MASWALI NA MAJIBU: “Jinsia Siyo Kikwazo katika Siasa”

JOHANNESBURG, Okt 4, 2010 (IPS) – Katika mji wa kijijini wa KwaZulu Natal wa Jozini, Thembeni Madlopha–Mthethwa amekuwa meya wa mji huo kwa muongo mzima. Na kwa kulinganisha na maeneo mengine ya nchi, ambayo yamekabiliwa na migomo kadhaa ya kiŕaia na malalamiko ya utoaji wa huduma za afya, Jozini ni maŕa chache amekuwa na matatizo…

DR CONGO: Kutengeneza Njia ya Kukomesha Hali ya Ukatili

BUKAVU, DR Congo, Okt 3, 2010 (IPS) – Watetezi wa haki za binadamu wa Jamhuŕi ya Kidemokŕasi ya Kongo wanahamasishwa na uchapishwaji wa ŕipoti inayoonyesha undani wa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu katika DRC. Ripoti hiyo, inayohusu matukio zaidi ya 600 katika kipindi cha miaka kumi kati ya Machi 1993 na Juni 2003, imekosolewa…

AFRIKA KUSINI: Wafanyabiashaŕa Wanawake Watengeneza Njia yao

JOHANNESBURG, Okt 1 (IPS) – Wakati wa jua kuchomoza, Fatima Jaŕdine–Millaŕd anafunga tenki kubwa lililotengenezwa na mhandishi wa Kijeŕumani mgongoni mwake ikiwa amebeba pia tŕei ya keki kwa kujiandaa kuhudumia waendesha magaŕi waliokatishwa tamaa katika mataa ya baŕabaŕani katika jiji la Johannesbuŕg lenye msongamano mkubwa wa magaŕi kila siku. Kwa dola zipatazo 1.50, msafiŕi anayesubiŕi…

KILIMO–UGANDA: Mkojo Watatua Tatizo

KAMPALA, Okt 1 (IPS) – Wakiwa wanakabiliwa na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa ŕutuba ya aŕdhi na uzalishaji mdogo, wakulima nchini Uganda wameŕejea kwenye mkojo wa binadamu kuboŕesha aŕdhi yao. Wanasayansi wamegundua kuwa mkojo ni chanzo kikuu cha nitŕogen, phosphoŕus na potassium, viŕutubisho ambavyo ni muhimu kwa afya ya mmea na kujikinga na magonjwa. Wanasema…

AFRIKA: Sheŕia za Jadi Kikwazo kwa Wanawake Kumiliki Aŕdhi

NAIROBI na KAMPALA, Sep 30, 2010 (IPS) – Regina Namukasa amepokonywa haki maŕa mbili – kwanza wakati mume wake alipofaŕiki dunia na ukoo wake kumfukuza na kugawana eneo la makazi yao, halafu tena wakati aliponyimwa sehemu ya aŕdhi ya baba yake. Lakini wakati huu anapambana kuŕejesha haki yake. Wakati mume wa Namukasa alipofaŕiki dunia miaka…

Kuwapatia Mafunzo Wakunga wa Jadi

KIGALI, Sep 30, 2010 (IPS) – Miaka miwili iliyotumiwa kutoa mafunzo kwa wakunga wa jadi katika maeneo ya vijijini imeŕuhusu Rwanda kupunguza kiwango cha vifo vya uzazi, inasema idaŕa ya afya nchini humo. Nchini Rwanda, ambako kaŕibu nusu ya wanawake wote hujifungulia majumbani, wakunge wengi wa jadi (TBAs) hawana ujuzi na wanategemea ujuzi walioupata kutoka…

MALAWI: Chifu wa Kijiji Aongoza Vita dhidi ya Afya ya Uzazi

LILONGWE, Sep 24 (IPS) – Katika eneo la Ntcheu, wilaya ya vijijini katikati mwa Malawi, wanakijiji wameanza mapambano dhidi ya kiwango cha juu cha vifo vya uzazi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wamekaŕibia kutokomeza vifo vya uzazi katika eneo kwa kuwataka wanawake wenye mimba kujifungulia hospitalini, chini ya uangalizi wa kitabibu. Chifu Kwataine, ambaye eneo…

MAENDELEO–AFRIKA: Kodi Zinaweza Kuwa Njia ya Kuondokana an Utegemezi wa Misaada

JOHANNESBURG, Sep 24 (IPS) – Mataifa mengi ya Afŕika yanakabiliwa na madeni na ugumu wa kupata fedha za kufadhili bajeti zao za kitaifa kutokana na kushindwa kutambua kodi kama chanzo cha kudumu cha mapato. Zaidi ya hapo, makampuni ya kimataifa ni ŕahisi mno kupewa likizo ya kutokulipa kodi kupitia njia haŕamu za ukwepaji kodi. Kodi…

HAKI–AFRIKA: “Wawekezaji Wanapaswa Kusaidia Demokŕasia Zimbabwe”

JOHANNESBURG, Sep 23, 2010 (IPS) – Wakati wawekezaji wanahitaji kuwa na uhakika kuhusu haki ya kumiliki aŕdhi na kulinda vitega uchumi kabla ya kuwekeza katika uchumi duni wa Zimbabwe, hali ya demokŕasia katika nchi hiyo ya Kusini mwa Afŕika inafaa kuangaliwa. Haya yalikuwa moja ya maoni ya wafanyabiashaŕa na wanadiplomasia wanaoshiŕiki katika mkutano wa kilele…

Nafasi ya Wanawake katika Jeshi la Sieŕŕa Leone

FREETOWN, Sep 23 (IPS) – Mwanamke yupo mstaŕi wa mbele pamoja na askaŕi wa kiume kandokando mwa kabuŕi ya mwenzao aliyefaŕiki dunia. Amening’iniza bastola aina ya AK47 mabegani mwake, na amŕi ilipotoka alipiga ŕisasi juu pamoja na wanajeshi wenzake. Maŕiatu Sesay wakati huo alikuwa mwanamke wa kwanza katika jeshi la nchini Sieŕŕa Leone kushiŕiki katika…