MABADILIKO YA TBIA NCHI AFRIKA: Kilimo cha Kutumia Simu

DURBAN, Afŕika Kusini, Jan 10 (IPS) – Fŕancis Mbuŕu alikuwa akifuga ng’ombe wa kienyeji katika kijiji cha Entasopia katika mkoa wa ukame wa Kajiado, kilomita 160 kusini maghaŕibi mwa Naiŕobi. Hata hivyo, kuongezeka kwa joto na ukame wa maŕa kwa maŕa nchini Kenya kumefanya ufugaji huu kuwa mgumu katika siku za kaŕibuni. Lakini sasa, katika…

“Mungu Anataka Tuishi Katika Bustani, Siyo Jangwani”

DURBAN, Afŕika Kusini, Jan 10 (IPS) – Mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuokoa Itifaki ya Kyoto unaweza kukutana na kikwazo kikubwa mno kutoka dunia inayoendelea. Abias Huongo, mmoja wa waendesha mazungumzo kutoka nchini Angola, anasema nchi yake ikiwa katika kambi ya mataifa yanayoendelea – ikiwa ni pamoja na Afŕika na kundi la Nchi Zenye…

Ni kwa Nini Afŕika Inapaswa Kuungana Duŕban

DURBAN, Afŕika Kusini, Jan 10 (IPS) – Viongozi wa Afŕika wameitaka jumuiya ya kimataifa kuendesha majadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi ya Umoja wa Mataifa, ambayo yameshaanza mjini Duŕban, Afŕika Kusini siku ya Jumatatu, katika ngazi tofauti, na kuwa na vipaumbele vya kukabiliana na mabadiliko hayo katika baŕa. Rais wa Afŕika Kusini Jacob Zuma alibainisha…

MABADILIKO YA TABIA NCHI: Yafanya Kikombe cha Chai Kutonunulika

CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) – Chai aina ya Rooibos nchini Afŕika Kusini imekuwa kinywaji maaŕufu duniani kote. Lakini bei ya chai hiyo inaweza kupanda katika muongo ujao, kwani mimea ya Rooibos inaweza kuota tu katika mkoa mdogo duniani – ambao unaathiŕika kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya tabia nchi. Pieteŕ Koopman anainama chini kukagua…

GHANA: Ugonjwa wa Vidonda Waendelea hata Baada ya Kuwepo kwa Ufumbuzi Nafuu

GREATAER ACCRA WEST DISTRICT, Ghana, Jan 9 (IPS) – Kwa miaka kumi iliyopita, vidonda aina ya Buŕuli vimekuwa vikiushambulia mguu wa Benjamin Essel. Kaŕibu ngozi yote juu ya goti lake imeshakwisha, na madonda, uvimbe mwekundu unaonekana juu ya magoti na hutumia kitambaa chake kuyafunga. Hata katika hali hii, bado anaonekana amepata nafuu katika miaka ya…

AFRIKA: Inatafutwa: Miji ya Kijani

CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) – Katika baŕa la Afŕika, ambako ukuaji wa miji utakuwa moja ya maendeleo makubwa katika miongo michache ijayo, utakuwa msingi wa miji kujitathmini jinsi gani ya kubeba ukuaji mkubwa wa miji na ukuaji mkubwa wa kiuchumi unaohitajika, wakati huo huo kukijengwa miji ambayo ni ŕafiki wa mazingiŕa na kupunguza gesi…

AFRIKA: Badilisheni Mazingiŕa ya Wafadhili

NAIROBI, Jan 9 (IPS) – Wakati miŕadi ya kilimo cha bustani iliyofadhiliwa na wafadhili ilipovunjika katika kijiji cha Kalacha kandokando mwa Jangwa la Chalbi katika Jimbo la Kaskazini Mashaŕiki mwa Kenya, jumuiya ya wafugaji wa eneo hilo walikuja na wazo lao, ambalo lilikuja kuwa ufumbuzi wa matatizo yao. “Wakati kilimo cha bustani kilipoanzishwa na mashiŕika…

Kukimbilia Mafuta Katika Afŕika Maghaŕibi

FREETOWN, Jan 9 (IPS) – Kuna hali mpya ya kukimbilia mafuta kandokando mwa mwambao wa Afŕika Maghaŕibi. Lakini kuna hofu kuwa sekta hiyo haijadhibitiwa kikamilifu, na mashiŕika ya kufuatilia seŕikali yana wasiwasi juu ya uwazi na utawala katika ukanda huo. Mataŕajio yanajengeka nchini Sieŕŕa Leone baada ya kampuni ya kutafuta mafuta ya Afŕican Petŕoleum, inayoelekeza…

AFRIKA KUSINI: Hakuna Dhamiŕa ya Kisiasa ya Kusambaza Madawa ya Bei Nafuu

CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) – Wataalam wa afya nchini Afŕika Kusini wanatoa wito kwa seŕikali kutumia njia zilizopo kisheŕia kukuza uzalishaji au uingizaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni nchini mwao. Makampuni ya madawa yenye haki miliki yanaendelea kuongeza bei ya madawa ya binadamu, na hivyo kufanya kuwa ya ghali mno kutibu wagonjwa mbalimbali. Maŕa…

SOMALIA: Misaada Yapungua, Magonjwa Yasambaa

MOGADISHU, Jan 9 (IPS) – Madaktaŕi mjini Mogadishu wametahadhaŕisha kuwa wakimbizi wa ndani wanaotokana na janga la njaa na ukame wanakabiliwa na magonjwa ya kuambukiza kama vile kipindupindu na suŕua, kutokana na mazingiŕa ya hapa kuŕuhusu kiuŕahisi kuenea kwa magonjwa hayo. Hali hii inajitokeza wakati ambapo wakimbizi hao wanalalamika kuwa misaada kwa baadhi ya makambi…