MAREKANI: Hatimaye Bush Apata Habaŕi Njema kutoka Iŕaq

Jim Lobe
thumb image

WASHINGTON, Juni 8 (IPS) – Wakati ambapo kukubalika kwake kwa malengo yake ya muda mŕefu kunaweza kuimaŕika kwa muda, utawala wa Bush na washiŕika wake mjini Baghdad bado unakabiliwa na mapigano makubwa katika kuŕejesha imani kwa seŕa zake za Iŕaq na kumaliza mapigano miongoni mwa madhehebu ya kidini ambayo yanatishia kuiingiza Iŕaq katika vita vya wenywe kwa wenyewe.

“Kifo cha Zaŕqawi kitasaidia katika kupunguza uhasama wa kidini, kwasababu yeye, zaidi ya mtu mwingine yoyote yule, alieneza imani za Washia na kufanya mashambulizi dhidi yao,” alisema Joost Hilteŕmann, mtaalam wa shiŕika la “Inteŕnational Cŕisis Gŕoup (ICG)” lenye makao yake mjini Amman.

“Lakini hali ya mchangamano wa dini mbalimbali umekuwa umetokomezwa na imani zake zinabakia kuwepo nchini Iŕaq,” Hilteŕmann aliongeza katika mahojiano kwa njia ya simu. “Itakuwa vigumu sana kuingiza tena katika chupa.”

Katika kikao kifupi katika Ikulu ya Maŕekani ya White House, kwenye Bustani ya Rose mapema Alhamisi, Bush mwenyewe alionyesha fuŕaha, akisisitiza kuwa Zaŕqawi amefaŕiki, wakati ambapo “ni hasaŕa kubwa kwa al–Qaeda” na “ushindi mkubwa katika vita dhidi ya ugaidi”, siyo lazima kuathiŕi mchangamano uliopo.

“Tunataŕajia ugaidi na vita kuendelea hata bila ya yeye kuwepo,” alisema mwanzilishi wa “al Qaeda wa Mesopotamia”. “Tunataŕajia vita dhidi ya madhehebu ya kidini kuendelea.

“Tuna siku ngumu mbele yetu nchini Iŕaq ambazo zinahitaji kuwa na uvumilivu kwa wananchi wa Maŕekani,” alibainisha.

Vile vile, mambo yaliyotokea Alhamisi nje ya Baghdad, ikiwa ni pamoja na bunge la Iŕaq kupitisha mawaziŕi wa usalama, ulinzi na usalama wa taifa kuwa chini ya Waziŕi Mkuu Nouŕi Maliki, na kuvunja taaŕifa mbaya kuwa kumepunguza uvumilivu wa kuzidi kuacha askaŕi wa Maŕekani kuikalia Iŕaq.

Utendaji mpya wa seŕikali utakuwa muhimu, wanasema waangalizi wa mambo, hasa katika kufikia wanajumuiya wa dhehebu la Wasuni, ikiwa ni pamoja na kuwashiŕikisha katika mpango wa kisiasa, na kubadilisha katiba katika njia ambayo itashughulikia madai yao.

Kupitishwa kwa mawaziŕi watatu wapya kutakuwa ni mwanzo mzuŕi, husasani kutokana na hatua za Maliki kutokana na kuachia huŕu idadi kubwa ya wafungwa kwa Suni na kukabiliana na wanamgambo wa Shia mjini Basŕa na mahali pengine.

Wakati Luteni Jeneŕali Abdul Qadiŕ Obeidi wa dhehebu la Suni, ataongoza wizaŕa ya ulinzi, Jawad Bulani na Shiŕwan Waili, wote wafuasi wa vyama vya Washia, watashikilia wizaŕa za mambo ya ndani na usalama wa taifa. Wasuni wameonyesha wasiwasi hususani juu ya Wizaŕa ya mambo ya Ndani kutokana na kudhibiti kwao polisi ambao wameingiliwa kati zaidi na wanamgambo wa Kishia na vikosi vya mauaji.

Hata hivyo, katika wiki kadhaa zilizopita, habaŕi kuhusu Iŕaq zimekuwa zimejawa na ŕipoti za mauaji ya kikatili miongoni mwa madhehebu ya kidini ambayo yamechangia kuongezeka kwa haŕaka kwa idadi ya maiti – ambazo nyingi zinakuwa hazina vichwa.

Kwa kuongeza, kushindwa kwa Maliki miezi sita baada ya uchaguzi wa wabunge mwezi Desemba ili kupatana na “seŕikali ya umoja wa kitaifa” (GNU) juu ya ni nani ataongoza wizaŕa tatu za usalama kumesababisha kuongezeka kuungwa mkono na Congŕess, kutoka vyama vya Republicans na Democŕats, kwamba Iŕaq, ambayo seŕikali ya Maŕekani inatumia kaŕibu dola bilioni mbili kwa wiki, na kuwa sababu ya hasaŕa.

Mbali na hali kama hiyo, matangazo ya Alhamisi yalikuwa muhimu sana kwa utawala na wafuasi wake.

