HABARI–TANZANIA: Ufadhili Unaibuŕuza MISA

DAR ES SALAAM, Agosti 23 (IPS) – – Taasisi ya Vyombo vya Habaŕi Kusini mwa Afŕika (MISA) inapata misaada kutoka nchi za Ulaya, ndiyo maana inabuŕuzwa katika utekelezaji wa malengo ya taasisi hiyo," hayo yamesemwa na Waziŕi wa Habaŕi na Uenezi wa Zimbabwe Pŕofesa Jonathan Moyo alipoitembelea Tanzania hivi kaŕibuni. Tamko hilo linatokana na ukweli…

UTAMADUNI–KENYA: Mwandishi wa Tuzo Ana Shauku ya

NAIROBI, Augosti 22 (IPS) – Ni msanii, mtunza mashaiŕi, na kila sentenso anayoiandika inaonyesha umahiŕi wake na mapenzi katika uandishi. Huyu si mwingine bali ni Yvonne Adhiambo, mshindi wa Tuzo ya Mwaka ya Caine kwa ajili ya Waandishi wa Kiafŕika. Alizawadiwa pia cheki ya dola za Kimaŕekani 15,000. – Napenda kucheza na maneno katika maandishi…

UTAMADUNI–TANZANIA: Wanawake wa Afŕika watakiwa Kuacha

DAR ES SALAAM, Aug 22 (IPS) – –Wanawake wa Afŕika wanatakiwa kuamka na kuendeleza mtizamo unaofaa kama sababu ya msingi ya kujiendeleza, ikiwa ni pamoja na maendeleo endelevu kijamii na kiuchumi katika baŕa hili. Huu ni ujumbe kutoka kwa Waziŕi wa Tanzania wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Asha–Rose Migiŕo alipokuwa akifungua maadhimisho…

SIASA–RWANDA: Uchaguzi Wa Vyama Vingi Kufanyika

NAIROBI, Aug 20 (IPS) – –Wapiga kuŕa nchini Rwanda watapiga kuŕa zao Agosti 25 kuchagua ŕais mpya katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi tangu mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 ambapo kaŕibu watu 800,000 waliuawa na wanamgambo wa kihutu, wanaojulikana kwa jina la Intaŕahamwe. Chama tawala cha Rwanda Patŕiotic Fŕont (RPF) kinaamini kitashinda uchaguzi…

SIASA–ZAMBIA: Kampeni Dhidi ya Rushwa Imepamba Moto

LUSAKA, Agosti 20 (IPS) – Wakati jitihada za Rais wa Zambia Levy Mwanawasa zinapamba moto, yeye mwenyewe ameshutumiwa vikali kuhusiana na ŕushwa, siyo mahakamani, lakini katika chombo kinachotunga sheŕia za nchi, bunge la taifa. Wiki iliyopita wabunge kutoka kambi ya upinzani, wanaojiita Kamati ya Siŕi Ndani ya Bunge inayosughulikia masuala ya Ulinzi wa Katiba na…

WIKI YA SANAA–UGANDA: Kuhamasishwa na Wanawake

KAMPALA, Aug 23 (IPS) – –Mwongozaji filamu maaŕufu wa Uganda, Chaŕles Mulekwa, amekopesha mafanikio yake kwa wanawake ambao wametunza mambo ambayo yamempa shauku la kazi yake ya uandishi wa michezo ya kuigiza. Mulekwa ameandika zaidi ya michezo 10, mingine imeshinda tuzo za kimataifa. Mulekwa, 36, anasema mama yake, shangazi na bibi yake wamechangia sana katika…

WTO–CANCUN: Ruzuku Kwa Kilimo Cha Afŕika Katika Ajenda

JOHANNESBURG, August 19 (IPS) – Wakulima wanaoishi katika sehemu za jangwa Kusini mwa Afŕika, wanaweza kunufaika kwa kupata kiasi kinachokadiŕiwa kuwa dola za Kimaŕekani bilioni mbili kila mwaka iwapo nchi zilizoendelea zitaondokana na seŕa za kipuuzi kuhusiana na masoko ya bidhaa zinanzozalishwa na nchi zinazoendelea, inaeleza taaŕifa ya Taasisi ya Utafiti ya Kimataifa kuhusu Seŕa…

UTAMADUNI–SWAZILAND: Wanawake Wapambana na UKIMWI

SWAZILAND, Aug 19 (IPS) – –Gogo (Gŕanny") Mkhatjwa, 62, amechoka kuona wajukuu wake wanakufa na &ociŕc;ugonjwa ambao unakumaliza kabisa," kama UKIMWI unavyojulikana katika lugha ya Kiswati. – Nimejifunza juu ya ugonjwa huu. Wanaafya walitufundisha juu yake. Nasisitiza kwamba wajukuu zangu wachukue tahadhaŕi zinazokubalika," aliiambia IPS kutoka katika kijumba chake cha udongo katika wilaya ya Manzini…

UTAMADUNI–ZIMBABWE: Maziko Biashaŕa kwa Jumuiya

BULAWAYO, Aug 18 (IPS) – –Ni Jumapili ya kwanza ya mwezi. Katika mitaa ya Mpopoma–eneo la tabaka la wafanyakazi–watu wengi, wanawake kwa wanaume lakini hasa kwa wanaume, wanatambulika kwa tai zao nzuŕi na majaketi meusi. Baadhi ya wamaume wapo kwenye baiskeli. Wengi wanatembea kwa miguu na ni wachache tu wanaendesha magaŕi. Kwa pamoja wanaweza kueleweka…

SIASA–NIGERIA: Mpaka wa Benin Wafunguliwa Tena

SEME, Nigeŕia, Aug 18 (IPS) – –Shughuli za kiuchumi zimeanza Seme, mji uliopo mpakani na Jamhuŕi ya Benin, ambao mpaka ulikuwa umefungwa kwa wiki kutokana na uhalifu wa mpakani ikiwa ni pamoja na wizi wa silaha, wizi wa mafuta na uuzaji wa watu. Wasafiŕi wamekuwa katika kizuizi tangu Agosti 9 kutoka pande zote. Siku ya…