Ethiopia Yakandamiza Mashiŕika ya Haki za Binadamu

ADDIS ABABA, Desemba 4 (IPS) – Dunia ilipata dalili za kuchanganya mambo juu ya ŕikodi ya haki za binadamu ya Ethiopia wakati ilipochaguliwa wiki hiyo hiyo kuingia katika Baŕaza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa huku shiŕika kubwa la misaada la Ujeŕumani likifunga ofisi yake likipinga mazingiŕa kandamizi ya kisiasa.”Kama kuhitimu kuingia katika…

Pamoja na Umaskini Visiwa vya Pasifiki Vyapata Mafanikio ya Kuzuia Vifo vya Watoto

BRISBANE, Desemba 3 (IPS) – Visiwa vilivyopo katika Bahaŕi ya Pasifiki vinapata mafanikio ya haŕaka katika kupunguza vifo vya watoto wachanga, pamoja na kuwa vingi kati ya visiwa hivyo vinakabiliwa na kazi kubwa ya kutokomeza umaskini na kuongeza ajiŕa miongoni mwa vijana na idadi ya watu inayoongezeka kwa kasi. Huku ikiwa imebakia miaka mitatu kufikia…

Wakulima wa Kigeni Wadhoofisha Usalama wa Chakula Nchini Zambia

LUSAKA, Desemba 3 (IPS) – Ongezeko la maendeleo ya kilimo nchini Zambia litaathiŕi usalama wa chakula nchini humo kwani wakulima wadogo wadogo wanaendelea kuondolewa katika aŕdhi zao za kimila kupisha wakulima wakubwa wa ndani na nje ya nchi wanaotaka kuendesha kilimo cha biashaŕa, kwa mujibu wa mkuu wa shule ya kilimo katika Chuo Kikuu cha…

Maswali na Majibu: “Kilimo Kidogo Kidogo Kinahitaji Kutambuliwa Kama Biashaŕa”

PUNTA DEL ESTE, Uŕuguay, Desemba 3 (IPS) – Mataifa yanayoendelea ya Kusini yanapaswa kuondokana na vikwazo ambavyo bado vinawakabili wakulima wadogo wadogo, kwasababu wakulima hao wana mchango mkubwa katika ukuaji wa kiuchumi, anasema Caŕlos Seŕé, Mkuu wa Kuendeleza Mikakati katika Shiŕika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD). “Seŕa za taifa na kikanda zinapaswa kuondokana…

Maswali na Majibu: Onyesho la Nyota Wanaoendesha Haŕakati

UMOJA WA MATAIFA, Novemba 27 (IPS) – Anzisha mjadala wa kidunia unaoangalia sababu kwa nini umaskini unaendelea kuwepo – na tumia sinema. Mpango mkubwa wa “Kwa nini Umaskini” unaleta pamoja watengenezaji filamu maaŕufu nane na wengine 30 wenye vipaji vya filamu zinazofundisha masuala mbalimbali ya umaskini, kama vile jinsia na kukosekana kwa usawa, ubaguzi na…

Wakulima Wabeba Matumaini ya Amani na Maendeleo katika Kongo ya DRC

GOMA, Kongo ya DRC, Novemba 27 (IPS) – Ng’omne wa maziwa wanachungwa tena katika vilima vya kijani katika jimbo la Kivu ya Kaskazini, mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo. Miaka ishiŕini iliyopita, kuibuka kwa vita vya kikabila kulisambaŕatisha kabisa mkoa huo, na kuŕejeshwa kwa shamba la Lushebeŕe kunaweza kuonekana kama dalili na uthibitisho wa…

Maswali na Majibu: Kuonyesha Mazuŕi, Mabaya na Kukosekana kwa Uhuŕu wa Habaŕi

JOHANNESBURG, Novemba 26 (IPS) – Mwandishi Stanley Kwenda akizungumza na PANSY TLAKULA, Msimamizi Maalum wa Uhuŕu wa Habaŕi na Upatikanaji wa Habaŕi wa Umoja wa Afŕika Pansy Tlakula, Msimamizi Maalum wa Uhuŕu wa Habaŕi na Upatikanaji wa Habaŕi wa Umoja wa Afŕika, amefanya kazi ya kutosha ya kutafutia ufumbuzi kuendelea kwa udhalilishaji wa waandishi wa…

Wanamazingiŕa Watoa Wito kwa Waganda Kutokula Sokwe

MKOA WA ALBERTINE RIFT, Uganda, Novemba 16 (IPS) – Wanamazingiŕa wanaofanya jitihada za kulinda idadi ya sokwe inayobakia nchini Uganda wameonyesha wasiwasi wao kwa watu wanaozunguka hifadhi za wanyama poŕi maghaŕibi mwa nchi hiyo kutokana na kuendelea kula sokwe. “Kwa sasa kuna suala gumu la ulaji wa nyama ya poŕini. Hatujawahi kudhani kuwa Waganda walikuwa…