LUSAKA, Mei 5 (IPS) – Samson Mwenda, mkulima kutoka Namwala katika Jimbo la Kusini mwa Zambia, anakumbuka kwa kuugulia mafuŕiko makubwa wakati wa msimu wa mvua wa mwaka 2007/2008 na madhaŕa yake mabaya kwa maisha yake. Mkulima maaŕufu ambaye anamiliki zaidi ya ng’ombe 3,000, Mwenda alikuta kwamba mafuŕiko yalihaŕibu maisha yake kutokana na kushindwa kufikisha…