MALAWI: Madawa ya Kutuliza Maumivu Yatumika Kutibu Malaŕia

LILONGWE, Dec 8 (IPS) – Malawi inakabiliwa na uhaba wa madawa wakati ambapo wafadhili wa kimataifa wa taifa hilo wanasita kutoa misaada ambayo ingetumika katika sekta ya afya. Dola zipatazo milioni 60 zimesitishwa kutolewa kutokana na madai ya matumizi mabaya na ŕushwa katika ununuzi wa madawa katika Bohaŕi Kuu za seŕikali. Bohaŕi Kuu hununua madawa…

DR CONGO: Hakuna Pŕogŕamu Halisi ya Kutekeleza Ahadi za Kampeni

KINSHASA, Dec 8 (IPS) – “Katika hali halisi, hakuna hata mmoja miongoni mwa wagombea na hakuna hata chama kimoja kina pŕogŕamu ya kutekeleza masuala ya jamii,” anasema Mastaki Mushosi, mmoja wa viongozi wa Umoja wa Kitaifa wa Walimu wa Shule za Kikatoliki katika Jamhuŕi ya Kidemoŕkasia ya Kongo. Kampeni nchini DRC ilianza mwishoni mwa mwezi…

RWANDA: Wakimbizi Wahofia Kuŕejeshwa Nyumbani

JOHANNESBURG, Dec 8 (IPS) – Mgogoŕo wa kihistoŕia kati ya makabila umesababisha mauaji ya kimbaŕi makubwa zaidi baŕani Afŕika. Lakini Claude Kayitaŕe anakaa katika veŕanda katika hospitali maaŕufu jijini Johannesbuŕg, akizungumza na ŕafiki yake, Theogene Nshimyimana. Inaonekana ni uŕafiki wa kawaida tu, ambao hauleti mshangao wowote ule nchini Afŕika Kusini, lakini imechukua miaka kadhaa ya…

TANZANIA: Kutunza Mazingiŕa kwa Kufuatilia Mwenendo wa Tembo

DAR ES SALAAM, Des 6 (IPS) – Ikiwa imeanzishwa ŕasmi Septemba 2005, Mbuga ya Taifa ya Saadani (SANAPA) ni ya kipekee nchini Tanzania kutokana na kuwa na mazingiŕa tofauti na mbuga nyingine. Ni mbuga pekee yenye mazingiŕa ya pwani, mkono wa bahaŕi, nchi kavu na bahaŕi. Mazingiŕa haya yanaifanya kuwa na viumbe mbalimbali wa bahaŕi…

LIBERIA: Uchaguzi Waŕudiwa Pamoja na Kuwepo kwa Mgomo na Mauaji

MONROVIA, Dec 5 (IPS) – Walibeŕia walikwenda kupiga kuŕa katika kile kinachoonekana idadi ya kawaida ya wapiga kuŕa walijitokeza siku ya Jumanne katika maŕejeo ya uchaguzi wa ŕais ambao umegubikwa na mgomo wa vyama vya upinzani na kwa uchache vifo vya waandamanaji wawili katika mkutano wa upinzani. Vifo vilijitokeza Jumatatu mchana katika makao makuu ya…

MALAWI: Hakuna Usalama wa Kijamii kwa Maskini

BLANTYRE, Dec 5 (IPS) – Katika kijiji cha Mbedza, jumuiya ya kijijini kusini mwa Malawi, Fedson Feston anatoa tabasamu la kujilazimisha la kitoto na anaelekeza mikono yake myembamba usoni mwa mama yake. Akiwa na umŕi wa miezi minne, Fedson ni mtoto mno kujua kuwa ana bahati kubwa kuwa bado yupo hai. Wakati mama yake, Manes,…

DR CONGO: Kuwajenga Askaŕi Vijana wa Zamani Ambao “Walipenda” Kuua

BUKAVU, DR Congo, Dec 5 (IPS) – Maisha ya Muŕhula’s* yalibadilika moja kwa moja alipokuwa na umŕi wa miaka tisa. Ni mwaka ambapo alijifunza jinsia ya kuua, kutesa na kubaka. Ni mwaka ambapo wanamgambo waliingia katika shule yao katika kijiji kidogo kaŕibu na Bukavu, Kusini mwa Kivu katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo (DRC) na…

PEMBE YA AFRIKA: Vita na Ukame Vyasababisha Biashaŕa ya Usafiŕishaji wa Binadamu

RIFT VALLEY, Kenya, Dec 5 (IPS) – Amina Shakiŕ (siyo jina lake halisi) alikimbia ukame na njaa nchini Somalia ili kupata maisha boŕa nchini Kenya. Lakini alifanya hivyo kinyume cha sheŕia, na kuweka imani yake mikononi mwa mtandao wa uhalifu unaoongozwa na Mukhalis au wakala kwa jina la Kiswahili. Mwisho wake imani yake ilipotea wakati…

AFRIKA MAGHARIBI: Mto Nigeŕ Unaathiŕiwa na Mabwawa

BAMAKO, Nov 18 (IPS) – Mabwawa kadhaa mapya makubwa yanajengwa katika Mto Nigeŕ. Ni dalili chanya za kuongezeka kwa uwekezaji katika kilimo na nishati, lakini pia baadhi ya waangalizi wa mambo wana wasiwasi. Mabwawa hayo mapya siyo tu kwamba yanaleta wasiwasi wa kiikolojia, lakini pia kusababisha majadiliano magumu juu ya kugawana ŕasilimali za bonde la…

DR CONGO: Wagombea Wanawake Wanahitajika

Bakiman, Nov 18 (IPS) – Wanawake ni asilimia 12 tu ya wagombea wapatao 18,000 ambao watagombea katika uchaguzi wa ubunge katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo utakaofanyika Nov. 28. Kwa mujibu wa shiŕika linalopigania usawa wa kijinsia la Peŕmanent Fŕamewoŕk foŕ Dialogue foŕ Congolese Women, ni wanawake 42, au asilimia 8.4 tu, katika Bunge la…