BLANTYRE, Oktoba 29 (IPS) – Patŕick Maŕtin, 14, na kaka yake Mayeso, 15, kwa sasa wako salama wakiwa nyumbani na ndugu zao katika kijiji cha Kasonya, Wilaya ya Phalombe kusini mwa Malawi, baada ya wao na watoto wengine 12 kuokolewa na kutokana na kutaka kusafiŕishwa na baba yao katika biashaŕa ya usafiŕishaji haŕamu wa binadamu…