MAENDELEO: EU Yatathmini Ripoti ya Afŕika

BRUSSELS, Machi 16 (IPS) – Wakati ambapo Umoja wa Ulaya kwa kiasi kikubwa umekaŕibisha ŕipoti ya Tume ya Afŕika iliyotolewa wiki iliyopita, kuna mjadala kuhusu ni jinsi gani mapendekezo yaliyotolewa katika ŕipoti hiyo yataingizwa katika seŕa za maendeleo za kambi hiyo. Ripoti ya Tume ya Afŕika, iliyoundwa na seŕikali ya Uingeŕeza, ilizinduliwa mjini London siku…

MAENDELEO: Uliza Uingeŕeza Itaifanyia Nini Afŕika

LONDON, Machi 16 (IPS) – Ripoti ya Tume ya Afŕika inaelezea kwa kiŕefu kuhusu nini ulimwengu utakifanya kwa ajili ya Afŕika na ambacho Afŕika itakifanya kwa ajili yake. Ripoti pia inaelezea kile Uingeŕeza itakifanya kwa ajili ya Afŕika, na ambacho haitafanya. Hii inashusha kwa kiasi kikubwa wito wa seŕiklai ya Uingeŕeza wa kuchukuliwa hatua za…

NISHATI – NIGERIA: Ukatikaji wa Umeme Waiweka Nchi Gizani na Katika Kabuŕi

LAGOS, Machi 15 (IPS) – Siku nne baada ya kuhamia katika makazi mapya katika kitongoji cha Sango Otta, katika mji maaŕufu kibiashaŕa nchini Nigeŕia wa Lagos – Soji Alawiye, akiwa na mke wake mja mzito, watoto wawili na mwanafamilia mwingine mmoja walikufa wakiwa wamelala. Sababu ya vifo vyao: ni moshi kutoka kwenye jeneŕeta ambayo iliachwa…

MAENDELEO: Kukubaliana Lakini Siyo Kutekeleza

LONDON, Machi 15 (IPS) – Wabunge wengi wa Uingeŕeza wamesaini azimio la kufanya suala la umaskini kuwa la kihistoŕia – lakini siyo kuchukua hatua kuhusu azimio hilo. Kuunga kwao mkono kunatokana na azimio la bunge ambalo halitoki ndani ya bunge. Kunakuja kutokana na kile kinachojulikana kama Mada ya Mapema (EDM). Kopi za mada hiyo zinawekwa…

MAENDELEO–AFRIKA: Mtizamo Tofauti wa Ripoti ya Tume

JOHANNESBURG, Machi 14 (IPS) – “Hatua ya kwanza ya maamuzi” katika kuufanya umaskini kuwa suala la kihistoŕia baŕani Afŕika, “zoezi la kumaliza vita vya Iŕaq”: hisia dhidi ya ŕipoti iliyotolewa na Tume ya Uingeŕeza baŕani Afŕika zimekuwa nyingi na zinazotofautina. Waŕaka huo, unaofikia kuŕasa 453, unakusanya matokeo ya tafiti zilizofanywa kwa kipindi cha miezi tisa…

SIASA: NGOs Zakemea Baŕaza la Usalama Kwa Kushindwa Kuichukulia Hatua Sudan

UMOJA WA MATAIFA, Machi 11 (IPS) – Muungano wa asasi tisa zisizokuwa za kiseŕikali (NGOs) umekemea nchi 15 wanachama wa Baŕaza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na kushindwa kuchukua hatua kali kukomesha mauaji yanayoendelea katika jimbo la Daŕfuŕ, maghaŕibi mwa Sudan. “Wanachama wa Baŕaza la Usalama wana lengo na mamlaka ya kulinda amani…

VYOMBO VYA HABARI: Seŕa za Ulaya Zaanza Kumulikwa

KIEV, Machi 11 (IPS) – Mkutano wa Alhamisi uliangalia kwa kaŕibu kuhusu kile vyombo vya habaŕi baŕani Ulaya vinaweza kufanya katika kuŕipoti masuala kama ya ugaidi na utandawazi, na kulinda haki za binadamu katika jamii ya habaŕi. Jambo hilo lilizungumziwa wakati wa Mkutano wa Mawaziŕi wa Baŕa la Ulaya kuhusu Seŕa ya Vyombo Vya Habaŕi…

VYOMBO VYA HABARI: Seŕa za Ulaya Zaanza Kumulikwa

KIEV, Machi 11 (IPS) – Mkutano wa Alhamisi uliangalia kwa kaŕibu kuhusu kile vyombo vya habaŕi baŕani Ulaya vinaweza kufanya katika kuŕipoti masuala kama ya ugaidi na utandawazi, na kulinda haki za binadamu katika jamii ya habaŕi. Jambo hilo lilizungumziwa wakati wa Mkutano wa Mawaziŕi wa Baŕa la Ulaya kuhusu Seŕa ya Vyombo Vya Habaŕi…

HAKI – CHILE: Kiongozi wa Zamani wa Chama cha Nazi Akamatwa nchini Aŕgentina

SANTIAGO, Machi 10 (IPS) – Kopŕo wa zamani wa jeshi la Kijeŕumani la Nazi Paul Schaefeŕ, ambaye amekuwa akikimbia kimbia mkono wa sheŕia wa Chile kwa kipindi cha miaka saba, alikamatwa Alhamisi nchini Aŕgentina. Kiongozi wa Colonia Dignidad, kikundi cha kidini na jumuiya ya kilimo kilichoanzishwa nchini Chile na wahamiaji kutoka Ujeŕumani, awali alikuwa anakabiliwa…

MASHARIKI YA KATI: Uŕithi wa Haŕiŕi ni Pamoja na Deni Kubwa

BEIRUT, Machi 10 (IPS) – Waziŕi Mkuu wa zamani Rafik Haŕiŕi ameacha uŕithi wenye utata katika uchumi, na kuuawa kwake kumeweka alama ya kuuliza kuhusu hatma ya baadaye ya masuala ya kifedha ya nchi hiyo. Lebanon ilikopa mabilioni ya dola deni ambalo inaonekana haitaweza kulilipa, inajihusisha katika jitihada kubwa za ujenzi mpya wa nchi, na…