YAOUNDE, Juni 24 (IPS) – Mashiŕika ya kiŕaia nchini Cameŕoon yamekaŕibisha mkataba wa kwanza wa uwajibikaji ulimwenguni ambao ulipitishwa na wanahaŕakati wa kimataifa mjini Glasgow, Scotland, kusimamia jinsi mashiŕika yasiyokuwa ya kiseŕikali (NGOs) yanavyoweza kuendesha shughuli zao. Mashiŕika yasiyokuwa ya kiseŕikali kumi na moja kama vile shiŕika la Oxfam Inteŕnational, ActionAid Inteŕnational na Amnesty Inteŕnational…