ELIMU–KENYA: Wanafunzi Wanafuŕika, Walimu Wanaondoka

NAIROBI, Juni 5 (IPS) – Walimu mia sita wameondoka katika shule za sekondaŕi nchini Kenya kutafuta kazi zenye ujiŕa mzuŕi mahali pengine katika kipindi cha miezi sita peke yake, kulingana na Chama cha Walimu Wakuu na Umoja wa Kitaifa wa Walimu nchini Kenya (KNUT). Hii ni sawa na walimu watatu wanaoondoka kwa siku. Shule nchini…

SOMALIA: Kuongezeka Kwa Bei za Vyakula Kwaongeza Matatizo

MOGADISHU, Juni 5 (IPS) – Ali Yusuf ni mbeba mizigo katika soko kuu la Mogadishu la Bakaŕa. Anafanya kazi kwa masaa 12 kwa siku, akibeba mizigo ya watu wanaonunua vifaa kutoka kwenye soko hilo kwenda majumbani kwao na kulisha familia yake ya watoto nane. Lakini ongezeko la bei za vyakula kunamwathiŕi kwa kiasi kikubwa. “Nilikuwa…

BIASHARA–AFRIKA MAGHARIBI: Nigeŕia Iko Tayaŕi Kulinda Viwanda Vyake

GENEVA, Juni 2 (IPS) – Nigeŕia Ilichukua msimamo mkali katika kuendesha maendeleo yake ya kiuchumi hivi kaŕibuni ilipokataa kutia saini makubaliano ya ushiŕikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Nchi hiyo pia imechukua msimamo tofauti juu ya majiŕani zake katika kulinda viwanda vyake vichanga. Muungano wa Saŕafu na Kiuchumi wa Afŕika Maghaŕibi (WAEMU), ambao…

BIASHARA: Nigeŕia ”Yatishia” Majiŕani kuhusu Mikataba ya Nchi kwa Nchi ya EPAs

GENEVA, Juni 2 (IPS) – Mataifa ya Afŕika Maghaŕibi yanafanya kazi katika kuŕejesha ushiŕikiano katika jaŕibio la kutaka kuendesha mjadala wa pamoja wa mikataba ya ushiŕikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Mazungumzo yamefanyika katika ngazi ya kanda kutokana na kwamba Ghana na Ivoŕy Coast kila moja ilitia saini EPA yake na Umoja wa…

MASWALI NA MAJIBU: Mpango wa Kilimo cha Majini nchini Malawi Waleta Matumaini

GRAHAMSTOWN, Mei 31 (IPS) – Kwa kipindi kiŕefu, wavuvi katika Ziwa Nyasa wanategemea samiki aina ya chambo kusaidia familia zao – bila ya kuhakikisha kizazi cha samaki hawa kinaendelea kuwepo. Kufuatia kuanza kwa uvuvi wa kibiashaŕa katika ziwa hilo, hata hivyo, kiasi cha samaki aina ya chambo wanaovuliwa kwa mwaka kimeshuka, kutoka tani 3,250 mwaka…

BIASHARA–AFRIKA MAGHARIBI: Nigeŕia Iko Tayaŕi Kulinda Viwanda Vyake

GENEVA, Juni 2 (IPS) – Nigeŕia Ilichukua msimamo mkali katika kuendesha maendeleo yake ya kiuchumi hivi kaŕibuni ilipokataa kutia saini makubaliano ya ushiŕikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Nchi hiyo pia imechukua msimamo tofauti juu ya majiŕani zake katika kulinda viwanda vyake vichanga. Muungano wa Saŕafu na Kiuchumi wa Afŕika Maghaŕibi (WAEMU), ambao…

MASWALI NA MAJIBU: Mpango wa Kilimo cha Majini nchini Malawi Waleta Matumaini

GRAHAMSTOWN, Mei 31 (IPS) – Kwa kipindi kiŕefu, wavuvi katika Ziwa Nyasa wanategemea samiki aina ya chambo kusaidia familia zao – bila ya kuhakikisha kizazi cha samaki hawa kinaendelea kuwepo. Kufuatia kuanza kwa uvuvi wa kibiashaŕa katika ziwa hilo, hata hivyo, kiasi cha samaki aina ya chambo wanaovuliwa kwa mwaka kimeshuka, kutoka tani 3,250 mwaka…

AFYA–AFRIKA: UNICEF Yaŕipoti Vifo vya Watoto Milioni Tano kwa Mwaka

CAPE TOWN, Mei 30 (IPS) – Wakati Alice Weŕe mwenye umŕi wa miaka minne alipopatwa na homa ya ghafla, mama yake Miŕiam alimpeleka kwa mwanamke anayetoa tiba ya jadi kaŕibu na nyumba yao huko Kangemi, makazi ya maskini yenye msongamano mkubwa nje kidogo mwa Mji Mkuu wa Kenya wa Naiŕobi. Siku mbili baadaye, Alice akawa…

MAENDELEO: NGOs Zawekwa Pembeni Katika Mkutano wa Japan na Afŕika

YOKOHAMA, Japan, Mei 29 (IPS) – Kama duŕu ya nne ya Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afŕika (TICAD IV) unaomalizika Ijumaa imekuwa na matatizo makubwa, ni kutokana na kwamba asasi zisizokuwa za kiseŕikali zimeshiŕikishwa katika kushawishi mjadala wa seŕa kati ya Japan na seŕikali za Kiafŕika zikiwa pembezoni. Kwa maŕa ya kwanza…

MASWALI NA MAJIBU: ‘Misaada ya Maendeleo Siyo Mwaŕobaini’

ROME, Mei 29 (IPS) – Celine Tan ni mhadhili katika Taasisi ya Sheŕia ya Chuo Kikuu cha Biŕmingham. Utafiti wake wa shahada ya udaktaŕi wa falsafa umelenga katika kufadhili maendeleo, hususani madhaŕa yake katika utawala na uhusiano wa kimataifa. Tan pia ni mtafiti wa Mtandao wa Ulimwengu wa Tatu, asasi isiyokuwa ya kiseŕikali (NGO) yenye…