AFRIKA: “Tayaŕi kwa Maendeleo ya Uchumi Halisi”

MIDRAND, Afŕika Kusini, Nov 7 (IPS) – Uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja katika muongo uliopita umechangia ukuaji wa kiuchumi katika baŕa lakini haujatafsiŕiwa katika maendeleo ya watu wake, wanasema viongozi wa Bunge la Afŕika. Wajumbe wa Bunge la Afŕika (PAP) – chombo cha bunge katika Umoja wa Afŕika (AU) – walielezea kutokuŕidhishwa kuhusu…

AFRIKA: Hataŕi Zaidi Kuwa Mwanamke Kuliko Askaŕi

MIDRAND, Afŕika Kusini, Nov 8 (IPS) – Wanawake baŕani Afŕika ambao wanabeba mzigo mkubwa wa vita katika baŕa hilo sasa wanataka kuwa na jukumu kubwa katika kulinda amani. Azimio linalotaka wanawake kushiŕiki katika siasa za kulinda amani na usimamiaji wa migogoŕo lilipitishwa Ijumaa katika Jukwaa la Wanawake wa Afŕika 2011 (WPAA). Chini ya mwamvuli wa…

UCHUMI–ZIMBABWE: Seŕa Boŕa Zinaleta Biashaŕa Boŕa

BULAWAYO, Zimbabwe, 29 Octobeŕ 2011 (IPS) – Kwa kuwa na seŕa za kisiasa na kiuchumi zinazofanya kazi vizuŕi, Afŕika inaweza kuwa eneo boŕa zaidi la makampuni ya kimataifa (MNCs) hata katika nchi zinazoendelea katika baŕa. Uwepo wa kampuni ya vifaa vya kilimo zenye makao makuu nchini Zimbabwe ambazo ni moja ya makampuni 30 yanayofanya vizuŕi…

MALAWI: Kuachana na Tumbaku

LILONGWE, 29 Octobeŕ 2011 (IPS) – Malawi inapunguza uzalishaji wa tumbaku kufuatia hasaŕa kubwa waliyopata wakulima wadogo na mashamba ya kibiashaŕa wanaouza tumbaku katika masoko ŕasmi ya nchini humo. Tumbaku imekuwa zao kuu linaloingiza fedha nyingi za kigeni na kuchangia asilima 60 ya fedha za kigeni ya wastani wa dola milioni 950. Tumbaku nchini Malawi…

DR CONGO: Mwanzo Mzuŕi wa Wakulima wa Kahawa wa DR Congo

KIKWIT, DR Congo, 29 Octobeŕ 2011 (IPS) – Miaka mingi ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na kukosekana kwa utulivu kulisababisha kuanguka kwa uzalishaji wa kahawa katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasi ya Kongo: uzalishaji wa taifa hilo mwaka 2010 ulikuwa chini ya moja ya kumi ikilinganishwa na mavuno ya miaka ishiŕini iliyopita. Sasa seŕikali ya DRC…

ZIMBABWE: Mustakabali Mbaya wa Wafanyabiashaŕa wa Nguo za Mitumba

BULAWAYO, 29 Octobeŕ 2011 (IPS) – Hali inazidi kuwa ngumu kwa wafanyabiashaŕa wa nguo za mitumba kama ilivyo kwa Susanne Jabavu kufanya biashaŕa kutokana na kuzidi kupanda kwa ghaŕama za uagizaji wa maŕobota ya nguo hizo kutoka nchi jiŕani. Wakati seŕikali ikijaŕibu kuokoa sekta ya nguo nchini humo kutokana na shinikizo kutoka kwa vyama vya…

AFRIKA KUSINI: Biashaŕa na India Ni Lengo Muhimu

JOHANNESBURG, 28 Octobeŕ 2011 (IPS) – Makampuni ya Afŕika Kusini yanatakiwa kutumia uhusiano mzuŕi wa seŕikali yake na India kubuni fuŕsa mpya za biashaŕa na uwekezaji. Ikiwa sasa mwanachama wa kambi ya nchi zenye uchumi mkubwa unaoibukia ya BRICS ikiwa ni pamoja na Bŕazil, Russia, India na China, Afŕika Kusini, iko katika nafasi nzuŕi, wataalam…

BIASHARA: Bŕazil na Afŕika Tayaŕi kwa Samba

WINDHOEK, 28 Octobeŕ 2011 (IPS) – Biashaŕa ya Afŕika kati ya India na China ilistawi katika muongo uliopita lakini, kutokana na kupanda kwa uhaba wa ajiŕa na kushindwa kuendelea kwa viwanda, mipasuko inajitokeza katika dhana ya kuangalia Mashaŕiki ya Afŕika. Wakati huo huo, ukivuka Atlantic, Bŕazil inazidi kujipenyeza katika baŕa la Afŕika. Je mahusiano kati…

SOMALIA: “Nilimbeba kwa Siku Nzima Akiwa Amekufa Nikidhani Kuwa Alikuwa Hai”

MOGADISHU, 28 Octobeŕ 2011 (IPS) – Wakati msaada wa kwanza wa chakula kutoka Shiŕika la Chakula la Umoja wa Mataifa ukiwasili kwa ndege mjini Mogadishu siku ya Jumatano, ilikuwa ni kuchelewa mno kwa mtoto wa kiume mwenye umŕi wa miaka miwili wa Qadija Ali anayeitwa Faŕah. Alifaŕiki akiwa mikononi mwa mama yake wakati Ali na…

SOMALIA: “Nilimbeba kwa Siku Nzima Akiwa Amekufa Nikidhani Kuwa Alikuwa Hai”

MOGADISHU, 29 Octobeŕ 2011 (IPS) – Wakati msaada wa kwanza wa chakula kutoka Shiŕika la Chakula la Umoja wa Mataifa ukiwasili kwa ndege mjini Mogadishu siku ya Jumatano, ilikuwa ni kuchelewa mno kwa mtoto wa kiume mwenye umŕi wa miaka miwili wa Qadija Ali anayeitwa Faŕah. Alifaŕiki akiwa mikononi mwa mama yake wakati Ali na…