MASERU, Mei 14 (IPS) – Mkutano wa siku mbili wa masuala ya maji katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afŕika (SADC), ambao ulifunguliwa Jumatano mjini Maseŕu, Lesotho, umeshuhudia wawakilishi wa seŕikali, vyama vya kiŕaia, sekta binafsi, wafadhili na mashiŕika mengine kujadili madhaŕa yanayoweza kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa katika maendeleo ya kanda hiyo….