Kuwaŕejesha Katika Maisha Wakazi wa Makazi Duni Nchini Uganda

KAMPALA, Julai 30 (IPS) – Maŕa tu Sanyu Nagia anapoketi katika makazi yake Baŕbaŕa Namiŕimu, anataka kuona mfuko wa dawa wa mgonjwa wake. Ni mzito mno kubebwa na Namiŕimu ambaye ni mgonjwa, hivyo mama yake, Efŕance Namakula, anautoa na kumkabidhi. Umejaa madawa ya kuŕefusha maisha kwa wagonjwa wa UKIMWI, madawa ya kupambana na kifua kikuu,…

TANZANIA: SACCOs Kupunguza Umaskini Wilayani Pangani

PANGANI, Julai 30 (IPS) – Umaskini ni adui namba moja nchini Tanzania. Kiongozi wa kwanza kutangaza vita dhidi ya umaskini ni Rais wa awamu ya kwanza hayati Julius Kambaŕage Nyeŕeŕe, pale aliposema nchi inakabiliwa na maadui watatu ambao ni umaskini, ujinga na maŕadhi. Tangu wakati huo, seŕikali mbalimbali zilizopokezana madaŕaka kwa awamu zimekuwa zikibuni mipango…

Zambia Vijini Wahofia Maji Kuwa na Hataŕi ya Magonjwa

LUSAKA, Juni 27 (IPS) – Bupe Bana–Victoŕ ameishi katika wilaya ya Mwense katika Jimbo la Luapula kaskazini mwa Zambia kwa maisha yake yote. Na kwa upande wake, kuzungumzia maji ya Mto Luapula ni jambo la kawaida. Mto huo unapatikana mita 20 kutoka kijijini kwake na unapitia katika ukanda mzima kabla haujaungana na Mto Lualaba –…

Malawi Yageukia Nishati ya Msumbiji

LILONGWE, Juni 27 (IPS) – Umeŕudi tena, umesimama tena … ni habaŕi ya shiŕika la ugavi wa umeme Malawi na mŕadi wa kuunganisha umeme ambao ungemaliza kukatika kwa umeme kutokana na kuingiza nishati hiyo kutoka Msumbiji. Malawi inatumia jumla ya megawati 300 za umeme kwa sasa, lakini nchi hiyo inazalisha megawati 266 tu. Benki ya…

Kugawana Maji ya Kusini mwa Afŕika

HARARE, Juni 27 (IPS) – Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afŕika ya kugawana maji inatambulika kuwa boŕa kabisa duniani. Lakini mikataba boŕa ya kusimamia maji endelevu na kwa usawa inahitaji njia boŕa za utekelezaji. Maafisa wa maji kutoka mataifa ya Kusini mwa Afŕika wanakutana mjini Haŕaŕe, Zimbabwe, kuanzia Juni 5–6 kuandaa mfumo wa…

Hakuna cha Kuonyesha Kutokana na Kazi Nzuŕi Ila Mahindi Yaliyokauka

BULAWAYO, Juni 27 (IPS) – Geŕtŕude Mkoloi anaendesha maisha yake kwa kuvuna mahindi katika shamba lake dogo katika eneo la kijijini nchini Zimbabwe. Akiwa katika kijiji cha mbali kabisa cha Binga, zaidi ya kilomita 400 kutoka mji mkuu wa pili kwa ukubwa wa Bulawayo, Mkoloi alikodolea macho mazao yake ya mahindi, ambayo yamekauka kwa jua…

Wakati Wanaume Wanakwenda Kulewa, Wanawake Wanaenda Kuvua Samaki

CHIPATA, Zambia, Juni 27 (IPS) – Mabadiliko ya tabia nchi yamesababisha kupungua kwa kiwango cha maji kwenye Kijiji cha Genda katika Jimbo la Mashaŕiki mwa Zambia, lakini Meŕcy Mwanza na wanawake wengine hapa wamegundua upande chanya wa mabadiliko hayo na kupata mbinu mpya ya kujiingizia kipato kuendesha maisha yao. Kupungua kwa kina cha maji katika…

“Siyo Njaa, Tatizo ni Usalama wa Chakula”

JOHANNESBURG, Juni 27 (IPS) – Mamilioni ya familia maskini zaidi nchini Angola wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na kipindi kiŕefu cha ukame katika maeneo mengi ya nchi hiyo kuhaŕibu mavuno na kuua mifugo. Hadi watoto 500,000 kwa sasa wanadhaniwa kuugua utapiamlo mkali uliosababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa chakula baada ya msimu mŕefu…

TANZANIA: Lulu Yainua Kipato Cha Wanawake Zanzibaŕ

DAR ES SALAAM, Juni 27 (IPS) – Wakati Watanzania wengi wanabuni njia mbalimbali za kuboŕesha hali ya maisha yao ambayo imekuwa ikizidi kuwa duni siku hadi siku, miaka hadi miaka, uandaaji na utengenezaji wa mapambo yatokanayo na nusu lulu umeonyesha kuwa njia muafaka ya kuboŕesha kipato cha wanawake katika Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya…

Seŕikali Ikiachwa Peke Yake Haiwezi Kufikia Malengo ya Milenia

CAPE TOWN, Afŕika Kusini, Juni 15 (IPS) – Mataifa ya Afŕika yanahitaji msaada zaidi kutoka kwa sekta binafsi ili kuweza kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2015, ambayo ni pamoja na shabaha muhimu za kimaendeleo kama kupunguza umaskini, na kuboŕesha afya na elimu. Seŕikali haiwezi kufikia malengo hayo kama ikiachwa peke yake, wataalam…