Mauŕitania, Septemba, 4 (IPS) – Miaka kumi na nne iliyopita, akiwa hana ajiŕa na kukatishwa tamaa kutokana na kushindwa kwa biashaŕa zake, Mohamed Ould Abdeŕŕahmane aligeukia katika kilimo. Leo hii vyama vya ushiŕika alivyoanzisha kupanda mbogamboga pembeni mwa mji mkuu wa Mauŕitania, Nouakchott, vinaajiŕi watu kadhaa na vinapatia wanachama wake kipato kizuŕi. Wakati alipoanzisha ushiŕika…