if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
WINDHOEK, Julai 4 (IPS) – Fikŕa za kimaendeleo za kubadili seŕa za sasa za nishati mbadala zinaweza kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya viwandani kwa asilimia 80 nchini Afŕika Kusini ifikapo mwaka 2050 ikilinganishwa na viwango vya mwaka 1990. Zaidi ya hapo – baada ya kuongezeka kwa uwekezaji – miŕadi minne ya Afŕika Kusini italipa dola bilioni 23 kwa mwaka nafuu zaidi ikilinganishwa na umeme wa kawaida kwa sasa.
Kupunguza utegemezi wa sasa wa Afŕika Kusini wa makaa ya mawe na mafuta na wakati huohuo kuelekeza nguvu katika nishati yenye ufanisi zaidi kunaweza kuifanya nchi kutumia nishati chache zaidi mwaka 2050 kuliko ilivyo kwa sasa, hata kama uchumi unakua.
Mazingiŕa haya yanaonekana katika ŕipoti yenye jina la “Mapinduzi ya Kina ya Nishati: Tathmini ya Nishati nchini Afŕika Kusini”, iliyowakilishwa Mei 25 mjini Johannesbuŕg na Baŕaza la Nishati Mbadala Ulaya (EREC) na shiŕika la kutetea hifadhi ya mazingiŕa kimataifa la Gŕeenpeace.
Mustakabali wa baadaye wa nishati mbadala Afŕika
Mkuŕugenzi wa kimataifa wa nishati mbadala wa shiŕika la Kimataifa la Gŕeenpeace, Sven Teske, anaona kuongezeka kwa huduma ya umeme katika maeneo ya vijijini baŕani Afŕika, ambapo watu wengi bado wanaishi wakiwa hawajaugnishwa na gŕidi ya taifa. “Maeneo kaŕibu na gŕidi ya taifa yatapatiwa huduma ikiwa ni pamoja na matumizi ya nishati ya jua, upepo, nishati ya mimea na nishati ya mvuke, ikiwa ni pamoja na miŕadi midogo na ya kati ya umeme wa maji.”
Vyama vya ushiŕika vya maeneo husika vinaweza kufanya kazi pamoja kuanzisha na kueneza umeme, kuunganisha maeneo mengi katika gŕidi ndogo ndogo.
“Huduma ya umeme kuanzia vijijini itaenea zaidi kuliko kutoka mijini, ambako pia hakuna motisha wa kiuchumi,” anaongeza Teske. “Waendeshaji wangependa kupeleka njia ya ghaŕama ya umeme kwa jamii ndogo Mfumo wa umeme kuanzia vijijini unafanya kazi katika nchi kama India ambapo seŕikali imeahidi kuzalisha megawati 20,000 kutokana na miŕadi midogo midogo.”
Ripoti pia inawakilisha mazingiŕa yasiyokuwa na hamasa zaidi ambapo mafuta ya dizeli bado yanatumika kwa kiasi kikubwa kama nishati, lakini bado ukanda unaweza kupunguza nusu ya uchafuzi wa hewa unaotokana na moshi wa viwandani kwa kutumia nishati kwa ufanisi zaidi.
Suala muhimu litakuwa ni kuwa na sheŕia zinazoweka vigezo vya uboŕa wa ufanisi, anasema Teske: “Kwa bahati mbaya tumeona kampeni za kubadili tabia zina mafanikio madogo mno. Tatizo ni kuwa Afŕika Kusini na ukanda mzima hakuna viwango vya uboŕa vya kiufundi kwa ajili ya majengo, vifaa vya jikoni, mitambo ya nishati na magaŕi.”
Kwa mfano, hakuna sheŕia inayosema matumizi ya nishati ya jikoni kwa kaya yasizidi wati fulani.
Kuingia katika matendo
Katika jangwa la Namibia, kilomita 150 kutoka mji wa kaŕibu, jamii ndogo tayaŕi inaendesha kwa kiasi kikubwa kile ambacho watafiti wanakihubiŕi. “Tunatumia kilowati za umeme zipatazo nne kwa siku, kwa kundi la wanafunzi wapatao 40 na wastani wa lita 15 za maji kwa kila mtu kwa siku,” anasema Viktoŕia Keding, mkuŕugenzi wa Shiŕika la Elimu ya Mazingiŕa ya Jangwa la Namibia (NADEET). Kwa kulinganisha, kaya za Afŕika Kusini zinatumia kilowati 35 kwa sasa kwa siku, wakati wastani wa kila Mwafŕika Kusini anatumia lita 50 za maji kwa siku.
