NAIROBI, Juni 2 (IPS) – “ARVs zinaweza kubadili mambo, lakini hazibadili hali yangu ya kiuchumi na nijamii. Ndiyo, napata ARVs; lakini siwezi kupata chakula cha bei nafuu mezani,” anasema mtu ambaye anasisitiza kutambuliwa kama wa Kimani. “Hii ndiyo sababu iliyonifanya kujiandikisha katika vituo viwili vya kutoa matibabu, ili niweze kupata ARVs (madawa ya kupunguza makali…