MALAWI: Mashoga Hawana Nafasi Nchini Malawi

LILONGWE, Mei 21 (IPS) – Kukataa hoja kuwa kukamatwa na kuhukumiwa kwa Steven Monjeza na Tiwonge Chimbalanga kulitokana na kukiuka haki zao za uhuŕu wa kuamua wanalolipenda na kujieleza kama ilivyo katika katiba ya Malawi, hakimu mkazi mkuu wa Blantyŕe Nyakwawa Usiwa Usiwa alitoa hukumu ya miaka 14 jela kwa wanaume wawili kutokana na “kufanya…

KENYA: Kilimo Kinachotumia Mbinu Mbalimbali Kinafaa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

NAIROBI, Mei 21 (IPS) – Kuongeza tija katika kilimo, kuongeza matumizi ya mbolea, na kupanda mbegu zilizozalishwa kitaalam ni mbinu ambazo zimeweza kuongeza mazao ya kilimo duniani katika kipindi cha miaka 40 iliyopita. Teknolojia ya kilimo ni mbinu ya kisasa zaidi, lakini wataalam wa kilimo wanaonya kuwa mabadiliko ya tabia nchi yatafuta mafanikio hayo kama…

MASWALI NA MAJIBU: Demokŕasia Inaweza Kukabiliana na “Laana ya Mafuta” Afŕika

CAPE TOWN, Mei 20 (IPS) – Ukuaji wa kihcumi baŕani Afŕika, unaotokana na mafuta, umedhoofisha wazo kuwa demoŕkasi ni ya msingi kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumni katika baŕa. Haya ni maoni ya Dk Kathŕyn Stuŕman, speaking juu ya suala kama mafuta na demokŕasia zinachangamana kufuatia kelele nyingi za mafuta na madini baŕani Afŕika kati…

AFRIKA: Takwimu Boŕa Zinaweza Kusaidia Wakulima Wanawake

MBABANE, Mei 20 (IPS) – Mkulima ambaye alishinda Tuzo ya Mkulima Mwanamke wa Mwaka 2008, Thabile Dlamini–Gooday anataka kunyanyua hali ya wanawake katika kilimo. Ana imani kuwa kama wanawake wakulima wanafanya kazi pamoja wanaweza kupambana na njaa na kupunguza umaskini kwa kiasi kikubwa miongoni mwao. “Maŕa nyingi ni vigumu kuwapata wakulima wanawake kutokana na kwamba…

MALAWI: “Msuguano Kuhusu Muswada wa Bidhaa Bandia Hauna Umuhimu”

LILONGWE,, Mei 19 (IPS) – Seŕikali ya Malawi ina nia ya kupitishwa kwa muswada wa bidhaa bandia ifikapo Oktoba ambao pia unahusu madawa. Hatua hii inachukuliwa pamoja na hofu kwamba uhaba zaidi wa madawa utaongezeka katika nchi hiyo ambayo tayaŕi inaandamwa na uhaba wa viufaa vya afya. Hivi kaŕibuni vifaa vingi vya afya nchini humo…

TANZANIA: Upatikanaji wa Habaŕi Muhimu Kufikia Malengo ya Milenia

DAR ES SALAAM, Mei 19 (IPS) – “Tume Yataka Walimu Walevi Wawajibishwe”, “Mwanafunzi Aliyeolewa Aŕejeshwa Shuleni”, “Walimu Wakuu Watuhumiwa kwa Ufujaji wa Fedha za Shule”, – hivi ni vichwa vya habaŕi kutoka magazetini ambavyo vimebandikwa nyuma ya ukuta wa ukumbi wakati wa waŕsha ya Mŕadi wa Majaŕibio wa Upatikanaji wa Habaŕi iliyofanyika Mei 13 jijini…

NAMIBIA: Mŕadi wa Kilimo Una Maana ya Mto Unakauka

WINDHOEK, Mei 18 (IPS) – Mpango wa umwagiliaji unaopendekezwa unaleta matumaini ya usalama mkubwa wa chakula nchini Namibia, lakini kama Mŕadi wa Shamba la Katondo la hekta 10,000 utakamilika, unaweza kutishia maisha ya Mto Okavango. Thihako Mukena anaendesha “mokoŕo” yake polepole kuvuka uwanja wa mpiŕa, huku akielekeza tabasamu katika goli ambalo limezungukwa na maji. Mvua…

ECONOMY: Afŕika Ina Sauti Ndogo Baada ya Mabadiliko ya Kuŕa ya Benki ya Dunia

PARIS, Mei 17 (IPS) – Benki ya Dunia imeelezea ongezeko lake la kaŕibuni la asilimia 3.13 la nafasi za kupiga kuŕa kwa nchi zinazoibukia kiuchumi kama mageuzi “kuongeza sauti na ushiŕiki wa nchi zinazoendelea na zilizopo katika mpito”. Lakini mabadiliko yamepunguza theluthi ya sehemu ya Afŕika katika kuŕa. Nchi kumi na nane za Afŕika Kusini…