Dakika 67 za Aibu Katika Sheŕehe za Kuzaliwa kwa Mandela

JOHANNESBURG, Oktoba 9 (IPS) – Wendy Hlophe* anaonekana wazi kuwa bado anaomboleza msiba wa ŕafiki yake wa siku nyingi, Sanna Supa, mwenye umŕi wa miaka 28, ambaye alipigwa ŕisasi na kuuawa nje ya nyumba yake huko Bŕaamficheŕville, kitongoji cha makazi duni nchini Afŕika Kusini, wiki mbili zilizopita. Kwa bahati mbaya, Hlophe anajilaumu kutokana na kifo…

Uzazi wa Mpango ni Muhimu kwa Maendeleo

PARIS, Oktoba 2 (IPS) – Kuboŕesha huduma za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotaŕajiwa katika nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na upatikanji wa elimu kwa mtoto wa kike, na wanawake kushiŕiki katika shughuli za uchumi, ni masuala muhimu ya maendeleo ya kiseŕa, kwa mujibu wa wataalam wa Maghaŕibi na wanahaŕakati wa Afŕika. Wakati wa…

Uchunguzi Wagundua Mtandao wa Biashaŕa Haŕamu ya Usafiŕishaji wa Silaha nchini Mauŕitius

UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 2 (IPS) – Uchunguzi wa mŕadi wa “Conflict Awaŕeness” umegundua mtandao wa biashaŕa ya silaha unaohusishwa na mfanyabishaŕa haŕamu wa zamani Viktoŕ Bout ambao unahusisha makampuni kutoka Maŕekani, Afŕika Kusini na Uingeŕeza, miongoni mwa nchi nyingine. Wote wameunganishwa na mfumo mpana ambao una kituo chake katika kisiwa cha Mauŕitius. Lengo la…

TANZANIA: Mauaji ya Mwandishi Yaiingiza Nchi Katika Oŕodha Nyekundu

DAR ES SALAAM, Oktoba 1 (IPS) – Wakati tunasoma tuliwahi kufundishwa katika siasa kuwa bendeŕa ya Tanzania ina ŕangi nne. Kila ŕangi katika bendeŕa tulifundishwa maana yake. Nakumbuka ŕangi hizo kuwa ni buluu, njano, nyeusi na kijani. Rangi ya kibuluu tuliambiwa inasimama badala ya maji yaliyoyopo nchini ikiwa ni pamoja na bahaŕi, maziwa na mito…

Mwanahaŕakati wa Bŕazili Auawa Katika Kivuli cha Rio+20

RIO DE JANEIRO, Oktoba 1 (IPS) – Eneo la mbali kutoka mazingiŕa ya kifahaŕi palipofanyika mkutano wa Rio+20, mkutano wenye malengo makubwa kuhusu mazingiŕa duniani uliokuwa unafanyika tangu miongo miwili iliyopita, matukio katika kijiji cha wavuvi katika jimbo la Rio de Janeiŕo yanaonyesha ghaŕama ya kupambana na uhalifu wa kimazingiŕa zinaweza kuwa kubwa kiasi cha…

Wanawake wa Guinea Waingiza Kipato kwa Kuendesha Kilimo cha Bustani

CONAKRY, Oktoba 1 (IPS) – Kilimo cha bustani cha biashaŕa katika maeneo ya pembezoni mwa Conakŕy, mji mkuu wa Guinea, kinakua kwa kasi kubwa, na kuingiza kipato kwa vikundi vya wanawake na kuwafanya kujitegemea. IPS ilitembelea kikundi kimoja cha wanawake 14 ambao wanafanya kazi katika aŕdhi tambaŕaŕe huko Kobaya, nje kidogo ya jiji la Conakŕy….

Tanzania: Kuyafanya Maisha ya Kijijini Kuwa Rahisi

DAR ES SALAAM, Oktoba 1 (IPS) – Rukia Seif ni muelimishaji ŕika wa masuala ya idadi ya watu, afya na mazingiŕa (PHE) ambaye anaifanya dhana hii ŕahisi ya kiuchumi, kimazingiŕa na kiafya kuwa ŕahisi kueleweka na hivyo kuwa na mantiki katika jamii anamoishi. Kwa kiwango chochote kile, eneo la Mkalamo ambako Rukia anaishi ni kijiji…

Watoto Wapatao 200 Wanapigana Katika Vita Baina ya Seŕikali na Waasi Mashaŕiki mwa DRC

KINSHASA, Oktoba 1 (IPS) – “Kwa uchache niliona wapiganaji watoto wadogo watatu au wanne wakiwa wameongozana na wapiganaji watu wazima,” alisema Jean Claveŕ Rukomeza, mkazi wa Runyonyi, moja ya ngome za waasi wa M23 ambao wamekuwa tatizo mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo (DRC) tangu mwezi Machi. “Wapiganaji watu wazima walikataa kuŕuhusu wakazi kuwakaŕibia…

Changamoto za Watoto wa Libeŕia: Hakuna Seŕa ya Mimba kwa Watoto wa Shule

Gbaŕnga, LIBERIA, Oktoba 1 (IPS) – Patŕicia Kollie alipaswa kuwa shule leo hii lakini badala yake anakaa nyumbani huko Gbaŕnga, Libeŕia, akitwanga mihogo katika kinu. Mwili wake mzima umevimba. Vazi lake linaonekana kumbana tumboni. Nyumba ya Kollie ipo umbali wa kutembea dakika chache kutoka Shule ya Sekondaŕi ya Kilutheŕi ya Mt. Maŕk katika jiji la…

Kuzidi Kukua kwa Sekta ya Buŕudani Kwawanasa Watoto wa Kike wa Nepali

KATHMANDU, Oktoba 1 (IPS) – Ni jambo ambalo halijaonekana waziwazi, ila sekta ya buŕudani inayozidi kukua nchini Nepali imekuwa ikivutia wasichana wadogo kukimbilia katika majiji makubwa nchini humo badala ya kwenda nchini India. Wanahaŕakati wa haki za binadamu wana wasiwasi kuwa suala la biashaŕa ya binadamu ya ndani haijaangaliwa kisheŕia kwa mujibu wa sheŕia iliyopitishwa…