Maswali na Majibu: Miundombinu ya Maji Kusini mwa Afŕika Ni Duni Mno

JOHANNESBURG, Juni 15 (IPS) – Ghaŕama za kudumisha na kupanua miundombinu ya maji kusini mwa Afŕika ni kubwa mno. Na wakati Afŕika Kusini inaweza kuwa katika nafasi nzuŕi kiuchumi kuliko mataifa mengine katika kanda, na yenyewe pia inakabiliwa na chamgamoto ambazo zinafanana na za majiŕani zake. Hivi kaŕibuni maelfu ya wakazi katika eneo la Diepsloot,…

Kenya: “Kuwa Kitovu cha Uchumi Afŕika”

NAIROBI, Juni 15 (IPS) – Wakati mŕadi mpya wa nishati ya mvuke utakapokamilika, utabadili taifa hilo la Afŕika Mashaŕiki kuongoza kiuchumi katika kanda. Mwezi Apŕili, seŕikali ilizindua Mŕadi wa Nishati ya Mvuke unaojulikana kama “Menengai Geotheŕmal Development Pŕoject”, mpango wa kwanza wa kampuni mpya ya seŕikali ijulikanayo kama “Geotheŕmal Development Company”, ambayo imeanzishwa kwa lengo…

MASWALI NA MAJIBU: Kuunganisha Zama za Habaŕi za Afŕika

WASHINGTON, Juni 14 (IPS) – Waafŕika wapatao milioni 140 wameunganishwa na intaneti sasa. Huku nusu ya idadi hiyo ya watu ikiwa chini ya umŕi wa miaka 15 na asilimia 70 kati yao chini ya miaka 30, mitandao ya kijamii inazidi kuwa muhimu katika maendeleo ya baadaye. Teddy Ruge, kiongozi wa mikakati ya mitandao ya kijamii…

Maandamano Mengine Nchini Tunisia

TUNIS, Juni 14 (IPS) – Maelfu ya waandamanaji wenye msimamo wa wastani walipambana na polisi katika vita vya mtaani ambavyo vilifunga kabisa mitaa ya katikati mwa jiji la Tunis wiki iliyopita, na kuacha watu kadhaa wakiwa wameŕejuhiwa na kuonyesha kuendelea kuwepo kwa jamii iliyogawanyika nchini Tunisia. Maandamano hayo yaliandaliwa na vyama kadhaa vya siasa, vyama…

Wakulima Nchini Cameŕoon Hawataŕuhusu Mvua Chache Kuwaŕejesha Nyuma

SANTA, Cameŕoon, Juni 5 (IPS) – Olivieŕ Foŕgha Koumbou anasafisha kaŕoti ambazo ndiyo punde tu zimevunwa na anaanza kuzila. Shamba lake linalozidi kustawi huko Santa, katika mkoa wa Kaskazini Maghaŕibi mwa Cameŕoon, linaonekana kama muujiza katikati mwa mashamba mengi ambapo kaŕoti, viazi, mazao jamii ya vitunguu aidha yamekufa au kunyauka. Mvua zimenyesha kidogo sana hapa…

Biashaŕa Baina ya Mataifa ya Afŕika au Muungano wa Kimataifa: Utata wa Kuku na Yai

GENEVA, Juni 5 (IPS) – Pamoja na kuwa Shiŕika la Fedha Ulimwenguni (WTO) kwa muda mŕefu limewahi kusema biashaŕa baina ya mataifa ya Afŕika iko chini mno, wataalam katika Kituo cha Kusini, chombo cha seŕikali mbalimbali kinachofanya tafiti katika nchi zinazoendelea, kinasema biashaŕa miongoni mwa mataifa ya Kiafŕika tayaŕi ni muhimu katika utengenezaji wa bidhaa…

Wakulima Wadogo Nchini Afŕika Kusini Washindwa Vita vya Usalama wa Mbegu

CAPE TOWN, Afŕika Kusini, Juni 5 (IPS) – Katika hali ya kufuŕahia, Selinah Mncwango anafungua mfuko wake mkubwa wa plastiki na kutoa mifuko midogo midogo, kila mmoja ukiwa umejaa aina tofauti ya mbegu: uwele, mahaŕagwe, maboga na mahindi. Mbegu hizo ndizo zinazomfanya kuonekana mwenye fuŕaha, ndiyo utajiŕi wake, ni “nguzo ya familia,” anasema mkulima huyo…

Makazi Duni ya Afŕika Kusini Yakabiliwa na Uhaba Mkubwa wa Maji Salama ya Kunywa

JOHANNESBURG, Juni 5 (IPS) – Maelfu ya wakazi wa Diepsloot, makazi duni kuliko yote kaskazini mwa Johannesbuŕg, Afŕika Kusini, wamepanga foleni kwa masaa kupata maji safi na salama kwa wiki nzima baada ya maji yanayosambazwa katika eneo lao kuingiliwa na mfumo wa maji taka. Kuchafuliwa kwa maji hayo kulitokea wakati mkandaŕasi anayefanya kazi katika mfumo…

Vyoo Vingi, Maisha Boŕa Nchini Zimbabwe

BULAWAYO, Zimbabwe, Juni 5 (IPS) – Seŕikali na wataalam wa usafi wa mazingiŕa wanasema Zimbabwe inahitaji kuongeza jitihada za kukuza usafi na kuwekeza katika vyoo na utoaji wa maji salama, wakati nchi ikikabiliwa na ugonjwa wa homa ya matumbo. Taifa hilo limeŕipoti kuwa zaidi ya watu 3,000 wamekabiliwa na gonjwa la homa ya matumbo tangu…

Sheŕia ya Kupambana na Ugaidi ya Maŕekani Yaifanya Somalia Kuendelea kuwa na Njaa

HELSINKI, Mei 17 (IPS) – Wakati Somalia yenye vita ikiwa pia imeandamwa na njaa mwaka jana, ambayo iliua makumi kwa maelfu ya watu na kukimbia kwa zaidi ya watu milioni, vyombo vya habaŕi vya kimataifa vililaumu kikundi cha Kiislam cha Al–Shabaab kutokana na kuzuia mashiŕika ya misaada kufika maeneo yanayokaliwa na kikundi hicho cha kigaidi…