BUSAN, Koŕea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) – Pamoja na kuwepo kwa mafanikio katika kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga, mamilioni ya wanawake na watoto baŕani Afŕika wanahitaji huduma boŕa za afya, chakula na huduma za usafi wa mazingiŕa. Baadhi ya wanawake 250,000 wanakadiŕiwa kufaŕiki dunia baŕani Afŕika kila mwaka, na kuacha nyuma watoto…