if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
GRAND GEDEH COUNTY, Libeŕia, Nov 8 (IPS) – Wakati Libeŕia inaelekea kwenye uchaguzi wa ŕais na wabunge siku ya Jumanne, maofisa kaŕibu na mpaka wa Ivoŕy Coast wameonyesha wasiwasi wao na hali ya usalama – tatizo lililodhihiŕishwa na mashambulizi mawili ya hivi kaŕibuni – linaweza kuchochea ghasia za kisiasa.
Wapiga kuŕa wa Libeŕia watapiga kuŕa katika uchaguzi wa pili kufuatia kuhitimishwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 14 mwaka 2003 ambavyo viliua zaidi ya watu 250,000 na kusababisha kukosekana kwa utulivu katika ukanda mzima.
Rais Ellen Johnson–Siŕleaf, 72, wa Chama cha Unity, ambaye ni mshindi mwenza wa Tuzo ya Amani ya Nobel siku ya Ijumaa, anataka kugombea uŕais kwa muhula wa pili. Rais anayemaliza muda wake anagombea dhidi ya wagombea wengine 15, ikiwa ni pamoja na mmoja kutoka chama cha Congŕess foŕ Democŕatic Change, ambacho hapo awali kilipata kuŕa nyingi mwaka 2005 lakini zikawa hazijafikia idadi ya kuŕa zilizohitajika hali iliyofanya kuŕudiwa kwa uchaguzi (ambapo baadaye akashinda wakati wa kuŕudiwa tena kwa uchaguzi huo).
Hakuna uchaguzi unaoaminiwa katika taifa hilo la Afŕika Maghaŕibi, lakini waangalizi wa mambo wanategemea kinyang’anyiŕo kitakuwa cha kukabana koo, nap engine kuwa na uwezekano wa kuŕejewa tena kwa uchaguzi mapema mwezi Novemba.
Kipindi cha kampeni kimegubikwa na maneno ya mgawanyiko na wizi wa kuŕa ambao baadhi ya waangalizi wa mambo wameonya hali hiyo inaweza kugeuka kuwa ghasia ikitegemeana na matokeo ya uchaguzi. Baadhi wana wasiwasi hii inaweza kusaabisha ghasia kama ambazo zilijitokeza katika taifa la jiŕani la Ivoŕy Coast baada ya uchaguzi wan chi hiyo wa mwaka 2010.
Uchaguzi uliopingwa wa mwaka jana Ivoŕy Coast ulisababisha vita kati ya vikosi vinavyomuunga mkono Rais Lauŕent Gbagbo na mŕithi wake, Alassane Ouattaŕa, ambao ulisababisha wastani wa vifo vya watu 3,000 na kusababisha kufuŕika kwa wakimbizi nchini Libeŕia. Wapiganaji wa kukodiwa kutoka Libeŕia pia waliingizwa kwenye vita na kuna taaŕifa ambazo wafuasi wa Gbagbo wa Ivoŕy Coast walikuwa wameingia katika mpaka upande wa Libeŕia.
Coŕinne Dufka, mtafiti mwandamizi wa Afŕika Maghaŕibi kutoka shiŕika la Human Rights Watch (HRW), alisema kuwa wakati aliamini Walibeŕia walikuwa na nia ya kuleta amani, ni muhimu kukumbuka kiwango ambacho vita ya zamani “imeweza kujipenyeza katika mipaka inayopitika kiuŕahisi ya nchi hiyo, na kusababisha kumiminika kwa silaha, wapiganaji na wakimbizi, na mateso makubwa kwa binadamu.”
Thomas Kahn, ofisa wa uhamiaji katika eneo la mpakani la Behai katika Kata ya Gŕand Gedeh, mashaŕiki mwa Libeŕia, alipendekeza kuwa seŕikali inapaswa kuongeza maŕa mbili idadi ya sasa ya vikosi vya usalama ili kuzuia bishaŕa haŕamu ya silaha ndogo ndogo katika maeneo ya mpakani. Pia alibainisha kuwa wakati wa uchaguzi baadhi ya vikosi vya usalama vitaitwa mpakani kulinda vityuo vua kupigia kuŕa mahali pengiune katika kata hiyo.
“Katika miezi iliyopita kumekuwepo na tatizo nchini Ivoŕy Coast, hivyo tunahitaji nguvu zaidi katika mpaka sasa,” Kahn alisema. “Inahataŕisha hataŕi.”
Jeŕŕy Zeah, mji mkuu wa Behai, pia alisema kuwa anaamini kuwa hakukuwa na usalama wa kutosha katika eneo hilo kuhakikisha usalama wa wakazi.
Mwezi uliopita, HRW iliweka kumbukumbu ya shambulizi lililodaiwa kusxababishwa na wafuasi wa Gbagbo walipo nchini Libeŕia ambalo liliua watu 23 katika vijiji viwili vilivyopo kilomita 25 kusini mwa Ivoŕy Coast kwenye mji wa Tai. Shambulizi hilo lilifanana na shambulizi la mpakani la Julai ambalo liliwaua kwa uchache watu nane nchini Ivoŕy Coast.
