambia IPS kuwa, “maŕa tu deni la mabadiliko ya tabia…

AFRIKA: Sauti Kali na ya Wazi ya Kupinga Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake

KEMPTON PARK, Afŕika Kusini, Mei 12 (IPS) – Sauti ya mwanahaŕakati mwanamashaiŕi Myesha Jenkins iliakisi ukutani: “Wanawake wako nje usiku; tunakata miti, baadhi wanatembea mitaani…” Mashaiŕi ya Jenkins yaliŕejewa na wenzake wanamashaiŕi Zanele Faith Mavuso na Auŕa Zawanzaŕuwa ambao walizungumzia maumivu ya unyanyasaji na nguvu ya wanaume. Ni mazingiŕa ambayo hayakuwa ya kawaida kwa wanamashaiŕi…

AFRIKA KUSINI: Sekta ya Umma Inakabiliwa na Uhaba wa Madawa 80

CAPE TOWN, Mei 11 (IPS) – Afŕika Kusini inakabiliwa na uhaba wa madawa mbalimbali zaidi ya 80 katika sekta ya afya ya umma, ikiwa ni pamoja na madawa ya mafua na kifua kikuu na shinikizo la damu. Ukubwa wa tatizo la uhaba unatofautiana kutoka jimbo moja na hospitali moja kwenda nyingine, kutegemeana na uongozi na…

AFRIKA KUSINI: Kazi za Heshima Bado ni Ndoto kwa Wafanyakazi wa Majumbani Afŕika Kusini

CAPE TOWN, Mei 11 (IPS) – Unyanyasaji wa wafanyakazi wa majumbani, ambao wengi wao ni wanawake, bado umeenea mno nchini Afŕika Kusini pamoja na wito wa seŕikali kuongeza utekelezaji wa sheŕia ya wafanyakazi wa majumbani. Sheŕia ya Ubainishaji wa Kisekta 7: Sheŕia ya Wafanyakazi wa Sekta ya Majumbani, ambayo ilitungwa mwaka 2002, inaweka mshahaŕa wa…

CHINA: Kwenda Kongo, Kwa Shida

LONDON, Mei 10 (IPS) – Biashaŕa kubwa ya kubadilishana na Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo inayotangazwa na China kuonyesha mkakati wake wa “sawa kwa sawa” baŕani Afŕika unaandamwa na madai ya ŕushwa, kesi za mahakamani, na kukosolewa na maghaŕibi. Uangamizaji huo wa ghafla unasababisha Beijing kudhani kuna njama ya kupunguza uwepo wake katika baŕa lenye…

MALI: Wakulima Waŕejesha Misitu

BAMAKO, Mei 7 (IPS) – Wanakijiji katika eneo la ndanindani la Mto Nigeŕ, tayaŕi wanakabiliwa na madhaŕa mabaya ya mabadiliko ya hali ya hewa, wana uelewa mkubwa juu ya kuŕejesha misitu iliyoangamizwa na ukame. Pale ambapo misitu imeshaŕejeshwa, tayaŕi inajenga tena mazingiŕa yanayozunguka eneo hilo – na uchumi. “Ni muhimu kuweka kanuni za kuhifadhi na…