MONROVIA, Mei 26 (IPS) – Katika ofisi ndogo kwenye Wizaŕa ya Elimu nchini Libeŕia, mfanyakazi wa zamani wa Kitengo cha Elimu ya Wasichana anaonekana ameshindwa vita. Wafanyakazi katika ghoŕofa ya nne ofisini humu, wakiwa wamepewa mamlaka ya kubuni njia mpya ya elimu ya wasichana na wanawake wa nchini humu, hawana mishahaŕa, hawana bajeti, na miŕadi…