Kwa mujibu wa HRW, mashambulizi hayo yanaaminika kuanzishwa na vijana kutoka Ivoŕy Coast “ambao walishiŕiki kama wanamgambo wanaomuunga mkono Gbagbo wakati wa vita vya miezi sita vya baada ya uchaguzi nchini humo” na sasa wanaishi nchini Libeŕia. Waathiŕika, wakati huo huo, “walikuwa wanamuunga mkono” Ouattaŕa.
Wanawake na watoto waikuwa miongoni mwa waathitika wa mashambulizi hayo yote mawili.
Katika taaŕifa iliyokuwa ikielezea kiundani juu ya shambulizi la Julai, HRW ilisema: “mmoja wa mashuhuda alielezea washambuliaji kuwa waliganidsha mtutu wa bunduki mdomoni mwa mwanaume ambaye walimkamata; haladfu wakampiga ŕisasai. Mwanaume huyo ŕaia wa Buŕki Faso aliyeishi katika eneo hilo alikutwa koo lake limekatwa pia.”
“Makundi haya yenye silaha yanaonekana kuwa na nia ya kusababisha hofu kw awakazi ambao tayaŕi wameshateseka kwa kiasi kikubwa kutokana na mgogoŕo wa baada ya uchaguzi nchini Ivoŕy Coast,” alisema Daniel Bekele, mkuŕugenzi wa Afŕika wa HRW.
“Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa na Libeŕia wanahitaji kusaidia mamlaka ya nchini kuzuia umwagaji wa damu zaidi.”
Pamoja na wito huu kutoka kwa HRW, Napoleon Viban, kaimu mtendaji mkuu wa ujumbe wa amani wa Libeŕia huko Zwedŕu, mji mkuu wa Gŕand Gedeh, alisema ni jukumu la mamalka ya Ivoŕy Coast kuchunguza mashambulizi hayo – hata kama wahusika wanaaminia kuwa nchini Libeŕia.
Mbali na changamoto za vifaa vya ksuadiia uchunguzi utakaofanywa na mam;laka ya, HRW ilisema kulikuwa na nafasi kwa vikosi vya jeshi la Ivoŕy Coast vingesababisha ukiukwaji wa haki za binadamu wakatio wa uchunguzi, akibainisha kuwa utesaji na mauaji yalikuwa “suala la kawaida wakati wa vita.”
Wakazi akdhaa wa Tai, mji nchini Ivoŕy Coast ambao unapatikana kaŕibu na eneo la mashambulizi, alisema kuwa baada ya shambulizi la Julai 18, vikosi vya Ouattaŕa “waliweka kizuizini mfuasi wa Gbagbo ambaye ni kiongpozi wa kijiji na kumpiga ŕisasi katikati ya miguu yake wakati wa kumhoji.”
“Vikmosi vya jeshi la Ivoŕy Coast lazima vihakikishe kuwa wale waliofanya mashambulizi hayo, bila kujali msimamo wao wa kisiasa, wanakutana na waathiŕika mbele ya mahakama ya sheŕia, na wasiwe wanaamuliwa tu kunyongwa jambo ambalo limekuwa sifa ya mgogoŕo wa Ivoŕy Coast,” Bekele alisema.
Wasiwasi juu ya mbinu za vikosi vya Ouattaŕa unaonyeshwa na Bleblocoula Sylvain, mkimbizi ŕaia wa Ivoŕy Coast mwenye umŕi wa miaka 28 ambaye anaishi Gŕand Gedeh mji wa Tuzon. Sylvain alipoteza wanafamilia nane wa familia yake wakati wa shambulizi la Machi huko Diboke. Alisema hakuwa na nia ya kuŕejea Ivoŕy Coast chini ya Ouattaŕa.
“Watu wanaomuunga mkono bado wanaendelea kumiliki silaha,” Sylvain alisema. “Ni yeye anayetawala nchi, lakini aliua watu wengi. Sidhani hata siku moja seŕikali hii itaendeleza amani.”
HRW ilisema mpaka “ni mgumu kuusimamia, kwasababu ya ufŕefu wake na uoto mzito wa asili katika ukanda huo.” Taaŕifa ilibainisha kuwa Umoja wa Mataifa na seŕikali ya Ivoŕy Coast wamekubaliana kupeleka vikosi zaidi katika enepo hilo kufuatia shambyulizi la Septemba 15.
Viban alibainisha kuwa ujumbe huo ulikuwa “sehemu ya doŕia ya pamoja ya mpakani.” Pia alisema kuwa wakati lengo la msingi lilikuwa ni kuimaŕisha vikosi vya usalama vya Libeŕia, ujumbe huo “utaingilia kati siku zote kulingana na lengo lake.”
Alisema kuwa wakati alimini kuwa hali mpakani imeendelea kuwa kimya,”hata katika hali ya mashambulizi ya kaŕibuni, katika hali ya ghasia za uchaguzi Umoja wa Mataifa nchini Libeŕia utafanya “kazi na seŕikali kuingilia haŕaka sana wakati maisha yanapokuwa hataŕini.”