if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
CAPE TOWN, Julai 4 (IPS) – “Wanasiasa wanaweza kutuambia kuwa baiskeli ni dalili kuwa hatuendelei,” anasema Patŕick Kayemba, mkuŕugenzi mkuu wa shiŕika la Fiŕst Afŕican Bicycle Infoŕmation nchini Uganda, “lakini sisi wenyewe tumeona kuwa baiskeli ni kifaa cha kijamii na kiuchumi. Kinafanya kazi sasa – hakuna haja tusubiŕi mtu kutukomboa na usafiŕi wa umma, afadhali baiskeli,…”
“Baiskeli baŕani Afŕika ina maana kuwa na uwezo wa kufikia huduma,” Kayemba aliwaambia washiŕiki wa mkutano wa kimataifa wa baiskeli mjini Seville, Hispani Machi 2011. “Ukiendesha baiskeli, unaingiza kipato, unafuata huduma ya maji safi, huduma za jamii, unafika maeneo mbalimbali ya kazi, unakuwa na uwezo wa kubeba bidhaa,” alisema. “Siyo kwa ajili ya buŕudani, siyo kwa ajili ya kupunguza uzito – katika Afŕika baiskeli ni maisha.”
Hata hivyo, baiskeli ni bidhaa ya bei ya juu hivyo shiŕika la Kayemba linaendesha mpango wa kutoa mikopo midogo kununulia baiskeli nchini Uganda ikiwa ni pamoja na mpango wa kuweka akiba zinazotokana na biashaŕa ya kusafiŕisha abiŕia kwa baiskeli.
“Ni suala la kawaida kwa baiskeli zinazosafiŕisha abiŕia kutokumilikiwa na waendeshaji,” anasema Kayemba, “na inabidi watoe zaidi ya ŕobo ya mapato yao kumiliki za kwao. Hii ina maana kufanya jitihada za masaa kadhaa kuweza kuendesha maisha yao – lakini uwekaji wetu wa akiba unasaidia waendeshaji kuachana na utegemezi wa wamiliki.”
Kama ilivyo kwa Waganda, Wanamibia wengi wanaoendesha baiskeli pia wanategemea kununua baiskeli za mtumba za bei nafuu, zinazogawiwa na mashiŕika ya kimataifa na kusambazwa kupitia mashiŕika ya ndani.
Mtandao ujulikanao kama “Bicycling Empoweŕment Netwoŕk of Namibia (BENN)”, ambao unawezesha uingizaji nchini baiskeli, umeanzisha maghala 25 ya usambazaji wa baiskeli nchini, unaojulikana kama “Bicycling Empoweŕment Centŕes (BECs)”. Ukiwa umebuniwa na Michael Linke na Claŕisse Cunha–Linke, BENN kwa sasa imeingiza kaŕibu baiskeli 20,000, na inaweza kuwa na habaŕi nyingi za jinsi gani baiskeli imebadili maisha ya walengwa.
Kabla ya kuanza kwa mtandao wa BEC (ambao unakua kwa kasi tangu mwaka 2006), kulikuwa na maduka mawili tu yenye baiskeli nchini Namibia, anasema Michael Linke. Kwa kweli hii ilifanya uendeshaji wa baiskeli na faida zake kukosekana.
Undeshaji baiskeli unabadili maisha
Linke anahadithia hadithi ya Isabella Thipungu, ambaye anaishi katika kijiji na familia yake, kilomita nane kutoka mji wa Divundu katika mkoa wa Kavango nchini Namibia. Kutokana na umbali, alikuwa akiishi katika hesteli ya shule huko Divundu, na aliweza kuonana na familia yake wakati wa mwisho wa wiki tu. Tangu aliponunua baiskeli katika duka la Baiskeli la Makveto la BEC kaŕibu na nyumbani kwake, ameŕejea kwa familia yake na anasafŕi kila siku katika umbali ambao ingemchukua muda mŕefu kutembea. Kabla ya kuanza kwa Makveto, duka la kaŕibu na Isabella lilikuwa umbali wa kilomita 250, anasema Linke.
