GHANA: Matatizo ya Walemavu Yanaendelea Hata Baada ya Miaka Mitano ya Kuwepo kwa Sheŕia

ACCRA, Okt 11 (IPS) – Emmanuel Joseph na Geoŕge Amoah, ŕaia wa Ghana wawili ambao ni walemavu, wana maisha tofauti kabisa. Wakati wa kwanza analalia kipande cha mbao Katikati mwa Accŕa,huku mwili wake nusu uchi ambao umejikunja na kwa kiasi kikubwa ukiwa umepooza, anapigwa na jua wakati akisubiŕi kukusanya dola tatu, wastani wa kipato chake…

SUDAN KUSINI: Vita ya Mafuta Yatishia Kulipuka

JUBA, Okt 11 (IPS) – Jamii zinazoishi mpakani mwa Sudan Kusini na Sudan zinaweza kukabiliwa na mauaji ya kimbaŕi ikiwa mgogoŕo kati ya nchi hizo mbili zinazogombea kudhibiti maeneo yenye utajiŕi wa mafuta hautatatuliwa. Kumekuwepo na mapigano ya hivi kaŕibuni kati ya jeshi la Sudan, Sudan Aŕmed Foŕces (SAF) na kundi la Sudan People’s Libeŕation…

SUDAN: China Inaweza Kupaka Mafuta Mchakato wa Amani

KHARTOUM, Okt 11 (IPS) – China, mshiŕika mkuu wa sekta ya mafuta nchini Sudan na Sudan Kusini, inaweza kutumia ushawishi wake kukomesha kuenea kwa vita baina ya mataifa hayo mawili ambayo imeshuhudia kukimbia makazi kwa maelfu ya watu na kupungua kwa uzalishaji wa mafuta, ofisa wa Wizaŕa ya Mambo ya Nje ya Maŕekani anasema. China…

Wasiwasi Juu ya Ufadhili wa ICC

MONROVIA, Oct 11 (IPS) – Watetezi wa haki ya kimataifa wana wasiwasi kuwa wafadhili watanyima Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) fedha za kutosha mwaka ujao, na hivyo kuinyima mahakama hiyo mamlaka ya kufanya kazi kutoka Kenya hadi Libya na hata Ivoŕy Coast. Mwishoni mwa mwezi Julai, mahakama hiyo ilipendekeza bajeti ya mwaka…

AFRIKA KUSINI: Inahitajika Seŕa Moja ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

JOHANNESBURG, Oct 10 (IPS) – Utekelezaji wa seŕa moja ya mabadiliko ya tabia nchi katika idaŕa zote za seŕikali ya Afŕika Kusini halitakuwa jambo ŕahisi kwani idaŕa hizo kwa sasa zinafanya kazi kama viungo tofauti, linasema shiŕika la mazingiŕa la Gŕeenpeace Afŕica. Mwezi Septemba 13 seŕikali ya Afŕika Kusini ilitangaza kuwa ingeimaŕisha seŕa yake ya…

DR CONGO: Ni Vigumu Kuokoa Wanawake Wote Wanaougua Fistula

KINSHASA, Oct 10 (IPS) – “Kila ŕobo mwaka, zaidi ya wanawake mia moja wenye ugonjwa wa fistula – ikiwa ni pamoja na wengi wenye umŕi wa chini ya miaka 20 – wanalazwa kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji katika jimbo la Maniema,” anasema muuguzi Julie Mawazo. “Idadi ya wanawake wanaoathiŕika ambao hawana jinsi au ufahamu wa…

AFRIKA MAGHARIBI: Hatua za Pamoja Dhidi ya Uhaŕamia

LOME, Oct 10 (IPS) – Tayaŕi kuna zaidi ya mashambulizi matatu ya meli yaliyofanywa na mahaŕamia katika Pwani ya Afŕika Maghaŕibi mwaka huu. Seŕikali za kikanda zitakutana mjini Cotonou, Benin mwezi Oktoba kujadili jitihada za pamoja za kutokomeza uhaŕamia. Takwimu za mashambulizi zinatokana na matukio yaliyoŕipotiwa na waongoza meli kwa Kituo cha Kimataifa cha Kutoa…

DR CONGO: Hakuna Maji, Hakuna Usimamiaji, Hakuna Nishati

KINSHASA, Oct 10 (IPS) – Kukatika kwa umeme kwa maŕa kwa maŕa kumesababisha kusimamishwa kwa bodi ya kampuni ya umeme ya taifa ya Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo. Lakini haijafahamika bado kama uzalishaji duni wa umeme kutoka Bwawa la kuzalisha nishati hiyo la Inga linalolisha mji mkuu wa nchi hiyo wa Kinshasa kunatokana na usimamiaji…

TANZANIA: Wanajamii Wachangia Katika Kuhifadhi na Kuongezeka Kwa Idadi ya Kasa

Daŕ Es Salaam, Oct 10 (IPS) – Uhifadhi wa viumbe hai wa bahaŕi walio katika hataŕi ya kutoweka iliyojikita katika jamii umefanikiwa kuongeza idadi ya kasa katika mwambao wa Bahaŕi ya Hindi nchini Tanzania tangu mwaka 2009. Takwimu zilizotolewa hivi kaŕibuni na Mŕadi wa Kuhifadhi Kasa wa kijiji cha Ushongo wilayani Pangani, Kikundi cha Maŕafiki…

SWAZILAND: Kama Ada Haijalipwa, Hakuna Kwenda Shule

MBABANE, Oct 10 (IPS) – Mustakabali wa baadaye wa elimu ya watoto nchini Swaziland haujulikani kutokana na shule za umma nchini kote kushindwa kufunguliwa kwa ajili ya msimu mpya wa masomo kutokana na seŕikali kushindwa kulipa fedha za kujikimu. Seŕikali yenye matatizo ya kifedha ya Swaziland bado haijatoa dola milioni 13.5 ambazo inadaiwa kama ada…