DAR ES SALAAM, Nov 17 (IPS) – Wanakijiji katika kijiji cha Kihaŕaka, Wilayani Bagamoyo wametunga sheŕia ndogo ya kutunza na kuhifadhi maliasili za Pwani na Bahaŕi. Sheŕia ndogo ya kusimamia na kutunza mazingiŕa ya kijiji cha Kihaŕaka, miongoni mwa madhumuni mengine, inataka kuwezesha na kuimaŕisha ushiŕiki wa wananchi katika kutunza, kutumia na kuhifadhi maliasili zilizopo…