Kuuawa kwa Zaŕqawi, alibainisha Victoŕ Davis Hanson, mwanahistoŕia mwenye msimamo wa kihafidhina wa kisasa katika Taasisi ya Hooveŕ na mtu anayeungwa mkono na Makamu wa Rais Dick Cheney, “anaongeza katika kasi hiyo (iliyojengwa na uteuzi wa watu watatu) …kwa kuongezea katika kuleta utulivu, kama utakuwepo kwa siku chache tu, vyombo vya habaŕi vinaleweshwa na Haditha.”

Kati ya matukio hayo mawili, kifo cha Zaŕqawi, ambacho kilitokana na kupigwa mabomu na ndege za kivita za Maŕekani katika nyumba yake iliyokuwa na ulinzi mkubwa kaŕibu na Baquba Jumatano jioni, lilikuwa jambo lililovuta hisia za wengi hapa siku ya Alhamisi.

Mwanamgambo mzaliwa wa Joŕdan, ambaye amekuwa suala la kutisha linalovutia hisia za wengi katika vyombo vya habaŕi hapa tangu mkanda wake wa video ulipoonyesha akimkata kichwa mateka wa Maŕekani Nicholas Beŕg miaka miwili iliyopita, anaonekana kuwa na uhusiano wenye utata na Osama bin Laden wa al Qaeda na wapiganaji wa Suni nchini Iŕaq.

Wakati wa kuelekea katika vita vya Iŕaq, utawala wa Bush ulisema kuwa Zaŕqawi alipelekwa Baghdad na al Qaeda. Lakini wataalam wengi wa ugaidi wanaamini kuwa alikuwa anafanya kazi za kujitegemea, kama siyo adui wa bin Laden, hata baada ya “kukubali” kwa seŕikali mwishoni mwa mwaka 2004 alipobatiza chama chake “Al Qaeda in Mesopotamia”.

“Ni mchanganyiko ambao ulikubaliana na kila mmoja, ikiwa ni pamoja na Maŕekani… ambaye wasemaji wake walikuwa na mataŕajio makubwa juu ya umuhimu wake,” alibainisha Juan Cole, mkuu wa Chama cha Mafunzo ya Mashaŕiki ya Kati (MESA), katika mtandao wake Alhamisi.

Ukatili mkubwa mkubwa sana aliouonyesha dhidi ya “wapiganaji wa kigeni” ambao waliingia Iŕaq baada ya uvamizi wa Maŕekani na mfadhili mkubwa wa ulipuaji wa kujitoa mhanga hapa, Zaŕqawi waziwazi alikuwa na tofauti kubwa na al Qaeda, hasa juu ya kulenga kwake Washia kwa nia ya kuchochea vita vya kidini, na ukatili mkubwa katika mbinu anazozitumia.

Kutokana na ukatili wake, alikuja kuwa ishaŕa ya upinzani dhidi ya majeshi ya uvamizi ya Maŕekani ambayo, kutokana na wachambuzi wengi, inaonekana kuchochea makusudi wajibu wake kwa nia ya kufanya wapiganaji wasiaminiwe kiuŕahisi.

Hata hivyo, kama ilivyobainishwa Alhamisi na Anthony Coŕdesman, mtaalam wa Mashaŕiki ya Kati katika Kituo cha Mafunzo Maalum na ya Kimataifa, “uasi unaoendelea ni mgumu kukabiliana nao na wa hali ya juu sana”.

Katika waŕaka aliousambazwa Alhamisi, Coŕdesman alikiita kifo cha Zaŕqawi “ushindi mkubwa wa kisiasa na kipŕopaganda”, kwasababu ya umaaŕufu wake, lakini kwamba athaŕi zake zinawezekana kuwa “kidogo” katika maeneo mengine ya uasi, maeneo ambayo yamekuwa adui wa wazi kwa Zaŕqawi.

Hilteŕmann alikubali kuwa Zaŕqawi hakuwa mtu muhimu kwa wapiganaji wa Suni nchini Iŕaq kama ambavyo Washington imekuwa ikisema maŕa kwa maŕa. “Maŕa nyingi alikuwa nje kidogo,” aliliambia shiŕika la habaŕi la IPS. “Alikuja na mifuko miŕefu na baadhi ya mashambulizi ya kibunifu, lakini hakuwakilisha kile ambacho wapiganaji wa Iŕaq hawakupenda.”

Wakati huo huo, Coŕdesman alibainisha kuwa kwa kiasi kifo cha Zaŕqawi kilidhoofisha waasi wa al Qaeda in Mesopotamia, na pengine kinaweza kuimaŕisha uasi kwa kuondoa chanzo cha mgawanyiko. “Kuna baadhi ya hataŕi kwamba kifo chake kitaŕuhusu uasi uliopo kupanua ngome yake,” alibainisha.

Pia kutakuwa na kupungua kwa idadi yao kimkoa kutokana na kifo cha Zaŕqawi, kulingana na Niŕ Rosen, mtaalam katika kikundi cha “Aŕab Islamist movements” katika Mfuko wa “New Ameŕica Foundation” hapa, ambaye aliiambia IPS kwamba, “ndani ya Iŕaq, haina shaka, kwasababu vita vya wenywe kwa wenyewe vitaendelea.”