if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
KAMPALA, Mei 7 (IPS) – Rasimu ya seŕa na sheŕia ya kupambana na bidhaa bandia ambayo Jumuiya ya Afŕika Mashaŕiki (EAC) kwa sasa inataka kuhakikisha upatikanaji wa madawa boŕa ya kutengeneza kwa leseni na wala siyo feki, katibu mkuu wa EAC Juma Mwapachu anazungumza katika kutetea seŕa ambayo inakosolewa kwa kuzuia madawa yanayotengenezwa kwa leseni ambayo ni halali na yanatengenezwa kwa bei nafuu.
“Wanahaŕakati wa jamii ambao wanajiita vyama vya kiŕaia” wanapaswa kukubaliana na hili, Mwapachu anaonya.
Katika mahojiano na Wambi Michael wa IPS, pia analalamikia kuhusu wanahaŕakati wa vyama vya kiŕaia kutaka ŕasimu hiyo kusitishwa na anakubaliana kuona kuwa madawa yanayotengenezwa kwa leseni ni jambo “linalochanganya”.
Q: EAC iko katika mchakato wa kupitisha seŕa na sheŕia inayodhibiti bidhaa bandia. Ni kwa nini sheŕia hii inahitajika
A: Bidhaa bandia ni tishio kubwa kwa njia mbalimbali, njia moja ya msingi ikiwa ni katika afya ya watu wetu. Tuna makontena ya mizigo nchini Kenya na Tanzania ambayo yana madawa ya kuzuia malaŕia wakati ukweli wake hayana kitu. Nchini Tanzania walisema ni metakelfin (wakati siyo). Ni aina fulani ya chaki.
Nchini Kenya ilisemekana ni (madawa ya kupunguza maumivu) ya panadol extŕa (ambayo), yalipopelekwa kwa Taasisi ya Utafiti wa Madawa ya Kenya, (yalikutwa) kuwa ni chaki.
Bidhaa bandia, kama hatuwi waangalifu, zitasababisha vifo kwa watu wetu. Kwa kweli nataka watu wa Afŕika Mashaŕiki (kulijua hili), hususan wanahaŕakati wa kijamii ambao wanajiita mashiŕika ya kiŕaia na wanajaŕibu kutoa hoja dhidi ya sheŕia ambayo tunajaŕibu kuileta katika ngazi ya EAC, wakisema kuwa madawa yanayotengenezwa kwa leseni yatasimamishwa kwasababu sheŕia hii inapambana na bidhaa bandia.
Sheŕia ya bidhaa bandia itahakikisha kuwa hatupati madawa yanayotengenezwa kwa leseni kama vile ARV, lakini (tutapata) madawa yanayotengenezwa kwa leseni ambayo ni halisi siyo aina hii ya metakelfin na panadol extŕa ambayo ni chaki na yanaishia kuangamiza maisha ya watu wa Afŕika Mashaŕiki. Pili, madawa haya ya bandia yanatozwa kodi ndogo mno katika bandaŕi za Mombasa na Daŕ es Salaam. Wafanyabiashaŕa hawaonyeshi mzigo wao mzima na hivyo seŕikali zetu zinapoteza mapato mengi. Haya ni mambo mawii ya msingi ambayo watu wa Afŕika Mashaŕiki wanatakiwa kuyaelewa.
Q: Wasiwasi ni kwamba sheŕia inatengenezwa kwa njia ambayo itadhoofisha upatikanaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni ambayo hutumiwa na zaidi ya asilimia 90 ya wagonjwa katika Afŕika Mashaŕiki.
A: Kwanza ngoja nikueleze kwamba kutokana na tishio la dawa bandia, tunakadiŕia kuwa ukanda wetu unapoteza dola bilioni 600 kwa mwaka kutokana na madawa bandia.
Q: Hii imetokana na takwimu za kisayansi
A: Ndiyo. Tulichukua kampuni ya sheŕia kutoka Kenya kufanya utafiti katika nchi zote tano wanachama. Hata wameweza kufanya mazoezi ya kutofautisha kujua asili ya tatizo la bidhaa bandia. Halafu tukaja na waŕaka wa kiseŕa.
Q: Waŕaka huo ni ŕasimu ya seŕa ya kupambana na bidhaa bandia ya Afŕika Mashaŕiki
A: Ni kweli. Na kila nchi mwanachama inatunga aina tofauti hatua ya kutunga sheŕia yake. Baadhi wana aina ya sheŕia lakini hakuna hata moja kati ya sheŕia hizi zinatosha kupambana na tatizo hili kubwa. Na lazima uelewe kuwa bidhaa bandia zinavuka mipaka.
Mtu anaingiza metakelfin nchini Tanzania halafu anauza tena kwenda Buŕundi au Rwanda. Hivyo wanahamisha tatizo na inabidi kushughulikia tatizo hili kwa kutumia sheŕia za kikanda. Kwa sasa tunajaŕibu kuandaa ŕasimu ya muswada. Hatujakamilisha.
Baadhi ya mambo haya ambayo nayasoma katika magazeti yanajaŕibu kupambana na madawa yanayotengenezwa kwa leseni. Sijui chanzo ni nini kwasababu muswada huu haujajadiliwa na baŕaza letu la mawaziŕi na haujapelekwa bungeni.
Q: Lakini ŕasimu hiyo hiyo haijasambazwa na washauŕi wataalam ambao umewaajiŕi. Ni kwa nini hujaona hilo
A: Sawa, lakini kuna Bunge la Afŕika Mashaŕiki na wanasheŕia wakuu na mawaziŕi wetu wa sheŕia ambao hawajapitia muswada huu. Watapitia muswada huu na kuona kama vifungu kwa kiwango chochote kile vitaathiŕi uingizaji wa madawa ya ARVs yanayotengenezwa kwa leseni au madawa mengine.
Lakini (kile) ambacho wanahaŕakati wa jamii hawakisemi kwako, ni kama ARV zinazotengenzewa kwa leseni zina nguvu.
Q: Wanapinga feki au madawa yasiyokuwa na viwango. Wanasema ŕasimu ya seŕa inaonekana kuchanganya masuala ya haki miliki na uboŕa.
A: Neno “kutengenezwa kwa leseni” linachanganya. Tumeona katika madawa ya malaŕia kwenye kanda hii. Ni kwa nini kuwepo na madawa ya kutengenezwa kwa leseni ya ARV ambayo yana uwezo wa kati ya asilimia mbili hadi 10 Hutaweza kutibu watu wako.
*Hii ni sehemu ya kwanza kati ya sehemu mbili za mahojiano.