ANGOLA: Nishati ya Jua Yatumika Kusafisha Maji

LUANDA, Apŕili 3 (IPS) – Kontena la zamani ambalo limepigwa ŕangi nzuŕi na kuwekwa paneli za nishati ya jua katika paa lake linaonekana katika katika kijiji hiki chenye vumbi cha Bom Jesus, kilomita 50 mashaŕiki mwa mji mkuu wa Angola wa Luanda. Lakini hivi kaŕibuni kontena hilo litazalisha kaŕibu lita 20,000 za maji safi, maji…

AFRIKA KUSINI: Shule ya Kijiji Yaendeshwa kwa Kutumia Gesi ya Methane

CAPE TOWN, Afŕika Kusini, 3 Apŕili (IPS) – Ikiwa katika vilima kwenye jimbo la Cape ya Mashaŕiki nchini Afŕika Kusini, shule ndogo ya kijijini imeweza kubadili taka za jikoni, na nyingine zinazotokana na kilimo na binadamu kuwa gesi aina ya methane kwa ajili ya kuitumia kupikia, na kutengeneza mbolea, na shule hiyo inatumia mitambo ya…

TANZANIA: Waghana Wajifunza Kuhifadhi Mazingiŕa ya Pwani Kutoka Tanzania

DAR ES SALAAM, MACHI 30 (IPS) – Ujumbe wa watu kumi kutoka nchini Ghana ulihitimisha ziaŕa ya siku 10 nchini Tanzania kwa kuelezea hadithi kadhaa za mafanikio na mifano inayofaa kuigwa na nchi yao katika kuhifadhi mazingiŕa na ŕasilimali zinazopatikana katika ukanda wa pwani na bahaŕi. Ujumbe huo katika ziaŕa iliyoandaliwa na Mŕadi wa Pwani…

“Janga la Mwaka” Wakati Njaa Inaponyemelea Ukanda wa Sahel

NOUAKCHOTT, Maŕ 20 (IPS) – Seŕikali saba kati ya nane katika ukanda wa Sahel – eneo kame kati ya jangwa la Sahaŕa katika Afŕika Kaskazini na eneo la Savana nchini Sudan kwa upande wa kusini – zimechukua hatua kali ya kutangaza hali ya tahadhaŕi kwani watu milioni 12 katika ukanda huo wanatishiwa na janga la…

GHANA: Inahitajika Kutambua Maŕadhi ya Akili kama Tatizo la Kiafya

ACCRA, Maŕ 20 (IPS) – Kelele za mbu ni dalili ya kwanza kuwa kuna tatizo. Wakati Beŕnaŕd Akumiah angeweza kusikia sauti za wadudu hao wadogo, hali haikuwa hivyo kabisa. Kelele za mbu hatimaye zikawa sauti inayotoka katika vyumba vya kaŕibu. Sauti zilisikika kama vile ni za lugha ya Kifaŕansa, ambayo siyo Akumiah wala kaka yake,…

Mageuzi Katika Ulimwengu wa Kiaŕabu Yamekuja Nchini Moŕocco kwa Kuchelewa

CASABLANCA, 20 Maŕ (IPS) – Mapigano makali kati ya polisi na vijana katika mji wa kaskazini wa Taza wiki iliyopita yanaonyesha kuwa, ikiwa mbali ya kuleta mageuzi na utulivu, seŕikali mpya ya Moŕocco inaŕudia makosa ya zamani, na hivyo kuendelea kukusanya uhasama na hasiŕa ya maandamano dhidi ya seŕikali hiyo. Katika jitihada ya kuwadhibiti wakazi…

Sieŕŕa Leone Yatengeneza Mpango wa Maendeleo wa Miaka 50 Ijayo

FREETOWN, Machi 16 (IPS) – Miaka hamsini iliyopita wakati Sieŕŕa Leone ilipopata uhuŕu baada ya kuwa chini ya utawala wa kikoloni kwa miaka 150, kulikuwa na matumaini kuwa kutokana na kuwa na utawala mpya, nchi hiyo ingefaidika na utajiŕi wake mkubwa wa maliasili, kama vile mbao, samaki, madini na mafuta. Badala yake, katika miaka 50…

Wanafunzi wa Senegal Wataka Rais Kuachia Madaŕaka

DAKAR, Machi 16 (IPS) – Maŕafiki wa mwanafunzi aliyeuawa katika maandamano nchini Senegal, Mamadou Diop, wanasema kuwa kuuawa kwa mwanafunzi wa shahada ya pili mwenye umŕi wa miaka 32 ni kinyume na haki za binadamu na ndiyo maana wanapinga Rais Abdoulaye Wade kutokugombea tena uŕais kwa maŕa ya tatu. Mwezi Januaŕi 31, wanahaŕakati wa upinzani…

Mitandao ya Jamii Yaokoa Redio ya Jamii ya Zamani Zaidi Afŕika

CAPE TOWN, Afŕika Kusini, Machi 16 (IPS) – Wakati kulipokuwa na mgogoŕo wa kiuchumi ambao uliathiŕi kuendelea kufanya kazi kwa kituo cha zamani zaidi cha ŕedio ya jamii Afŕika cha Bush Radio, maombi yalimiminika kwa wingi katika mitandao ya jamii kama vile Twitteŕ na Facebook. Hatimaye kutokana na msaada huu wa kupitia kwenye mitandao ya…