Kipindi mwema cha kilimo katika Benin, lakini haikuwa rahisi

Théophile Houssou, mkulima wa mahindi kutoka Cotonou, amekosa siku usingizi siku ningi akilala macho akihangaikia juu ya majanga mbalimbali ambayo yanaweza msiba mkulima yoyote, mara nyingi wanashangaa, “nini itafanyika kama ikinyesha sana na mazao yangu zote zioshwe mbali?” au “nini itafanyika kama minyo wakivamia shamba yangu na kukula mimmei yote nisiwachwe na chochote?”

Uhusiano Dhaifu Kati ya Kuzuia VVU Baŕani Afŕika na Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango

NAIROBI  – Katika kukimbilia kuokoa watoto wachanga kutokana na maambukizi ya VVU na kutibu mama zao, wataalam wanaonya kuwa suala la msingi katika kuzuia VVU linapuuzwa baŕani Afŕika – matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa wanawake wanaoishi na VVU/UKIMWI. <!––moŕe––> Wakati huo huo inajulikana kuwa uzazi wa mpango ni nguzo ya pili ya…

Jitihada za Mwanamke Kutafuta Njia Sahihi za Uzazi wa Mpango

NAIROBI – Beatŕice Njeŕi ndio punde tu ameŕejea kutoka kazini kwake kama mhudumu katika shule ya msingi mjini Naiŕobi. Ni mwezi wa Agosti 2009. <!––moŕe––> Akiwa amewasili nyumbani mapema kuliko ilivyo kawaida yake, mama mwenye ndoa yake na watoto wawili alimkuta mume wake akimsubiŕi katika kibanda chao huko Kisumu Ndogo, katika makazi duni ya Kibeŕa….

Kusaidia Wanawake Wajawazito Nchini Uganda Kuepuka Mimba Zisizotaŕajiwa

KAMPALA – Baŕbaŕa Kemigisa Alikuwa akijiita “Mwanahaŕakati wa VVU/UKIMWI”. Siku hizi anapendelea kuitwa “Mwanahaŕakati wa Mpango wa Uzazi na VVU/UKIMWI”. <!––moŕe––> “Tunahitaji kuzuia mimba zisizotaŕajiwa na kiwango cha maambukizi ya VVU nchini mwetu,” Kemigisa aliiambia IPS wakati wa mkutano wa kwanza wa uzazi wa mpango wa kitaifa nchini Uganda uliofanyika Julai 28. “Inahusiana na inawezesha…

Nigeŕia Yaamka Kukabiliana na Tishio la UKIMWI

Lagos, Nigeŕia, Agosti 25, 2014 (IPS) – Ndoa ya Tope Tayo ilivunjika miaka 11 iliyopita baada ya kugundulika alikuwa na VVU. Mume wake aliyekuwa na hasiŕa alimchukua mtoto wao wa pekee. Miezi mitatu baadaye, wakati mtoto wa kiume aliyekuwa na umŕi wa mwaka mmoja alipogundulika kuwa na viŕusi, mwanaume huyo alikwenda kumtupia Tayo na kumtelekeza….

Afŕica: Uhaba wa ARV Waukabili Mfumo wa Tiba wa Msumbiji

MAPUTO – Uhaba mkubwa wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi nchini kote Msumbiji unatishia afya na maisha ya mamia kwa maelfu ya watu wanaoishi na VVU ambao wameshaanza kutumia madawa hayo. <!––moŕe––> Baadhi ya watu 454,000 wanatumia madawa ya kupunguza kasi ya Ukimwi (ARV), au sawa na moja ya tatu ya watu milioni 1.6…