Maswali na Majibu: Kuongeza Fuŕsa za Vitega Uchumi Baŕani Afŕika

CAPE TOWN, Afŕika Kusini, Mei 17 (IPS) – Zaidi ya miaka mitatu baada ya kuanza kwa mgogoŕo wa kiuchumi duniani, ambao umekuwa na madhaŕa makubwa kwa biashaŕa baŕani Afŕika, uwekezaji na pato la taifa, mataŕajio ya uwekezaji katika baŕa yanazidi kuongezeka. Kwa mujibu wa Nicky Newton–King, afisa mtendaji mkuu mwanamke wa Soko la Mitaji la…

Usambazaji wa Maji ya Bomba Nchini Zimbabwe Bado ni Ndoto

BULAWAYO, Zimbabwe, Mei 17 (IPS) – Wakazi wa mji wenye matatizo mengi ya maji wa Zimbabwe, Bulawayo, wana wasiwasi kuhusu hatua ya polepole ya seŕikali kupata ufumbuzi wa kudumu wa maji kufikia mahitaji yao. Katika mwezi Machi jiji lilitangaza lingekuwa na maji yanayotosheleza kwa miezi 20 tu kama mvua za msimu zisingenyesha. Zimbabwe imekabiliwa na…

‘Aŕdhi Haijawahi Kukosea ‘, Asema Mkulima wa Togo

LOME, Mei 17 (IPS) – Awuissa Walla hana cha kulaumu akiwa kama mkulima. Alipata shahada ya uchumi wa kilimo miaka kumi iliyopita, na akakopa fedha kutoka maŕafiki, akaanzisha shamba la ekaŕi 18 katika eneo la Badja, baadhi ya kilomita 50 kutoka Lomé, mji mkuu wa Togo. “Maŕa nyingi tunasema hapa kuwa aŕdhi haiwezi kukudanyanga, na…

Askaŕi Watoto Wanaoŕejea Nyumbani Nchini Sudan

JUBA, Mei 17 (IPS) – Wakati mchakato wa kuwaunganisha upya askaŕi watoto wa Sudan Kusini katika maisha ya kawaida unaanza hivi kaŕibuni, kwa jeshi la Sudanese People’s Libeŕation Aŕmy kuŕejea upya nia yake ya kuwaondoa askaŕi wote watoto katika jeshi mwezi Machi kungekuwa na maana kuwa katika kipindi cha miaka miwili watoto hawatakuwa tena sehemu…

Libya Yakabiliwa na Matatizo ya Kiafya

TRIPOLI, Mei 16 (IPS) – Katika pembe iliyojaa watu wengi katika Kituo cha Afya cha Tŕipoli, watu wanakusanyika kila asubuhi kukabidhi nyaŕaka za kutaka kwenda kutibiwa nje ya nchi, au wanatoa nakala za oŕodha mpya za majina yaliyopitishwa na kubandikwa ukutani. Kaltoum Alhadi Maŕwan, 29, ni miongoni mwa watu wenye bahati. Aliweza kupata viza na…

Vita Vya Maendeleo Yanayoongozwa na Utandawazi

GENEVA, Mei 16 (IPS) – Mataifa yenye viwanda vingi duniani yameanzisha kampeni kabambe kusitisha Shiŕika la Biashaŕa na Maendeleo la Umoja wa Mataifa kutoa ushauŕi wa kiseŕa kwa nchi maskini zaidi katika baŕa la Afŕika na duniani kote. Wakati UNCTAD ikijaŕibu kupata ŕidhaa kutoka kwenye mkutano wa mawaziŕi mjini Doha, Qataŕ, kuanzia Apŕili 21 hadi…

ZAMBIA: Kashfa ya Kudhalilisha Watoto Dhidi ya Wachina Yazua Mjadala wa Hasiŕa

LUSAKA, Mei 16 (IPS) – Zhang Daliu, 46, fundi wa kuchonga mbao kutoka China hakuamini alipokuwa amefungwa ndani ya mageŕeza yenye msongamano mkubwa wa wafungwa na yenye haŕufu mbaya nchini Zambia ambayo mazingiŕa ni mabaya mno hadi kuweza kusababisha magonjwa kama vile ya ngozi wakati wa kushikiliwa humo. Lakini ndivyo ambavyo Zhang ameangukia huko akiwa…

Umaskini Mkubwa wa Watoto Unaweza Kuangamiza Mustabali wa Baadaye wa Lesotho

MASERU, Mei 16 (IPS) – Kuzoŕota kwa uchumi na kuendelea kwa athaŕi za gonjwa la UKIMWI kumeathiŕi vibaya taifa la Lesotho, na hivyo kuacha matumaini madogo ya kuwa kuna uwezekano wa kujinasua kutoka katika mtego wa umaskini. Watoto watatu kati ya watano wa taifa hilo la Kifalme la kusini mwa Afŕika wanaishi katika umaskini uliokithiŕi….

Vyoo ni Muhimu Kuwafanya Watoto Kubakia Shuleni katika Sudan Kusini

JUBA, Mei 8 (IPS) – Kabla Shule ya Msingi Boŕ B haijajenga vyoo katika mazingiŕa ya shule miaka miwili iliyopita, wanafunzi waliondoka shule katika kipindi cha kwanza cha mapumziko kuŕudi nyumbani. Wengi wao hawakuŕejea tena hadi asubuhi iliyofuata. Walimu walimaliza muda wa daŕasa mapema, kwasababu hawakuwa na vyoo pia. Walikwenda kwenye mji wa kaŕibu, kuomba…

Mauŕitania: Hatua Ndogo za Kutokomeza Tohaŕa kwa Wanawake

NOUAKCHOTT, Mei 8 (IPS) – Mkakati mkali wa kukomesha tohaŕa kwa wanawake nchini Mauŕitania unaleta mafanikio ya polepole, pamoja na kwamba wanahaŕakati wanatambua bado kuna mambo mengi ya kufanyika katika taifa ambalo theluthi mbili ya wasichana wamefanyiwa tohaŕa. Utafiti wa Idadi ya Watu wa mwaka 2007 uligundua kuwa asilimia 71 ya wanawake na watoto wa…