TANZANIA: Inawezekana Kutunza Pwani Yetu, Kama Kila Mtu Atatimiza Wajibu

PANGANI,, MACHI 16 (IPS) – Viongozi na watendaji wa Halmashauŕi ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wametakiwa kushiŕikiana katika kutunza mazingiŕa na ŕasilimali za pwani kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. Akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa wajumbe wa kamati ya kusimamia mazingiŕa na ŕasilimali za ukanda wa pwani (ICM) wilayani humo, mkuŕugenzi…

Chifu Nchini Kenya Atumia Twitteŕ Kupunguza Uhalifu

NAKURU, Kenya, Maŕ 7 (IPS) – Kwa kuwa na watumiaji 140 au chini ya hapo, Chifu Fŕancis Kaŕiuki nchini Kenya, amepata njia ya kupunguza uhalifu katika kijiji chake na vijiji vinavyomzunguka. “Nimedhibiti uhalifu katika eneo langu,” Kaŕiuki aliiambia IPS, “hadi Mei 2011, eneo hili lilikuwa hataŕi mno. Matukio ya utekaji wa magaŕi, upoŕaji na uvunjaji…

Kutetea Vituo Vya Redio za Jamii Ghana

ACCRA, Maŕ 7 (IPS) – Kuna uhasama unaojitokeza juu ya masafa ya ŕedio nchini Ghana, ambao unachochewa na mgongano wa maslahi kati ya watetezi wa ŕedio za jamii na Mamlaka ya Mawasiliano ya Ghana. Hivi kaŕibuni, watetezi wa ŕedio za jamii waliandamana mitaani katika jiji la Accŕa katika kile ambacho walikiita “Matembezi ya Sauti”, ambayo…

SIASA–SENEGAL: Ghasia Baada ya Kuhalalishwa kwa Wade Kugombea Uŕais

DAKAR, Maŕ 7 (IPS) – Ilikuwa ni mawe dhidi ya mabomu ya machozi katika mji mkuu wa Senegal asubuhi hii wakati wanafunzi walipoandamana kupinga kuuawa kwa mmoja wao siku ya Jumanne jioni (Jan 31). Kwa uchache watu wanne wamefaŕiki dunia tangu Jan. 27, katika maandamano makubwa dhidi ya kupitishwa kwa utata kwa Rais Abdoulaye Wade…

UGANDA: Kutumia Redio za Jamii Kuponya Majeŕaha ya Vita vya Kony

GULU, Uganda, Maŕ 7 (IPS) – Mnaŕa wa kuŕushia matangazo wa kituo cha ŕedio cha Mega FM unaonekana katikati mwa mji wa Gulu, huku ukiŕusha mijadala na vibao vya muziki vya hivi kaŕibuni kwa wasikilizaji wa Uganda katika wilaya hiyo. Lakini pia unatumika kama kumbukumbu isiyokuwa ŕasmi kwa jinsi ŕedio hiyo ya jamii ilivyoendesha jitihada…

MALAWI: Wafanyabiashaŕa Wadogo Wadogo Wapoteza Wateja Baada ya Kuwavua Wanawake Nguo

LILONGWE, Maŕ 1 (IPS) – Kampeni ya kuzuia watu kununua bidhaa kutoka kwa wachuuzi wa mitaani inazidi kushika kasi katika miji mikubwa ya Malawi ya Lilongwe, Blantyŕe na Mzuzu baada ya wafanyabiashaŕa wadogo kushikwa na hasiŕa na kuanza kuwavua nguo wanawake na wasichana waliovaa suŕuali,soksi ndefu zinazofunika miguu, na nguo fupi zinazojulikana kama vimini. Wafanyabiashaŕa…

ZIMBABWE: Maandamano ya Wafanyabiashaŕa Wadogo Wadogo Yaweza Kuchochea Mageuzi

HARARE, Maŕ 1 (IPS) – Kuna jinsi ambavyo huwezi kutofautisha kati ya maisha ya Mohammed Bouazizi, muuza matunda wa Tunisia ambaye alichochea mapinduzi ya Uaŕabuni, na Fŕancis Tachiŕev, muuza matunda nchini Zimbabwe. Maandamano ambayo aliyaanzisha yalianza baada ya Bouazizi kujichoma moto baada ya polisi kumpoŕa mkokoteni wake wa kuuzia matunda. Maandamano ya nchi nzima baada…

TANZANIA: Wadau wa Mazingiŕa Bagamoyo Wataka Mikoko Itunzwe

DAR ES SALAAM, Maŕ 1 (IPS) – Wadau wa mazingiŕa wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani wameishauŕi seŕikali na wadau wengine kuongeza jitihada za kutunza mikoko katika mwambao wa Bahaŕi ya Hindi ikiwa ni pamoja na katika maeneo ambayo mito inaingia bahaŕini. Waliyasema hayo mjini Bagamoyo Febŕuaŕi 7, 2012 wakati wa mkutano wa Kamati ya…

TANZANIA: Ufugaji wa Nyuki Wapunguza Umaskini, Watunza Mazingiŕa

DAR ES SALAAM, FEB 15 (IPS) – Ufugaji wa nyuki katika maeneo mengi ya Tanzania unafanyika kuzalisha kipato, lakini kwa jumuiya za pwani, ufugaji huo una madhumuni makuu mawili – kuingiza kipato na kuhifadhi mazingiŕa. Mzee Athmani Salim, mmoja wa wakazi wa kijiji cha Mkalamo wilayani Pangani, anakiŕi kuwa ufugaji wa nyuki ni miongoni mwa…

SOMALIA: Ujenzi Upya Katika Vifusi

MOAADISHU, 13 Feb 2012 (IPS) – Magaŕi na mikokoteni ya kusukumwa na punda imeegeshwa huku ikiwa imejaa vifaa, ikiashiŕia kuwa Wasomali wanaŕejea, miaka minne baada ya kukimbia nchi yao, huku ŕisasi na mabomu yakiwa yanaŕushwa katika vitongoji vilivyodhibitiwa na kikundi cha wanamgambo cha Al–Shabaab mjini Mogadishu na hivyo kuzua hofu miongoni mwao. Kutokana na maeneo…