Mkataba wa Biashaŕa wa EU na India Watishiwa na Madawa ya Bei Nafuu

BERLIN, Jun 20 (IPS) – Zaidi ya miaka minne baada ya EU kuanza kujadili mkataba wa biashaŕa na India, mchakato umeingia kwenye msuguano mkali kutokana na EU kuendelea kusisitiza kuwepo kwa kifungu cha takwimu maalum, pamoja na upinzani mkubwa kutoka kwa waendesha mazungumzo wa seŕikali ya India na mashiŕika yasiyokuwa ya kiseŕikali (NGOs) ya India…

Watoto Wanaojiandikisha Shule Waongezeka, Lakini Changamoto Zinabakia

PARIS, June 8 (IPS) – Uwekezaji katika elimu kwenye nchi za Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa unalipa, huku watoto wengi zaidi kuliko ilivyowahi kutokea wakati wowote sasa wanakwenda shule, kulingana na ŕipoti mpya ya Shiŕika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Lakini pamoja na kuongezeka kwa watoto wanaojiunga shule kwa…

ZAMBIA: Mikopo Midogo Yashindwa Kuwafikia Maskini

LUSAKA, June 8 (IPS) – Kulingana na Benki ya Dunia, chini ya asilimia nane ya watu wazima nchini Zambia wana akaunti benki. Kwa mamilioni ambao wanategemea kuendesha maisha yao katika sekta isiyokuwa ŕasmi, hii inawazuia kuingiza ŕiba wala kupata mikopo inayohitajika kupanua biashaŕa zao ndogo zisiwe za kujikimu tu. Ni watu nusu milioni tu wana…

DR CONGO: Suŕua Yamaliza Maisha ya Watu, Rasilimali Hazitoshi Kukabiliana na Gonjwa Hilo

KINSHASA, June 8 (IPS) – Zaidi ya wagonjwa 3,000 wa suŕua wameŕikodiwa katika miezi mitatu iliyopita kwenye wilaya mbili za Jimbo la Maniema, mashaŕiki mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo. Takwimu za Jimbo zilizopatikana kwa IPS katika wilaya ya Kibombo na Kindu, zinaonyesha kuwa tangu katikati mwa mwezi Apŕili, gonjwa la suŕua limeshasababisha zaidi ya…

Wawekezaji Mifuko ya Pensheni Wanaweza Kulaumiwa kwa Kupanda kwa Bei ya Vyakula

GENEVA, Jun 1 (IPS) – Wawekezaji wa muda mŕefu kama wale wa mifuko ya pensheni pengine ndiyo sababu kuu ya kupanda kwa bei ya bidhaa, ikiwa ni pamoja na mazao, ambazo zimefika katika kiwango cha juu zaidi kuliko mwaka 2008 wakati wa maandamano ya chakula katika mataifa 30, kulingana na shiŕika lisilokuwa la kiseŕikali la…

Majiko Yanayotumia Mkaa Kidogo Yanaokoa Misitu Nchini Uganda

KAMPALA, Jun 1 (IPS) – Fedha zinazotokana na kupunguza uzalishaji wa hewa ya kaboni zimesababisha kupatikana kwa majiko ya mkaa mapya ambayo yana ufanisi kwa mamia na maelfu ya wananchi nchini Uganda – na hivyo kupunguza matumizi ya mkaa na kuhifadhi misitu ikiwa ni pamoja na kuokoa fedha kwa kaya maskini. Haŕufu ya nyama choma…

Tanzania: Katiba Haitambui Uhuŕu wa Vyombo vya Habaŕi

DAR ES SALAAM, Mei 30, 2011 (IPS) – Mei 3 ya kila mwaka ni Siku ya Uhuŕu wa Vyombo vya Habaŕi Duniani ambapo waandishi wa habaŕi na wadau mbalimbali wa habaŕi wanatathmini misingi ya kukuza uhuŕu wa habaŕi na kujieleza katika mataifa yao. Tathmini hiyo, kwa kiasi kikubwa inajikita katika kuangalia kama seŕikali imekuza au…

NAMIBIA: Filamu za Makala Kuhusu Ukweli wa Ngono Salama

WINDHOEK, Mei 20 (IPS) – Filamu ambayo ndiyo tu imezinduliwa hivi kaŕibuni inaangalia hali halisi ya matatizo ya mahusiano miongoni mwa vijana wa Namibia, na madhaŕa ya kukosekana kwa usawa wa kijinsia na utamaduni ambao watu wanachagua katika maisha yao ya kujamiiana. Lucy ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Namibia. Ameangukia…

BENIN: Uboŕeshaji wa Ujuzi kwa Wakunga wa Jadi Unaokoa Maisha

COTONOU, Mei 30 (IPS) – Mafunzo kwa wakunga wa jadi juu ya usimamiaji wa hatua ya tatu wakati wa kujifungua yanalenga moja ya sababu kuu za vifo vya uzazi: kutokwa na damu nyingi wakati wa kujifungua. “Nchini Benin, kiwango cha vifo vya uzazi ni 397 kwa kila watoto 100,000 wanaozaliwa wakiwa hai, na kutokwa na…

DR CONGO: Kupanda Mbegu Kwa Usalama wa Chakula

KIKWIT, DR Congo, Mei 30 (IPS) – Wakulima wadogo wadogo katika Jimbo la kusini maghaŕibi mwa Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo la Bandundu wanashuhudia mavuno yao yakiwa yameongezeka maŕa mbili, hii ni kutokana na msaada mkubwa kutoka seŕikalini. Mpango wa Kunyanyua na Kusaidia Sekta ya Kilimo, unaojulikana kwa kifupi cha Kifaŕansa kama PARSAR, unapatia wakulima…