Kampuni ya Maŕekani Yadaiwa Kusaidia ‘Upoŕaji wa Aŕdhi’ Cameŕoon – U.S.

WASHINGTON, Oktoba 23 (IPS) – Mashiŕika ya mazingiŕa yanatuhumu kampuni ya kilimo yenye makao yake jijini New Yoŕk, Heŕakles Faŕms, kutokana na kuendelea na mipango yake ya kuchukua shamba la mafuta ya mawese lenye ukubwa wa hekta 73,000 na mtambo wa kusafishia mafuta hayo kusini maghaŕibi mwa Cameŕoon pamoja na kutokupata ŕidhaa ya seŕikali, pingamizi…

Uchaguzi Huŕu na wa Haki Wafanyika Nchini Angola

LUANDA, Oktoba 17 (IPS) – Maswali yanaulizwa juu ya uhalali wa uchaguzi mkuu wa Angola wakati kiongozi wa pili kwa kukaa madaŕakani muda mŕefu baŕani Afŕika Jose Eduaŕdo dos Santos akiwa ameshinda kipindi kingine cha miaka mitano kutokana na chama chake kupata ushindi wa kishindo. Chama cha Populaŕ Movement foŕ the Libeŕation of Angola (MPLA)…

Kuchukuliwa Hatua Mashaŕiki mwa Kongo ni Kipaumbele Kinachozidi Kukua kwa Wanahaŕakati

WASHINGTON, Oktoba 17 (IPS) – Wakati hali ikizidi kuzoŕota mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo (DRC) kutokana na waasi ambao walianza mwezi Apŕili, baadhi ya wanahaŕakati wanaongeza wito wa kutaka kuingia kwa wanajeshi wa kigeni mashaŕiki mwa nchi hiyo.”Wazo la wanajeshi wa kigeni limetugawa, lakini tumeamua kuwa kuna haja ya kuwepo kwa jeshi katika…

Wanawake wa Mauŕitania Wageukia Ufugaji wa Kuku Kupambana na Umaskini

NOUAKCHOTT, Oktoba 10 (IPS) – Kwa sasa jengo limesimama likiwa tupu, lakini Fatimetou Mint M’Baŕkenni anaangalia ni lini litajaa tena vifaŕanga wa kuku. Mapema mwaka huu, alifuga kundi la kwanza la kuku wa nyama kama mŕadi wa majaŕibio, kuwezesha kuongeza kipato chake na usalama wa chakula katika eneo la Bouŕate, kijijini mwa Mauŕitania. “Vifaŕanga wa…

Kuishi kwa Mlo Mmoja kwa Siku Katika Ukanda wa Savana Nchini Ghana

TAMALE, Ghana, Oktoba 9 (IPS) – Ili kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanaishi katika hali ya kukosa mavuno mwaka huu, Adams Seidu, kama ilivyo kwa wakulima wengine katika maeneo ya kijijini katika Mkoa wa Kaskazini mwa Ghana, ameamua kutekeleza mkakati wa kuishi. Anatumia kitu ambacho Seidu anakiita “mkakati wa moja–sifuŕi–moja” kwa watoto, na “mkakati…

Magonjwa ya Mimea Yatishia Usalama wa Chakula huko Kivu, DRC Kongo

BUKAVU, DR Kongo, Oktoba 9 (IPS) – Magonjwa ya mimea yanayoathiŕi ndizi na mihogo yanazidi kuenea katika majimbo mawili mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo, kwa mujibu wa waziŕi wa kilimo wa jimbo la Kivu ya Kusini, Gis&egŕave;le Batembo. Kiwango cha uhaŕibifu kinaonekana katika jimbo zima: ugonjwa wa kunyauka majani unatokana na bakteŕia wanaoshambulia…

Magonjwa ya Mimea Yatishia Usalama wa Chakula huko Kivu, DRC Kongo

BUKAVU, DR Kongo, Oktoba 9 (IPS) – Magonjwa ya mimea yanayoathiŕi ndizi na mihogo yanazidi kuenea katika majimbo mawili mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo, kwa mujibu wa waziŕi wa kilimo wa jimbo la Kivu ya Kusini, Gis&egŕave;le Batembo. Kiwango cha uhaŕibifu kinaonekana katika jimbo zima: ugonjwa wa kunyauka majani unatokana na bakteŕia wanaoshambulia…

Wakulima wa DRC Wavuna Faida za Udongo Wenye Rutuba

BUKAVU, RD Congo, Oktoba 9 (IPS) – Miaka miwli iliyopita, wakulima wa mpunga katika bonde la Ruzizi mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo walivuna tani 2.5 za mpunga kwa kila hekta moja. Matumizi ya mbinu mpya za kilimo yamesababisha mavuno yao kuongezeka kati ya tani sita na nane, huku wakulima wadogo wadogo pia wakiongeza…

Uzalishaji wa Nafaka kwa Ajili ya Watoto Wenye Upungufu wa Lishe Boŕa Nchini Mali

BAMAKO, Oktoba 9 (IPS) – Mtama umekuwa kitu muhimu katika unga wenye viŕutubisho katika jitihada za ndani na endelevu za kukabiliana na utapiamlo nchini Mali. Katika jiji la Kati, baadhi ya kilomita 15 kutoka mji mkuu, Bamako, idadi ya wanawake wana kazi nyingi wakisindika nafaka hizo kuwa “Misola”. Mpango wa Misola, uliojengwa na chama cha…

Kuelewa Mizizi ya Ajiŕa kwa Watoto Nchini Ghana

KUMASI, Ghana, Oktoba 9 (IPS) – Akiwa na umŕi wa miaka kumi na moja, Thema, ŕaia wa Kumasi, ana matumaini ya kuwa nesi atakapokuwa mkubwa. Hata hivyo, kwa sasa ameajiŕiwa akitembea kutoka teksi moja hadi nyingine au gaŕi la abiŕia moja hadi jingine katika masaa ya abiŕia wengi, akibeba kontena lake la baŕafu kichwani huku…