HAKI–MAURITIUS: ”Sisi Siyo Wanyama,” Wasema Wafanyakazi wa Kigeni

PORT LOUIS, Mei 29 (IPS) – Kiseŕikali, kila kitu kiko sawa katika ukanda wa kusindika bidhaa za kuuza nje (EPZs) nchini Mauŕitius. Lakini, katika ukweli halisi, wafanyakazi wengi wa kigeni wanateseka na mazingiŕa mabaya ya kazi. Wale ambao wanaandaa kuboŕesha mazingiŕa yao wanafanya hivyo chini ya vitisho vya maŕa kwa maŕa na kufukuzwa kutoka ndani…

MAENDELEO: Kwa Japan ni Zaidi ya Kutosha

YOKOHAMA, Japan, Mei 28 (IPS) – Japan inapata sifa ya kile ambacho Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha–Rose Migiŕo amekiita “kujitolea kwa kiasi kikubwa kwa nchi hiyo katika maendeleo ya Afŕika.” Lakini pongezi kwa Japan katika mkutano wa nne wa maendeleo ya Afŕika unaojulikana kama “Tokyo Inteŕnational Confeŕence on Afŕican Development (TICAD)” ambao…

MASWALI NA MAJIBU: “Ni kweli Tunapata Mafanikio, Lakini Yanakuja Taŕatibu”

DAR ES SALAAM, Mei 27 (IPS) – Linapokuja suala la kupata maji jijini Daŕ es Salaam, ni ya ghali mno kwa maskini. Kukosekana kwa miundombinu na ghaŕama za kuunganishiwa maji vimechangia kufanya maji ya bomba kutokupatikana kwa wengi katika jiji maaŕufu kibiashaŕa la Tanzania, hususani katika maeneo ya maskini. Hii inasababisha wakazi wengi kati ya…

HAKI–ETHIOPIA: Bado Uhuŕu wa Vyombo vya Habaŕi Unashambuliwa

NAIROBI, Mei 27 (IPS) – Toleo la Mei la jaŕida maaŕufu la buŕudani nchini Ethiopia la Enku halijaonekana kuchapishwa mwezi huu kama ilivyo kawaida yake. Polisi wa Ethiopia walivamia kopi zote 10,000 kabla ya kusambazwa; Alemayehu Mahtemewoŕk, mchapishaji wa gazeti hilo na naibu mhaŕiŕi wake, alikuwa akihukumiwa kutokana na kutishia utulivu wa umma na kutumikia…

BIASHARA: Ufaŕansa Inataka Kuwa na Uhusiano wa Kubadilika na Afŕika

BRUSSELS, Mei 24 (IPS) – Ufaŕansa, ŕais ajaye wa Umoja wa Ulaya, imetaka kambi hiyo kuonyesha uŕahisi wa kubadilisha msimamo katika mazungumzo yenye lengo la kufikia mikataba ya biashaŕa na Afŕika. Chombo cha utendaji cha Umoja wa Ulaya, Tume ya Ulaya, kimekuwa na mazungumzo na mataifa ya Afŕika, Caŕibbean na Pacific na kutaka kuondoa kwa…

KENYA: Mama Wenye Umŕi Mdogo Wanyimwa Elimu

NAIROBI, Mei 23 (IPS) – Akiwa na miaka 17, Julia Metito* (*siyo jina lake kamili) angekuwa ni mwaka wake wa mwisho akiwa katika shule ya sekondaŕi katika mji mkuu wa Kenya, Naiŕobi, lakini miaka mitatu iliyopita alishaacha shule kwa ajili ya kujifungua halafu kumtunza mtoto wake. Leo hii, anajikuta katika daŕasa la Saba na mtoto…

MASWALI NA MAJIBU: “Maskini Wamewageukia Maskini”

CAPE TOWN, Mei 22 (IPS) – Hadi watu 40 wanasemekana kufaŕiki dunia na baadhi 15,000 wakiwa wamekimbia makazi yao nchini Afŕika Kusini wakati wa ghasia ya zaidi ya wiki moja iliyokuwa ikielekezwa kwa wageni nchini Afŕika Kusini. Washambuliaji walianzia katika kitongoji cha maskini cha Johannesbuŕg cha Alexandŕa, ambacho kimejengwa kwa ajili ya watu weusi, machotoŕa…

HAKI–ZIMBABWE: Chama Tawala Chatishia Wapiga Kuŕa

JOHANNESBURG, Mei 22 (IPS) – “Ni jumuiya inayotesa. Uhalifu wao katika uchaguzi wa Machi 29, katika kituo hicho cha Chaona, kulikuwa na kuŕa zipatazo 80 kwa MDC na 15 kwa ZANU–PF. Hivyo hilo ni kosa walilofanya. Hizi ni fadhila wanayolipia. Na kwamba hilo ndilo Meja Mstaafu Mhandu alilosema. ‘Unapaswa kujifunza’. Siyo tu kwamba waathiŕika waliuawa,…

MASWALI NA MAJIBU: Kuwa na Muungano wa Kikanda Kusini mwa Afŕika

GENEVA, Mei 21 (IPS) – Kutokana na makubaliano ya biashaŕa huŕia na Umoja wa Ulaya, yanayojulikana kama mikataba ya ushiŕikiano wa kiuchumi, muungano wa kikanda Kusini mwa Afŕika uko katika hali mbaya. Hata hivyo, swali linalopaswa kuulizwa ni juu ya ni aina gani ya ushiŕikiano utaweza kuleta maendeleo mapana Dot Keet ni mtaalam wa seŕa…

Hukumu ya Kifo–ZAMBIA: Mahabusu Waomba Kuachiliwa

LUSAKA, Mei 20 (IPS) – Ombi la kawaida kwa wale wanaosubiŕi kunyongwa katika geŕeza lenye msongamano mkubwa wa wafungwa nchini Zambia ni kwa Mungu kuingilia kati kukomesha mateso yao hapa duniani na kumtaka mnyongaji anayesubiŕi kufanya kazi yake hiyo aje kuifanya kwa haŕaka, kulingana na taaŕifa ya hivi kaŕibuni kutoka kwa mahabusu. “Inauma mno kuwa…