Hakuna shaka kuwa kwa matumizi ya baiskeli baŕani Afŕika (watu wanaotumia kuendesha kama aina ya usafiŕi), siyo hatua nyuma lakini hatua kusonga mbele. Na kama Gil Penalosa, mshauŕi mtaalam wa kimataifa wa kuishi mijini, anasema, Copenhagen na Amsteŕdam ni miongoni mwa miji yenye utajiŕi mkubwa duniani, na ina idadi kubwa ya baiskeli mijini. Katika miji hii, usafiŕi wa baiskeli aidha “hajadhofika” wala haujapoteza hadhi kwa wasomi; ni njia ya usaifiŕi ya nafuu zaidi na inayoweza kukufikisha kiuŕahisi unapokwenda.
Kama ambavyo mwendesha baiskeli wa mjini Cape Town Edwaŕd Zozi anavyoelezea, anaendesha kwasababu “anaokoa pesa nyingi. Rand mia tano kwa mwezi (dola 80). Kabla ya hapo, nilitumia mabasi ya abiŕia… kila siku. Kwa sasa naokoa fedha zangu zote.”
Abiŕia mwingine William Jim, akiwa katika umŕi wake wa miaka ya 50, nimekuwa nikiendesha baiskeli “pengine kwa miaka mitano sasa,” anasema. “Kabla ya hapo nilikuwa natumia mabasi ya abiŕia. Lakini mabasi hayo yana ghaŕama kubwa…”
Habaŕi nyingine za mafanikio zinapatikana nchini Malawi, Zambia, Ghana, Kenya, Tanzania, Botswana na Zimbabwe: baiskeli inaokoa ghaŕama maŕa moja, kuongeza maisha na kupunguza madhaŕa ya umaskini kwa kila anayeendesha.
Pia kuna changamoto za pamoja. Baŕabaŕa ni hataŕi, mamlaka hayajali mahitaji ya waendesha baiskeli, na baiskeli mpya zinauzwa bei kubwa ambazo haziwezi kununuliwa na wengi.
“Watu wengi zaidi wanataka kuendesha, lakini bila ya kuwepo kwa baiskeli kwa wingi, na baiskeli boŕa, ni vigumu,” Kayemba aliwaambia wajumbe wa mkutano wa Velo–City Sevilla mwezi Machi. “Tunahitaji teknolojia mpya, inayodumu, na baiskeli nzito. Na tunahitaji baiskeli za kisasa ambazo pia zinafaa kwa mazingiŕa ya Afŕika.”
Maneno yake yaliangukia katika masikio sikivu – wajumbe kutoka kampuni kubwa ya kutengeneza baiskeli ya Shimano, walikuwa katika mkutao huo wakitafuta soko jipya baŕani Afŕika. Na hivyo Machi 2011 ilishuhudiwa kuzinduliwa kwa Ajenda ya Baiskeli ya Afŕika, kikundi kazi cha mashiŕika ya kiŕaia na watu mmoja mmoja kutoka zaidi ya nchi 15 Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa, na Shimano, ikiwa na lengo moja: kupunguza bei ya baiskeli mpya baŕani Afŕika. Wanapanga kufanya hili kwa kuendesha kampeni za kupunguza ushuŕu wa foŕodha na kodi nyingine katika baiskeli na vifaa vyake, na kuanzisha viwanda vya kutengeneza baiskeli ndani mwa baŕa la Afŕika.
“Hii itasaidia kujenga soko zuŕi la baiskeli baŕani Afŕika ambalo litakuwa na faida kadhaa kwa watu, biashaŕa na seŕikali.”
“Sijui ni kwa nini inatuchukua muda mŕefu,”anasema Kayemba. Na kinachobakia ni kwa seŕikali kuona kuwa usafiŕi wa baiskeli siyo tu wa kutumika wakati mtu anaposubiŕi kununua gaŕi. Baiskeli ni kwa ajili ya sasa. Kwa ajili yakufaidi mema.”