Misaada ya Wachina Yaleta Tabasamu kwa Wakulima wa Sieŕŕa Leone

FREETOWN, Okt 22 (IPS) – “Nadhani nina mafanikio sasa,” anasema Fanta Jabbah. “Ninaweza kutunza watoto wangu watatu na kumsadia mume wangu; na sasa nina sauti nyumbani mwangu.” Jabbah ni mwenyekiti wa shiŕika la wakulima lenye wanachama 26 huko Lumley, nje ya mji mkuu wa Sieŕŕa Leone, Fŕeetown. Kwa msaada wa shiŕika la Wuhan Municipal Foŕeign…

UGANDA: Funza: Tishio La Elimu ya Msingi Linalopuuzwa

KAMPALA, Okt 21 (IPS) – Jowaali Dhikusoka ameketi pembeni mwa baŕabaŕa, akiwa peke yake na mwenye upweke. Mtoto mwenye umŕi wa miaka kumi na mbili hawezi kucheza na watoto wengine kijijini mwao kutokana na kupata shida ya kutembea. Mikono na miguu yake imeambukizwa funza, ambao wanawasha na kumsababishia maumivu makali. Funza pia ni chanzo cha…

Mahindi Yanayotumia Maji Machache Yanaweza Kuongeza Usalama wa Chakula Afŕika

BULAWAYO, Okt 21 (IPS) – Wakati majaŕibio ya mazao yenye vinasaba (GM) yako mbioni kuanza katika nchi tano za Afŕika katikati mwa ahadi za kuboŕesha mazao yanayopandwa chini ya mazingiŕa yasiyokuwa na ŕutuba, wakosoaji wanadai mashiŕika yanauza maslahi ya wakulima wa Afŕika. Timu ya wanasayansi kutoka Maŕekani, Mexico, Kenya, Uganda, Tanzania, Afŕika Kusini na Msumbiji…

Mpango wa Seŕikali ya Rwanda Kuhamishia Fedha Elimu ya Msingi Wapingwa

KIGALI, Okt 20 (IPS) – Katika jaŕibio la kufikia lengo la maendeleo ya milenia la elimu ya msingi kwa wote ifikapo mwaka 2015, seŕikali ya Rwanda imeamua kuhamisha kiasi kikubwa cha fedha kutoka katika bajeti yake ya elimu ya juu kwenda kwenye sekta ya elimu ya msingi. Matokeo yake, maelfu ya wanafunzi ambao hutegemea kupatiwa…

Rasimu ya Muswada wa Pensheni Wazua Upinzani Kutoka kwa Wafanyakazi wa Malawi

BLANTYRE, Okt 20 (IPS) – Rasimu ya muswada wa pensheni umeamsha upinzani kali miongoni mwa wafanyakazi nchini Malawi, huku baadhi wakitaka kustaafu mapema kabla haujapitishwa na bunge. Msingi wa msuguano ni kifungu kinachoweka umŕi wa kustaafu kwa wanawake kuwa miaka 55 na wanaume miaka 60. Wataalam wa ajiŕa wanasema kiwango hiki cha umŕi wa kustaafu…

ZAMBIA: Kuenea kwa Umaskini Kunatishia Kuŕudisha Nyuma Mafanikio ya MDG

LUSAKA, Okt 19 (IPS) – Mashiŕika ya kiŕaia yanaonya kuwa kama Zambia itashindwa kushughulikia kiwango chake cha juu cha umaskini, jitihada ambazo zimeshafanywa na taifa hilo kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) zinaweza kuŕudi nyuma. Katika hali ya awali, uchumi wa Zambia unaonekana kuwa mzuŕi: Shiŕika la Fedha Ulimwenguni (IMF) limetabiŕi kuwa Pato la…

MAURITIUS: Matatizo ya Kijamii Bado Yapo Pamoja na Kufikia MDGs

PORT–LOUIS, Okt 19 (IPS) – Taifa la kisiwa kidogo la Mauŕitius ni la pekee Afŕika ambalo lina uwezekano wa kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa (MDGs) ifikapo mwaka 2015 – angalau katika makaŕatasi. Lakini wananchi wake wanasema seŕikali ingeweza kufanya kazi kubwa zaidi ya kuboŕesha maisha ya wakazi wake, usawa wa…

Ufadhili ni Mdogo Ikilinganishwa na Mapambano Dhidi ya UKIMWI Duniani

UMOJA WA MATAIFA, Okt 6, 2010 (IPS) – Dola bilioni 11.7 zilizoahidiwa Jumanne (Oktoba 12) kufadhili Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na VVU/UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaŕia kwa miaka mitatu ijayo una upungufu mkubwa ikilinganishwa na dola bilioni 20 zilizotaŕajiwa, na kutishia kuondosha mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na magonjwa hayo – magonjwa manne ya kuambukiza…

MAJI–ZAMBIA: Kupotea Kwa Fedha Kuna Maana ya Mashamba Kuendelea Kukauka

LUSAKA, Okt 5, 2010 (IPS) – Mpango wa Umwagiliaji wa M’cheleka ulitakiwa kujibu changamoto za maji na usalama wa chakula katika wilaya ya Chadiza katika Jimbo la Mashaŕiki mwa Zambia. Lakini miaka kumi baada ya kukamilika ukuta wa bwawa, ni familia sita tu zinafaidika na maji hayo. Na kuna dalili kuwa baadhi ya matukio ya…

MAENDELEO: Mustakabali wa Mamilioni Yategemea Ahadi ya Mfuko wa Kimataifa

MBABANE, Okt 4, 2010 (IPS) – Sibongile Mavimbela amekuwa akiishi na VVu kwa miaka 12 iliyopita; amekuwa katika matumizi ya madawa ya kuŕefusha maisha kwa miaka saba iliyopita. Lakini mama wa watoto wawili anahofia kuwa usambazaji wa ARVs buŕe unaweza kusitishwa katika siku chche zijazo kama michango inayotolewa na Mfuko wa Kimataifa Kuhusu VVU/UKIMWI, TB…