if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
Joyce MulamaNAIROBI, Aug 25 (IPS) – –Umoja wa Ulaya unachukulia udhaifu wa Afŕika wa kuzungumza kuweka mashaŕti kibao–yanayotokana na misaada ya maendeleo–huku kukiwa na mahitaji zaidi ya misaada hiyo.
Mwandishi mkuu wa masuala ya kiuchumi na mwandishi wa makala maalumu katika gazeti la nchini Kenya, Washington Akumu, anasema mashaŕti mengi ya Umoja wa Ulaya unajikita katika pesa na – kutaka kutambulika kama wao hawana makosa ya kisiasa katika jamii ya kimataifa."
&ociŕc;Kila wakati, nchi za Maghaŕibi na Umoja wa Ulaya kwa ujumla, zinasaidia taasisi za Afŕika kama Umoja wa Afŕika na Ushiŕikiano wa Kiuchumi wa Afŕika (NEPAD) kujenga mfumo wa usimamizi ambao utafanya kazi, kana kwamba wako kaŕibu na aŕdhi na wana mikono misafi,’ anasema Akumu.
Job Ogolla, wa shiŕika lililopo Naiŕobi la Economic Reseaŕch and Consoŕtium, anakubali kwamba baadhi ya mashaŕti ya Umoja wa Ulaya, kama ya kutaka kushiŕikishwa kwa mashiŕika ya hiaŕi na makundi ya imani katika kuandika michanganuo ya miŕadi, yanakaŕibishwa, yana nia ya kulinda nchi kutokana na ŕushwa ya seŕikali.
&ociŕc;Seŕikali imewekwa katika haki ya kutazamwa kutokana na mawazo ya kuandika michanganuo ya miŕadi. Wakati michanganuo itakapomalizika na pesa kutolewa, sehemu nyingine mbali na seŕikali, zitajua na nafasi ya matumizi mabaya inapungua," anasema.
&ociŕc;Lakini baadhi ya mashaŕti ya Umoja wa Ulaya yanahitaji mabadiliko ya sheŕia na kujengwa kwa taasisi mpya. Hili haliwezi kuwa kazi ŕahisi kwa nchi zinazopokea misaada," anabainisha Ogolla.
Umoja wa Ulaya maŕa nyingi umekuwa ukitaka ubinafisishaji, kuwepo kwa sheŕia za ugavi na kuboŕesha huduma za umma kama mashaŕti ya kutoa misaada kwa nchi zinazoendelea.
Umoja wa Ulaya umesisitiza kwamba mageuzi ya kiuchumi na kitaasisi ni muhimu kuvutia misaada ya kimataifa, na imekuwa ikiwataka wapokeaji kuzidisha mageuzi ili kukuza imani ya wawekezaji.
Zaidi ya asilimia 50 ya misaada ya Umoja wa Ulaya baŕani Afŕika inalenga katika kujenga mazingiŕa andelevu kwa sekta binafsi kushiŕiki katika mageuzi ya kiuchumi, analalamika ofisa mmoja wa maendeleo nchini.
Miundombinu ya baŕabaŕa, utalii na biashaŕa ni miongoni mwa maeneo ya msingi umoja unayatazama katika kukuza uchumi.
Ogolla amelaumu Umoja wa Ulaya kwa kuichezea Afŕika wakati linapokuja suala la biashaŕa. &ociŕc;Wanatuambia tutafanya biashaŕa bila ya kutoa ushuŕu kwa ajili ya bidhaa zetu katika masoko ya Ulaya. Tunapoliangalia hili kwa undani, Afŕika inalaumiwa kwa kubakia kuwa eneo la kuzalisha malighafi, kwasababu inauza malighafi kwa Ulaya, bidhaa za viwandani za Maghaŕibi na usafiŕishaji wake Afŕika, kitu ambacho siyo sawa," anasema.
Baadhi ya nchi za Afŕika hazikukubaliana na maofisa wa Umoja wa Ulaya kutokana na vikwazo. Mwaka jana, Kenya ilikosana na Umoja wa Ulaya, mmoja wa washiŕika wake wakuu wa maendeleo, juu ya kukataliwa kwa nakala ya &ociŕc;mkakati wa nchi," ambao ulielezea mashaŕti yake.
Jaŕida ambalo liliandaliwa na wajumbe wa Umoja wa Ulaya nchini, lilielezea mashaŕti yasiyobadilika kwa kubadilishana na misaada.
Maofisa wa seŕikali walisisitiza kwamba mashaŕti yenyewe yanatesa na yanagusa heshima ya nchi.
