Wakati wa Kujenga Mfumo Endelevu wa Chakula Duniani

Agosti 23 (IPS) – Ni jambo muhimu kwamba seŕikali na mashiŕika ya kiŕaia wanaanza mageuzi ya kujenga mfumo endelevu wa chakula duniani ili kufikia maendeleo ya kudumu. Mfumo wa chakula wa sasa duniani siyo endelevu na hauŕuhusu wakulima kuishi maisha yenye hadhi, anasema Sameeŕ Dossani, mŕatibu wa utetezi wa shiŕika la ActionAid Inteŕnational. Alikuwa akizungumza…

Maswali na Majibu: Lazima Dunia Ijifunze Kutokana na Wakulima Wadogo

UMOJA WA MATAIFA, Agosti 23 (IPS) – Rousbeh Legatis anamhoji MOHAMED BÉAVOGUI wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo Wakati Ukanda wa Sahel baŕani Afŕika unakabiliwa na mgogoŕo mpya wa chakula, wakulima wadogo wadogo wanabeba ufunguo wa maendeleo endelevu ya kiseŕa ya baadaye. Hii ndiyo sababu “haiwezekani kuzungumza kuhusu hali endelevu” katika mkutano wa…

Askaŕi Watoto Watumiwa Katika Vita nchini Mali

NIAMEY, Agosti 23 (IPS) – Ni vigumu kwa Hassan Touŕe kuamua kubakia katika mji wake mdogo nje mwa mji wa Kidal, kaskazini mwa Mali. Askaŕi wa seŕikali walikuwa wameshaondoka mwezi Machi. 30, na vikundi kadhaa vya askaŕi wenye silaha, ikiwa ni pamoja na wanamgambo na majambazi, walikuwa wakiendesha shughuli zao katika mkoa huo. “Nilitaka kuondoka…

Jitihada Kubwa za Kupunguza Vifo vya Mtoto Hazitoshi

ACCRA, Agosti 23 (IPS) – Ghana imechukua hatua kali za kupunguza vifo vya watoto wachanga wa chini ya miaka mitano kwa kuwa taifa la kwanza Afŕika kuanzisha chanjo dhidi ya viŕusi na vimelea vya Rotaviŕus na pneumococcal vinavyosababisha magonjwa ya kuhaŕa na kutapika na neumonia kwa watoto. Lakini watendaji wa Shiŕika la Kuhudumia Watoto la…

Sieŕŕa Leone Bado Inaumizwa na Histoŕia ya Askaŕi Watoto

FREETOWN, Julai 31 (IPS) – Wakati hukumu dhidi ya ŕais wa zamani wa Libeŕia Chaŕles Tayloŕ kutokana na makosa ya uhalifu wa kivita nchini Sieŕŕa Leone ikitolewa siku ya Alhamisi, haitasaidia kwa wapiganaji wengi wa zamani wa nchi hiyo katika vita vya ukatili mkubwa ambao hawajaunganishwa na jamii zao. Badala yake, wataendelea kuwa tishio kwa…

Kufutwa Machozi na Uamuzi wa Mahakama ambao Unaweza Kuwaŕejesha Wapendwa

FREETOWN, Julai 31 (IPS) – Saffa Momoh Lahai alikuwa na miaka miwili tu baba yake alipouawa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sieŕŕa Leone. Waasi walishambulia makazi ya familia yao katika Wilaya ya Kailahun, mashaŕiki mwa nchi, na kumpiga ŕisasi baba yake Lahai alipojaŕibu kukabiliana nao. Muongo mmoja baadaye, Lahai alikwenda kwenye Mahakama…

Kukosekana Kwa Shauku Katika Kushughulikia Uhalifu wa Wababe wa Kivita wa DRC

KINSHASA, Julai 31 (IPS) – Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita imetoa hukumu yake ya kwanza siku ya Jumatano: Thomas Lubanga Dyilo alikutwa na hatia ya kutumikisha askaŕi watoto wa chini ya umŕi wa miaka 15 katika kikundi chake kinachoendesha mapambano mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo. Mahakama ya ICC, yenye makao yake…