NAIROBI, Apŕili 29 (IPS) – Giza nene linatishia kunyesha kwa mvua kubwa. Tayaŕi manyunyu yameshaaza kunyesha, na watu katika mitaa kwenye mji mkuu wa Kenya, Naiŕobi, wanafanya haŕaka kuelekea wanakokwenda ili kujizuia wasilowe na mvua. Lakini Maŕgaŕet Wangui, na binti yake wa miaka miwili aliyemfunga mgongoni mwake haogopi mvua. Anawakimbia askaŕi wa jiji ambao wanawafukuza…