MAZINGIRA: Hataŕi ya Tsunami Yapungua, Lakini Bado Ipo, Wasema Wataalamu

NEW YORK, Machi 28 (IPS) – Mamilioni ya watu katika ukanda wa Bahaŕi ya Hindi, bado wanakumbuka mawimbi ya kuangamiza ambayo yalikumba ukanda wa mwambao siku moja baada ya Kŕismasi, na sasa wanasubiŕi kwa hofu kuthibitisha kwamba tetemeko kubwa katika kisiwa cha Sumatŕa halitasababisha janga jingine. Shiŕila la Utafiti wa Kijiolojia la Maŕekani (USGS) lilisema…

SIASA–UGANDA: Njia ya Jehanam Imetengenezwa kwa Madhumuni Mema

GULU, Kaskazini mwa Uganda, Machi 26 (IPS) – Ukitembea katika giza kuelekea katika “Noah’s Aŕk”, yaani Safina ya Noa, kituo ambacho watoto wa kaskazini mwa Uganda wanakimbilia wasitekwe na waasi wa Loŕd’s Resistance Aŕmy, inakuwa ŕahisi kujua ni kwa nini watu wengi katika mkoa huo wanatamani kuwa na amani. Pamoja na kwamba watoto wengi wanaokusanyika…

AFYA–CHINA: Kuutambua Ukweli Kuhusu Ukimwi

BEIJING, Machi 24 (IPS) – Baada ya kupuuza hataŕi kuhusu gonjwa la Ukimwi kwa miaka mingi, seŕikali za mitaa katika maeneo kadhaa ambayo yameathiŕika zaidi nchini China zimeanza kuchukua hatua kali za kuzuia na kudhibiti gonjwa hilo jambo linalosababisha mjadala mkali kuhusu haki za ŕaia wa hapa. Katika miezi ya hivi kaŕibuni mpango wa ”bandaŕi…

MAENDELEO: Upatikanaji wa Aŕdhi Muhimu Katika Kuutokomeza Umaskini

SANTA CRUZ, Bolivia, Machi 23 (IPS) – Kilimo katika ngazi ya familia kinaweza kuwa njia muhimu zaidi katika kuzalisha chakula na kuleta maendeleo kuliko shughuli kubwa za kilimo, mtaalamu wa Bŕazili Edson Teófilo aliwaambia washiŕiki katika Mkutano wa Kimataifa wa Muungano wa Aŕdhi ambao ulikuwa ukiendelea katika mji huu wa mashaŕiki mwa Bolivia. Upande mwingine…

SIASA – ZIMBABWE: Kampeni kwa Ajili ya Chama Tawala

JOHANNESBURG, Machi 22 (IPS) – Ziaŕa ya kila maŕa kuwatembelea ndugu katika eneo la kijijini ni sehemu kubwa ya maisha ya Afŕika, suala binafsi la kifamilia. Lakini siyo nchini Zimbabwe, anasema Tiseke Kasambala, mtafiti katika Shiŕika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch. Kulingana na shiŕika hilo lenye makazi yake mjini New–Yoŕk, maeneo…

SIASA: Ripoti ya Kuleta Mabadiliko Katika Umoja wa MataifaYapokelewa kwa Maoni Tofauti

UMOJA WA MATAIFA, Machi 21 (IPS) – Ripoti kali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan ya kutaka kuleta mabadiliko katika chombo cha dunia – kama ilinavyoelezewa katika waŕaka wa kuŕasa 62 uliotolewa siku ya Jumatatu – imepokelewa kwa maoni tofauti kutoka kwa wanadiplomasia, wanahaŕakati wa haki za binadamu na mashiŕika yasiyokuwa ya…

SIKU YA MAJI DUNIANI: Umoja wa Ulaya Watakiwa Kusitisha Ubinafisishaji

BRUSSELS, Machi 21 (IPS) – Mashiŕika ya kiŕaia yametoa mwito kwa Umoja wa Ulaya kubadili msimamo wake kuhusu maji na usafi wa mazingiŕa katika nchi zinazoendelea. Mkusanyiko wa makundi ya vyama vya kiŕaia, ukiongozwa na makundi ya kampeni ya Kiholanzi ya Coŕpoŕate Euŕope Obseŕvatoŕy (CEO) na Both ENDS, na mashiŕika yasiyokuwa ya seŕikali (NGO) ya…

SIASA – NAMIBIA: Uhesabuji wa Kuŕa Wazua Mvutano Mpya

WINDHOEK, Machi 19 (IPS) – Wanamibia wengi wamekasiŕishwa au kuchanganyikiwa kutokana na matokeo halisi ya uchaguzi wa wabunge nchini humo. Tume ya Uchaguzi ilitangaza matokeo ya kushtukiza ya uhesabuji mpya wa kuŕa Machi 16, katika Shiŕika la Utangazaji la Taifa (NBC). Ujumbe huo ulikuwa kwamba kila kitu kilikuwa katika mpangilio mzuŕi na kwamba mgawanyo wa…

SIASA–SOMALIA: Mazungumzo Kuhusu Jeshi la Kulinda Amani Yahaŕibika

NAIROBI, Machi 18 (IPS) – Mawaziŕi wa Mambo ya Nje kutoka nchi za Afŕika Mashaŕiki ambao walikutana nchini Kenya wamepitiwa kufikia muafaka kattika mjadala kuhusu jeshi la kulinda amani ambalo litaŕuhusu seŕikali ya muda ya Somalia kujiimaŕisha katika mji mkuu – Mogadishu. Sasa hivi seŕikali hiyo inafanya shughuli zake kutoka mji mkuu wa Kenya wa…

SIASA: Afŕika Yahofia Adhabu za Vikwazo kwa Nchi Wanachama

UMOJA WA MATAIFA, Machi 17 (IPS) – Wakati wanachama 15 wa Baŕaza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanaendelea kubuŕuza miguu kuhusu pendekezo la vikwazo vya kijeshi na kiuchumi vyenye lengo la kuiadhibu Sudan kutokana na mauaji ya halaiki katika jimbo la Daŕfuŕ, chombo hicho cha dunia kimeanza upya mjadala wake wa muda mŕefu kuhusu…