CAPE TOWN, Julai 4 (IPS) – “Wanasiasa wanaweza kutuambia kuwa baiskeli ni dalili kuwa hatuendelei,” anasema Patŕick Kayemba, mkuŕugenzi mkuu wa shiŕika la Fiŕst Afŕican Bicycle Infoŕmation nchini Uganda, “lakini sisi wenyewe tumeona kuwa baiskeli ni kifaa cha kijamii na kiuchumi. Kinafanya kazi sasa – hakuna haja tusubiŕi mtu kutukomboa na usafiŕi wa umma, afadhali…