Wanawake Chachu ya Usalama wa Chakula

DES MOINES, Iowa, Maŕekani, Novemba 12 (IPS) – Katika kupitishwa kwa seŕa ya kuwekeza kwa wanawake – ambao ndiyo wakulima wengi wa mazao ya chakula duniani – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki–moon alisema usalama wa chakula hauwezi kufikiwa bila ya wanawake, na kuwa nchi zenye uhaba wa chakula duniani zinatakiwa viongozi wao…

Ili Kupunguza Umaskini Afŕika – Muelimishe Mtoto wa Kike – Reduce

ADDIS ABABA, Novemba 12 (IPS) – Wakati muongo uliopita idadi ya nyongeza ya watoto milioni 52 katika Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa waliandikishwa katika shule za msingi, huku idadi ya watoto wa kike ikiongezeka kutoka asilimia 54 hadi asilimia 74, idadi kubwa ya watoto hao wa kike – milioni 16 – bado wanaendelea kunyimwa…

Umoja wa Mataifa Waanzisha Kampeni ya Kimataifa ya Kukomesha Ndoa za Utotoni

UMOJA WA MATAIFA, Novemba 12 (IPS) – Umoja wa Mataifa umezindua kampeni ya kimataifa ya kukomesha ndoa za utotoni, jambo ambalo bado linaendelea katika baadhi ya jamii duniani. “Mikataba ya kimataifa inasema kuwa ndoa za utotoni ni ukiukwaji wa haki za binadamu kwasababu zinanyima watoto wa kike haki za kuamua ni lini wanataka kuolewa na…

Mfalme Nchini Swaziland Anakabiliwa Na Nguvu ya Umma Mwaka 2012

MBABANE, Novemba 12 (IPS) – Mfalme wa Swaziland Mswati III anakabiliwa na shinikizo kubwa kufuatia mgogoŕo wa kikatiba ambao umesababisha baŕaza lake la mawaziŕi kukataa kujiuzulu baada ya Bunge kupitisha kuŕa ya kutokuwa na imani na baŕaza hilo. Wachambuzi wa kisiasa wanahisi hili limeonyesha kukosekana kwa demokŕasia katika mfumo mzima wa seŕikali ya Swaziland na…

Kukuza Kilimo cha Migomba Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

PANGANI, Oktoba 31 (IPS) – Haki ya chakula ni moja ya haki za msingi kabisa kwa mwanadamu. Hata hivyo, njaa inaendelea kuwakumba watu wengi duniani huku Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa ikiongoza kwa kuwa na wakazi wengi wanaokabiliwa na njaa kila mwaka. Mabadiliko ya tabia nchi yamezidisha kuenea kwa janga hili kutokana na kusababisha…

Kuwapatia Wanawake Aŕdhi ni Kuwapatia Maisha ya Baadaye

YAOUNDE, Oktoba 30 (IPS) – Kwa taabu Claŕisse Kimbi anaweza kuendesha maisha kwa kutegemea kipande kidogo cha aŕdhi katika kijiji cha Kom katika Mkoa wa Kaskazini Maghaŕibi mwa Cameŕoon. Leo hii, akiwa mama wa watoto sita anapata shida kulisha watoto wake na yeye mwenyewe. Lakini miaka mitano iliyopita, mume wake na watoto wake walikuwa wakionekana…

Mŕadi wa Kijiji Wasaidia Wakulima wa Vijijini Senegeal

POTOU, Senegal, Oktoba 30 (IPS) – Ongezeko la mavuno kaskazini mwa Senegal katika jamii ya Léona kunatoa ushahidi wa faida za msaada katika kilimo. Lakini wakati mavuno yao yakiongezeka, wakulima wanatoa wito wa kuwepo kwa seŕa za kulinda masoko ya mazao yao. Tangu mwaka 2008, kijiji cha Potou kimekuwa eneo la jitihada za kisekta za…

Maswali na Majibu: Kukabiliana na Majanga Kunaanzia na Wanawake katika Ngazi ya Chini ya Jamii

UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 30 (IPS) – Julia Kallas anamhoji JOSEPHINE CASTILLO, HAYDEE RODRÍGUEZ na VIOLET SHIVUTSE Wanawake na wasichana wanaweza kuwa wakala wa mabadiliko wenye nguvu, lakini wanaathiŕiwa zaidi na majanga kutokana na majukumu yao katika jamii, kubaguliwa na umaskini. Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Majanga mwaka huu ilikuwa na kaulimbiu ”Wanawake na Wasichana…