N’DJAMENA, Mei 7 (IPS) – “Ni Mungu tu anayejua nini kinatokea kwangu mimi na watoto – kwa miezi miwili hatukuwa na kitu cha kula. Tunaishi kama ombaomba,” Henŕiette Sanglaŕ, mama wa watoto wanne katika majengo ya makazi ya Mouŕsal kwenye mji mkuu wa Chad, N’Djamena, aliiambia IPS. “Njaa inazidi kushika kasi hata hapa N’Djamena,” alisema…