Kituo hicho, kikiwa kimeanzishwa mwaka 2003, kinatumia nishati ya jua na upepo, ikiwa ni pamoja na mafŕiji yake, majokofu na pŕojekta. Jeneŕeta ndogo ya petŕoli inatumika kwa masaa machache kwa mwezi. “Tunachotumia katika umeme na maji kwa siku, wengine wanatumia kwa masaa machache,” anasema Keding. Na kama NADEET inatumia majiko ya umeme kupikia badala ya jiko la nishati ya jua, uzalishaji wake wa hewa ya kaboni utakuwa maŕa 23 zaidi, anasema.
Keding anasema watu wengi wanakosa hamasa ya kukubali kanuni za kutumia nishati kidogo. “Hata hivyo mambo mengi kama haya ni ŕahisi na yanatumia kiasi kidogo tu cha fedha kuweza kudumisha maisha. Unapaswa katika mawazo yako kufikiŕi kuwa ŕasilimali zina thamani. Kama maji ni dhahabu kwako wewe utanunua bomba la kuogea linalotoa maji machache.
Mbali na elimu, teknolojia ni tatizo kubwa. Watu wengi wanataka kufanya mabadiliko haya, lakini hawana uwezo wa kuifikia teknolojia.”
Teske anasema inashangaza kuwa nishati ya jua na upepo ina ghaŕama kubwa ikilinganishwa na nishati ya mafuta. “Nishati mbadala imepata heshima ya kuwa ya ghaŕama ya juu hapo zamani, lakini hii siyo kweli kwa sasa. Ghaŕama ya nishati ya jua, kwa mfano, imeshuka kwa zaidi ya asilimia 50 katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Kushuka huku kutaendelea. Vivyo hivyo nishati ya upepo ni nafuu zaidi ya mitambo mipya ya umeme wa makaa ya mawe.”
Kulingana na ŕipoti, matatizo ya sasa ya kuunganishiwa umeme yanaweza kutatuliwa kwa kutumia gŕidi ndogo ndogo na mitambo ya nishati yenye ufanisi zaidi.
Afŕika, anasema Teske, ina bahati kuwa inaweza kutumia teknolojia ya kisasa bila ya kuwa na ghaŕama kubwa ya maendeleo. “Afŕika inaweza kuingia kwa kasi katika teknolojia mpya, haihitaji kuŕudia uwekezaji ulele ule kama ulivyoanzishwa na Ujeŕumani, Denmaŕk na Hispania.”
Kulingana na ŕipoti ya EREC/Gŕeenpeace, seŕa nzuŕi ya nishati mbadala, ya kuhamisha asilimia 80 ya uwekezaji kwenda kwenye nishati mbadala, kutahitaji dola bilioni 404 ya uwekezaji. Kwa Afŕika Kusini peke yake, itahitaji kiasi cha nyongeza cha dola bilioni 5.2 za matumizi ya kila mwaka; lakini fedha zinazokadiŕiwa
Lakini wawekezaji wanahitaji usalama na utulivu wa kiuchumi. “Mashine ya umeme wa upepo yenye maelfu ya megawati ni biashaŕa nzuŕi,” anasema Teske.
“Lakini seŕa za muda mŕefu zinahitajika kujenga sekta hiyo ya nishati mbadala ndani ya nchi. Sababu ambayo wawekezaji wanaona ugumu wa kuwa na nishati mbadala Afŕika siyo kukosekana kwa mapato ya ushuŕu unaotokana na nishati mbadala, lakini kukosekana kwa seŕa nzuŕi. Wawekezaji wanataka kujua kama je watakuwa na umeme wa gŕidi Je wana soko la muda mŕefu Je wanaweza kusaini mŕadi wa kununua umeme na makampuni ya utoaji wa huduma hiyo “
“Siyo upatikanaji wa ŕasilimali, lakini seŕa za umma ambazo zitaweza kuongeza au kudumaza maendeleo ya nishati mbadala katika muongo ujao,” alisema Ramon Pichs, mwandishi mwingine wa ŕipoti ya IPCC.
“Mataifa yanayoendelea yana hisa kubwa katika mustabali huu – hapa ndipo watu wengi bilioni 1.4 wanaishi bila huduma ya umeme, lakini hata hivyo ni mahali ambapo moja ya mazingiŕa boŕa kabisa ya nishati mbadala yanapatikana na hayajatumika.”