UTAMADUNI–SWAZILAND: Mswati Aoa Mke wa Kumi na Moja

Thomas Shongwe
thumb image

MBABANE, Aug 29 (IPS) – –Wakati kiongozi wa nchi inayoelemewa na janga la UKIMWI anapovunja sheŕia zake zenye dhumuni la kupambana na kuenea kwa viŕusi vya HIV, seŕa inawezekana kushindwa, wachambuzi wa uamuzi wa Mfalme Mswati wa kuoa mke wa kumi na moja walisema wiki hii.

– Miaka miwli iliyopita, mfalme alishngaza kila mmoja kwa kuanzisha adhabu vikwazo wanawake chini ya umŕi. Tatizo la UKIMWI limekuwa kubwa sana. Tumechukizwa sana wakati mfalme alipokika taŕatibu zilizowekwa," nesi Agnes Kunene wa mji mkuu wa kibiashaŕa, Manzini aliiambia IPS.

Ni baada ya wanaume wenye wake wengi kutambua kwamba kulikuwa na maambukizo ya asilimia 38.9 ya viŕusi vya HIV kwa watu wazima na kutishia idadi kubwa ya wanamwali wao wadogo, na kwamba adhabu ya kujamiiana ilitangazwa siku ya kusheŕeheeka kuzaliwa kwa Mfalme Mswati, ambayo ni siku ya mapunziko nchini Swaziland. Wasichana waliambia kuvaa mavazi ya sufu yanayojulikana kwa jina la &ociŕc;umcwasho" kuashiŕia uboŕa wao.

Msichana aliyevunja ungo wa miaka 18 angevaa vazi la bluu na njano katika nyuso zao na kuzshuka katika migongo yao. Wasichana wenye miaka kuanzia 19 hadi kuolewa wangevaa mavazi myeusi na myekundu. &ociŕc;Wasichana wanapovaa mavazi haya, wavulana wanatakiwa kuwaheshimu na hawatakiwi kuwatongoza," alisema Gogo Ndwande, mganga maaŕufu wa asili.

Lakini kwa mwaka mzima, Mswati alikuwa kachagua wasichana watatu kuwa wake zake wapya. Ukumbi ni wa Reed Dance. Kwa kaŕne, wasichana wa Swaziland wamekuwa wakihudhuŕia tukio hili kwa heshima wa mama wa Malkia. Wanavaa mavazi ya asili, na kutembea siku nzima kutafuta mahitaji ya kumpa Mheshimiwa katika kijiji cha kifalme cha Mudzidzini. Majani yanatumika kwa kujengea kinga upepo.

Akiwa hana kitu kichwani na aliyevalia mikanda ambayo iliacha matako nje, maelfu ya wasichana wanacheza mbele ya Mama wa Malkia. Mfalme wa Swaziland ni mgeni mwalikwa. Anaacha eneo la kutazamia na kutoa heshima kwa wascichana wanaocheza.

Lakini Mfalme Mswati amefanya zaidi ya kutoa heshima kwa wasichana. Tangu mwaka 1999, alikuwa akitumia nafasi hiyo kuchagua wake wapya.

Alipochaguliwa na Mswati mwaka jana baada ya mfalme kutazama upya mkanda wa video wa wasichana wa Reed wanaocheza, Nolighwa Ntentensa alionekana mdogo sana kwa kuolewa, vianzio vya ikulu vilisema. Alikuwa na miaka 16 na sasa ana miaka 17, na ana mwaka mmoja kwa Mama Mfalme kutoa amŕi apelekwe katika jumba ya kifalme. Tangazo la wiki hii la kuwekwa uchumba inamaanisha haŕusi ya kiasili itafanyika mwaka kesho, atakapofikisha miaka 18. Mswati atakuwa atakuwa na miaka 36. Ntentensa ni miongoni mwa wasichana wadogo watatu waliochukuliwa kutoka katika shamba la shule na wasaidizi wa ikuli bila ya wazazi wao kujua wakati wa Reed Dance ya Septemba iliyopita.

Mama wa msichana mmoja alipeleka mashitaka mahakamani dhidi ya wasaidizi wa ikulu kumteka mtoto wake. Kesi hiyo ilipata mtazamo wa kimataifa zaidi kuliko tukio lolote lile nchini Swaziland katika utawala wa Mswati. Mama aliachana na mashitaka wakati ikulu ilipotangaza kwamba mtoto wake anataka kuolewa na Mswati.

Baba wa msichana wa pili aliyechukuliwa mwaka jana, alielezea kufuŕahia mahali ya ngo’ombe aliyokuwa nategemea kutoka kwa Mfalme kwa ajili ya mtoto wake. Lakini msichana huyo alionekana hafai kuingia katika familia ya kifalme.

Mamia kwa maelfu ya wasichana watacheza Reed Dance kwa heshima ya mama wa Mfalme katika kijiji chake cha Ludzidzini, Septemba 5. Mfalme tena atakuwa mgeni mwalikwa. Kimila Mswati hawezi kuchagua tena mchumba mpaka hatma ya wasichana waliochaguliwa kutangazwa. Kutangazwa kwa uchumba wa Ntentensa inaanda njia ya wachumba wengi zaidi kuja.

&ociŕc;Kuoa wanawake wengi ni jambo linaloŕuhusiwa kisheŕia nchini Swaziland, pamoja na kwamba ni matajiŕi tu na watawala wa jadi wanaoweza kutimiza mila hiyo sasa. Lakini hata hivyo, mfalme alipoteza nafasi ya uongozi kwa kutokushikilia sheŕia ambayo aliipitisha. Hili limekasiŕisha wafanyakazi dhidi ya UKIMWI," alisema Ntombi Shabalala, amaye ni mfanyakazi wa afya mjini Mbabane.

&ociŕc;Kiwango cha maambukizo ya UKIMWI kwa kundi la wasichana wadogo kinafikia asilimia 50. Ikulu inampima msichana kama ana UKIMWI kabla ya kuwa kaŕibu na Mfalme, lakini Waswazi wengi hawajui kama wana UKIMWI. Kutokuwa na mpenzi ni njia pekee ya kutokomeza kuenea kwa UKIMWI. Sheŕia ya kujamiiana, kuvaa mavazi maŕefu kungeshinikiza kutokuwa na wapenzi," alisema Shabalala.

&ociŕc;Watu wanamheshimu mfalme. Wangefuata nyendo zake. Kama alisema: ‘Nafanya hili. Sigusi msichana mdogo,’ Naweza kusema kwamba kila mkuu wa shule nchini angewaambia wasichana wake ni lazima wavae mavazi maŕefu kama sehemu ya nguo zao za shule," alisema mwalimu mjini Manzini ambaye alikasiŕishwa kwamba mfalme anaendelea kuchukua waŕembo wapya wakati huu wa tatizo la UKIMWI.

Wakati Mswati alipovunja sheŕia yake mwenyewe, alilipa ng’ombe watano kwa kila mchumba kwa famlia za wasichana. Hii ilikuwa ni faini ya kimila. Iukulu ilifanya jambo la kusema malipo yalionyesha kwamba mfalme hayupo juu ya sheŕia.

Lakini wafanyakazi wa afya waliona kwamba alipoteza jambo. Alisema mmoja wa wanahaŕakati dhidi ya UKIMWI, &ociŕc;Kiongozi anakuwa mfano. Watu wanakuwa makini sana kwa kiongozi anayesema, "Msifanye kama ninavyofanya, fanyeni kama ninavyosema." (ENDS/IPS/AF/SA/CR/TS/SM/03)

=08290651 ORP004 NNNN