MBABANE, Aug 23 (IPS) – –Kama Afŕika inataka kuendelea kiuchumi na kijamii, mazungumzo yakweli ni lazima yafanyike badala ya vita vya silaha, migomo na siasa mbovu, wajumbe katika mkutano wa wakuu wa nchi uliofanyika nchini Swaziland wiki hii walikubaliana. – Natuzungumze, na kuzungumza na kuzungumza, badala ya kupigana, kupigana, kupigana," alisema ŕais wa Msumbiji Joachim…