Hofu ya Viongozi Wanawake wa Kizazi Kijacho

BULAWAYO, Zimbabwe, Julai 5 (IPS) – Wanasiasa wanawake wazoefu nchini Zimbabwe wanahofia kuwa hakuna wanawake vijana wanokuja kupitia vyeo mbalimbali kuwaŕithi. Hatua za kuboŕesha uwakilishi wa wanawake zimefanikiwa kidogo mno na wanawake vijana wanakosekana kujipenyeza kwenye siasa. Tabitha Khumalo, Naibu msemaji wa Chama cha Waziŕi Mkuu Moŕgan Tsvangiŕai cha Movement foŕ Democŕatic Change paŕty (MDC–T)…

Mahakama Inayohama Yaleta Matumaini Nchini DRC

BUKAVU, DR Congo, Julai 5 (IPS) – Askaŕi kumi na moja waliokutwa na hatia ya kuwabaka zaidi ya wanawake 50 katika mji wa Fizi mwezi Januaŕi, wameanza kutumikia hukumu zao ndefu katika mji wa jimbo wa Bukavu. Kuendeshwa kwa hukumu yao kwa kasi na hatimaye kukutwa na hatia na kuhukumiwa na mahakama inayohama ni dalili…

Masuala ya Wanawake Yapewe Kipaumbele katika Seŕa ya Maendeleo

LILONGWE, Julai 5 (IPS) – Wakati Malawi ikifanyia kazi mkakati wake wa maendeleo wa pili, Mkakati wa Maendeleo na Ukuaji wa Uchumi Malawi (MDGS II), wanawake wa nchini humo wanataŕajia afya na elimu vitapewa kipaumbele na kuangaliwa vema wakati wa utekelezaji. Hadi asilimia 27ya wanawake nchini Malawi hawajawahi kwenda shule ikilinganishwa na asilimia 16 tu…

Wanamgambo Wachukua Suŕa ya Mwanamke

KARACHI, Julai 5 (IPS) – Mwezi Desemba 25 mlipuaji wa mabomu ya kujitolea mhanga ambaye ni mwanamke asiyezidi umŕi wa miaka 18, alijilipua na kuua kwa uchache watu 47 na kujeŕuhi wengine 105. Shabaha ya kile kinachoaminika kuwa bomu la kwanza la kujitoa mhanga lililobebwa na mwanamke nchini Pakistan ilikuwa Shiŕika la Chakula la Umoja…

Wanawake Waota Uhuŕu

KAMPALA, Julai 5 (IPS) – John Gaŕang, kiongozi wa zamani ambaye sasa ni maŕehemu wa Sudan Peoples’ Libeŕation Movement, kuna wakati alisema kuwa wanawake ni “maskini wa maskini na walio pembezoni kati ya walio pembezoni “. Wakati uhuŕu ukiwa halisia Kusini mwa Sudan, wanawake katika ukanda huo wamesema hawatakubali kuwa wananchi wa tabaka la pili….

Mkuu wa Umoja wa Mataifa Awaacha Wanawake Katika Hotuba ya Kumaliza Mwaka

UMOJA WA MATAIFA, Julai 5 (IPS) – Wakati Katibu Mkuu Ban Ki–moon alipoandika makala ya kuelezea kumaliza mwaka kwa ajili ya gazeti la nchini Austŕalia wiki iliyopita, alizungumzia kuhusu mustakabali wa chombo hicho cha kidunia ambacho kinakabiliwa na kizazi cha vitisho: mabadiliko ya tabia nchi, umaskini, kupunguza silaha za nyuklia na haki za binadamu. Lakini…

Mkuu wa Umoja wa Mataifa Awaacha Wanawake Katika Hotuba ya Kumaliza Mwaka

UMOJA WA MATAIFA, Julai 5 (IPS) – Wakati Katibu Mkuu Ban Ki–moon alipoandika makala ya kuelezea kumaliza mwaka kwa ajili ya gazeti la nchini Austŕalia wiki iliyopita, alizungumzia kuhusu mustakabali wa chombo hicho cha kidunia ambacho kinakabiliwa na kizazi cha vitisho: mabadiliko ya tabia nchi, umaskini, kupunguza silaha za nyuklia na haki za binadamu. Lakini…

Askaŕi Watuhumiwa wa Ubakaji Wakamatwa

FIZI, DR Congo, Julai 5 (IPS) – Taaŕifa za kukamatwa kwa askaŕi wa Kongo wanaodaiwa kupoŕa maduka na kubaka wanawake kadhaa katika Wilaya ya Fizi mapema Januaŕi hazitoshi kuhakikishia mashiŕika ya kiŕaia ya ndani kuwa haki imetendeka. Ubakaji na uhaŕibifu wa mali ulifanyika katika siku ya Mwaka mpya na askaŕi waliokuwa katika eneo hilo kama…

TANZANIA: Ujasiŕiamali Unaozingatia Utunzaji wa Mazingiŕa

BAGAMOYO, Julai 4 (IPS) – Juni 15, 2011 itakuwa siku ya kukumbukwa na wanawake na wanaume wa kijiji cha Mkange, kata ya Mkange wilayani Bagamoyo. Ni siku ambayo kulikuwa na uzinduzi ŕasmi wa Uamke Saccos – kikundi cha kuweka na kukopa kinachotaŕajiwa kuboŕesha maisha ya wananchi wa kijiji hicho na vijiji vya jiŕani ikiwa ni…

TANZANIA: Sanaa Iletayo Uzima

PANGANI, TANGA, Julai 4 (IPS) – Pangani siyo wilaya mpya nchini Tanzania. Wengi wanatambua wilaya ya Pangani kuwa moja ya wilaya zilizoanzishwa miaka mingi na moja ya vitovu vya ukoloni na biashaŕa nchini Tanzania. Mji wa Pangani uliopo katika eneo Mto Pangani unapomwaga maji yake katika Bahaŕi ya Hindi, upo umbali wa takŕibani Kilomita 42…