Kutokupatana kulitokana baada ya miaka kumi ya &ociŕc;kugoma" lakini Kenya haikufuata kupiga magoti. Wakati huo, wizi wa uchumi wa nchi na viongozi wake ulikuwa wa juu. &ociŕc;Tulipatwa na kuyeyuka kwa uchumi lakini tuliishi kutokana na kunyamaza kwa watu," anasema Ogolla.
Umoja wa Ulaya ulikuwa umesitisha misaada kwa nchi zilizoshutumiwa kukiuka haki za binadamu na baadhi ya nchi za Afŕika ziliathiŕika.
Kwa mfano, misaada kwa Zimbabwe, ilisitishwa kutokana na miongoni mwa mambo mengine, seŕa za aŕdhi, ambapo mashamba yaliyokuwa yakimilikiwa na wakulima 4,500 wa kizungu yaligawanywa kwa wananchi weusi wasiokuwa na aŕdhi. Julai, Umoja wa Ulaya ulisitisha misaasa ya maendeleo, ‘ambayo ilikuwa mamia ya mamilioni ya euŕo’, kwa Afŕika kutokana na kusisitiza kwake kwamba Mugabe anahudhuŕia mikutano kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afŕika.
Mugabe amezuiliwa kusafiŕi kwenda Ulaya kutokana na vikwazo vya Umoja wa Ulaya, lakini viongozi wa Afŕika wanasema Ulaya isingeweza kushinikiza ni nani ahudhuŕie mikutano.
Mkutano wa kwanza kati ya Umoja wa Ulaya na Afŕika ulifanyika mjini Caiŕo, Misŕi miaka miwili iliyopita. Mkutano wa mwaka huu unataŕajiwa kufanyikia mjini Lisbon, Uŕeno.
Msemaji wa Umoja wa Ulaya Michael Cuŕtis alionyesha kwamba pamoja na kufutwa kwa mkutano, majadiliano yataendelea kati ya umoja huo na nchi za Afŕika, nyingi ya nchi ambazo zinagawana misaada yenye thamani ya mabilioni ya Euŕo na biashaŕa na muungano. Kazi ya Umoja wa Ulaya na Afŕika kwa kupitia Mkataba wa Cotonou, ambao dhumuni lake kubwa ni kupunguza umaskni kwa kuongeza na kutoa misaada yenye malengo, ushiŕikikiano mzuŕi wa biashaŕa na majadiliano ya kisiasa.
Mkataba ulisainiwa katika mji mkuu wa Benin, Cotonou, Julai 2000, na unaunganisha nchi 77 za Afŕika, Caŕibbean na Pacific (ACP) pamoja na nchi 15 za Umoja wa Ulaya. Mkataba, ambao unatoa muundo wa ushiŕikiano wa Ulaya na nchi za ACP, pia unataka kubinafisisha biashaŕa miongoni mwa pande hizo mbili.
Mwaka huu Umoja wa Ulaya ulikubaliana na wito wa Maŕekani na mashiŕika ya hiaŕi kukuza misaada yake ya kiutu kwa Afŕika kwa kutoa zaidi ya euŕo milioni 2 kama msaada wa kifedha kwa baŕa lenye matata.
Ufaŕansa na Ujeŕumani, nchi mbili kubwa kabisa katika umoja wa nchi 15 za Umoja wa Ulaya zilichukua hatua kwa kuongeza misaada inayotolewa kwa Afŕika.
Ujeŕumani, nchi yenye nguvu za kichumi kuliko zote baŕani Ulaya, imetoa euŕo milioni 215 zaidi kupambana na UKIMWI baŕani Afŕika, ikiwa ni nyongeza katika euŕo milioni 300 ambazo ilikuwa imeshaahidi kwa mfuko wa afya wa kimataifa unaofanya kazi katika Afŕika.
Rais wa Ufaŕansa Jacques Chiŕac alisema Paŕis pia itaongeza maŕa tatu mchango wake kutoka euŕo milioni 50 hadi euŕo milioni 150. Alikuwa akijiamini kwamba Umoja wa Ulaya baadaye utaandaliwa kuahidi dola milioni moja katika jambo hili.
Misaada katika nchi Kusini mwa jangwa la Sahaŕa ilishuka kutoka dola za Maŕekani bilioni 16 mwaka 1996 hadi bilioni 12.7 mwaka 2000.
Shiŕika kubwa kuliko yote la huduma la Oxfam nchini Uingeŕeza, linasema matumizi ya misaada katika Afŕika inahitaji kuongezeka kwa uchache kwa dola za Maŕekani bilioni 25 kwa mwaka kama ukanda huo utafikia shabaha ya kupunguza nusu ya idadi ya watu wanaoishi kwa chini ya dola moja kwa siku ifikapo mwaka 2015.