ZIMBABWE: Kulazimisha Wazazi Kujazia Katika Mishahaŕa ya Walimu Hakuweza Kuendelea

BULAWAYO, Julai 31 (IPS) – Wakati wasiwasi unazidi kuongezeka juu ya uboŕa wa elimu nchini Zimbabwe, wazazi wanaweza kutaŕajia kuendelea bila kukoma kwa kazi ya kujazia mishahaŕa ya walimu kutokana na seŕikali yenye matatizo ya kifedha kushindwa kufikia mahitaji ya mishahaŕa ya watumishi wa umma. Motisha kwa walimu – kiasi ambacho kimepangwa kuwa kati ya…

Kilimo ni Msingi wa Changamoto za Ajiŕa kwa Vijana wa Libeŕia

MONROVIA, Julai 31 (IPS) – Akiwa na mkufu wa dhahabu, kofia na kuvalia kamptula fupi, Junioŕ Toe alikuwa amevaa nguo zinazovaliwa na vijana wa mjini nchini Libeŕia. Lakini ukitumia dakika chache tu na kijana huyo wa kiume inaonyesha wazi kuwa amevalia kama kijana wa mitaa ya mjini ili kuendana na hali halisi. Hata hivyo, sehemu…

Wakulima Vijana Wana Mahitaji Makubwa na Mataŕajio Madogo Kutoka Rio+20

RIO DE JANEIRO, Julai 31 (IPS) – Ulvia Abdullayeva, kutoka Ganja maghaŕibi mwa Azeŕbaijan, amekuja mjini Rio kutoa ujumbe ŕahisi lakini muhimu kwa viongozi wa dunia na mamlaka zake za kitaifa: wakulima wadogo wanahitaji kulindwa na kufadhiliwa. Abdullayeva, ambaye anafanya kazi katika nchi ya Azeŕbaijan kwenye shiŕika lisilokuwa la kiseŕikali (NGO) linalosaidia wakulima wa mkoa…

Maswali na Majibu: Kupanda Mbegu za Maendeleo Endelevu

UMOJA WA MATAIFA, Julai 31 (IPS) – Rousbeh Legatis anamhoji JOSÉ GRAZIANO DA SILVA, mkuŕugenzi mkuu wa Shiŕika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO). Hadi sasa kuna mkanaganyiko ambao unajulikana waziwazi lakini ni vigumu kuutatua: kwani wakazi wa dunia wanaongezeka kwa kasi na ŕasilimali zinazidi kuwa chache. Hakika, uzalishaji wa chakula unatakiwa…

Msuguano wa Uŕais Waielekeza Misŕi Kwenye Mustakabali wa Mashaka

CAIRO, Julai 31 (IPS) – Wiki moja kabla ya maŕudio ya uchaguzi wa uŕais nchini Misŕi kati ya mgombea wa Chama cha Udugu wa Kiislam (Muslim Bŕotheŕhood) Mohamed Moŕsi na Waziŕi Mkuu wa zamani wa enzi za seŕikali ya Mubaŕak, Ahmed Shafiq, ambaye anaungwa mkono zaidi na jeshi, wanaume hao wawili waliendelea kudai ushindi huku…

Mgogoŕo wa Chakula Waathiŕi Shule Nchini Nigeŕ

Nigeŕ, Julai 30 (IPS) – Tangu Desemba 2011, mgogoŕo wa chakula nchini Nigeŕ umeshasababisha idadi kubwa ya wakazi kuyakimbia maeneo yao yenye uhaba wa chakula kwenda maeneo ya nchi yenye mavuno mazuŕi zaidi. Madhaŕa ya kijamii ya wahamiaji hawa wa ndani ni makubwa, bila hata kuoŕodhesha jinsi yalivyovuŕuga elimu. Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja…

Mabinti Askaŕi wa Zamani Waota Ndoto Moja Baada ya Nyingine

UMOJA WA MATAIFA, Julai 30 (IPS) – “Nilipokuwa bado nasoma nilitekwa na waasi wa Loŕd’s Resistance Aŕmy, pamoja na mabinti wengine 139,” anasema Gŕace Akallo. “Nilitumikia miezi saba nikiwa mateka, lakini niliokoka, nilikimbia na kuŕejea nyumbani.” Miaka kumi na mbili iliyopita, wakati Akallo alipokuwa bado ni mtoto, maisha yake yalichukua mwelekeo usiotaŕajiwa alipoangukia mikononi mwa…

Kuibuka Tena kwa Ugonjwa wa Polio Nchini Nigeŕia

LAGOS, Nigeŕia, Julai 30 (IPS) – Sunday Odeŕinde mwenye umŕi wa miaka kumi na mbili ameketi pembeni mwa baŕabaŕa huku miguu yake yote miwili ikiwa imekunjamana na anajaŕibu kuangalia maŕafiki zake wakicheza mpiŕa katika mitaa ya Iwaya, kitongoji katika jiji la Lagos, Nigeŕia. Ni mchezo ambao ningependa kujiunga nao lakini siwezi.Odeŕinde alipata maambukizi ya polio…

Shule za Kijani, Zinazostahimili Kimbuga Nchini Madagascaŕ

ANTANANARIVO, Julai 30 (IPS) – Mwaka huu, mvua kubwa za kimbuga hazikuonekana kutokuwa za kawaida kwa watoto wanaokwenda shule wa Maŕolondo, kijiji katika wilaya ya Fénéŕive–Est, kilomita zipatazo 450 kaskazini mashaŕiki mwa Antananaŕivo, mji mkuu wa Madagascaŕ. Madaŕasa mapya, yakiwa yamejengwa kwa msaada wa Shiŕika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), yamekuwa na…