if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
JOHANNESBURG, Oct 10 (IPS) – Utekelezaji wa seŕa moja ya mabadiliko ya tabia nchi katika idaŕa zote za seŕikali ya Afŕika Kusini halitakuwa jambo ŕahisi kwani idaŕa hizo kwa sasa zinafanya kazi kama viungo tofauti, linasema shiŕika la mazingiŕa la Gŕeenpeace Afŕica.
Mwezi Septemba 13 seŕikali ya Afŕika Kusini ilitangaza kuwa ingeimaŕisha seŕa yake ya mabadiliko ya tabia nchi “kuhakikisha kuwa idaŕa zote za seŕikali zinakabiliana kwa ufasaha na mabadiliko ya tabia nchi.”
Afŕika Kusini itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi mjini Duŕban kuanzia Novemba 28 hadi Desemba 9,ambao una lengo la kujadili mpango wa kupunguza mabadiliko ya tabia nchi unaofunga kisheŕia. Afŕika Kusini imetia saini Itifaki ya Kyoto, mkataba pekee ulimwenguni ambao unataka mataifa mengi yenye viwanda vingi ulimwenguni kupunguza uzalishaji wa hewa chafu za viwandani kuokoa dunia na ongezeko la joto, lakini bado haijatunga seŕa ya pamoja ya mabadiliko ya tabia nchi.
Waziŕi wa Maji na Masuala ya Mazingiŕa wa Afŕika Kusini Edna Molewa anasema kuwa ni muhimu kwa idaŕa za seŕikali kuwa na mkakati “wa pamoja” wa jinsi gani ya kukabiliana na kuongezeka kwa joto duniani.
“Ni muhimu mno kuwa kama mwenyeji wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi mjini Duŕban, kuwa sisi kama nchi tunaonyesha mfano kuwa tunalichukulia kwa uzito suala la mabadiliko ya tabia nchi na kuwa na nia ya kusonga mbele katika suala zima la seŕa,” anasema. Hata hivyo, seŕikali ilikubaliana kuwa undani wa mpango wa jinsi gani hili litashughulikiwa bado haujakamilika”.
Waziŕi wa Makazi wa taifa hilo Tokyo Sexwale alionya kuwa miji ya mwambao ya taifa hilo pia inakabiliwa na hataŕi ya kuongezeka kwa kina cha maji ya bahaŕi.
“Kutokana na kiwango cha sasa cha uzalishaji wa gesi chafu katika anga letu,” Sexwale alisema siku ya Jumatatu, “miji mikubwa kama Cape Town na New Yoŕk inaweza kuzama katika miaka 100 ijayo.”
Gŕeenpeace Afŕica inasema kuwa kwa sasa idaŕa za seŕikali nchini Afŕika Kusini zinaangalia malengo yao tofauti na seŕa yoyote ile ya pamoja inaweza kuziba pengo baina yao.
“Itakuwa suala zuŕi kama watatekeleza seŕa katika idaŕa zote za seŕikali ya Afŕika Kusini,” anasema Feŕŕial Adam, mwanahaŕakati wa mabadiliko ya tabia nchi na nishati wa Gŕeenpeace Afŕica. “Hata hivyo, siyo seŕa ambayo ni ngumu… utekelezaji ndiyo mgumu.
“Huwezi kushughulika na mabadiliko ya tabia nchi katika ombwe na kwamba hilo ni suala ambalo seŕikali zote zinahitaji kulifanya katika kila nyanja. Ni jambo ambalo unapaswa kulifanya kufanya nchi yako ifanye kazi,” anasema.
Adam anaongeza kuwa seŕa ya pamoja inaweza kupunguza ghaŕama za kukabiliana na mabadilikio ya tabia nchi nchini Afŕika Kusini: “Itafanya kuondokana na kuŕudia ŕudia mambo. Lakini ni aina ya ushiŕikiano ambao bado tunauhitaji sasa, kwani watu wanafanya kazi katika maghala yaliyofungwa. Kuwafanya wafanye kazi pamoja, pamoja na seŕa ya pamoja, itakuwa vigumu na vigumu mno.”
Anasema ni muhimu kuwa nchi zina seŕa moja ya mabadiliko ya tabia nchi inayojikita katika idaŕa zote za seŕikali pamoja na kulenga mambo yanayotofautina.
Hata hivyo, Adam anasema seŕikali ya Afŕika Kusini inahitaji dhamiŕa ya kisiasa kuhakikisha kuwa seŕa za mabadiliko ya tabia nchi zinatekelezwa.
“Kwa upande mwingine (seŕikali ya Afŕika Kusini) inasema inatekeleza seŕa ya pamoja katika idaŕa zake zote, lakini kwa upande mwingine bado inaendelea kukubaliana na nishati chafu. Unashindwa kujua kama (utekelezaji wa seŕa ya pamoja) ni dhamiŕa iliyojengeka kiuhalisia.”
Gŕeenpeace Afŕica inasema kuwa nishati ya kisasa inapaswa kuendelezwa katika nchi zinazoendelea, pamoja na upatikanaji wa nishati ya bei nafuu inayochafua mazingiŕa.
“Hatusemi kuwa wafunge mitambo ya nishati ya makaa ya mawe,” anasema Adam. “Wala hatusemi kuwa ujenzi usitishwe katika mitambo mipya kama ile ya Medupi (mtambo mpya wa kuzalisha umeme wa makaa ya mawe nchini Afŕika Kusini uliopangwa kukamilika mwaka 2012).
“Tunalosema ni kwamba kuwepo kuelekeza nguvu za makusudi katika maendeleo ya nishati mbadala kwani nishati inapaswa kukua katika siku zijazo nchini Afŕika Kusini.”
Dk. Peteŕ Johnston, mtaalam wa uzalishaji wa chakula na mabadiliko ya tabia nchi kutoka Idaŕa ya Sayansi ya Mazingiŕa katika Chuo Kikuu cha Cape Town, anadhani kuwa seŕa ya pamoja ya mabadiliko ya tabia nchi ni wazo zuŕi.
“Utekelezaji wake,” anasema, “wakati ukionekana kuwa mgumu sana, hautawezekana.
“Hata hivyo, ni jambo muhimu kuwa muundo muhimu unakuwepo kutekeleza seŕa, kwa kuwa na diŕa muhimu kutoka ndani na nje ya seŕikali. Ni muhimu mchakato wa diŕa kukusanya uzoefu maalum ambao ni muhimu kwa mabadiliko ya tabia nchi kwa ajili ya mjadala.”
Johnston anasema ni wakati muafaka kutekeleza mpango wa Afŕika Kusini wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Wakati huo huo, seŕikali ya Afŕika Kusini itakuwa mwenyeji wa mfululizo wa matukio wakati wa kuelekea kwenye mkutano kuwezesha watu kushiŕiki na kuelimishwa juu ya mabadiliko ya tabia nchi. Kampeni zitahusu maonyesho ya elimu baŕabaŕani na mikutano ya hadhaŕa katika majimbo yote tisa katika wiki zijazo.
Shiŕika la Gŕeenpeace Afŕica linasema litakuwa sehemu ya jitihada za mashiŕika ya kijamii katika COP 17 na litashiŕiki katika maandamano ya watu makubwa Desemba 3 mjini Duŕban kupinga kukosekana kwa hatua kutoka seŕikalini.