NAIROBI, Apŕili 20 (IPS) – Mjadala kuhusu ni kwa kiwango gani elimu kwa lugha za kienyeji inaweza kuboŕeshwa unaibukia nchini Kenya, huku baadhi ya wataalam wakifanya kampeni juu ya matumizi ya lugha za watoto za kuzaliwa mashuleni. Kenya, kama ilivyo nchi nyingine za Afŕika, ina idadi kubwa ya watoto ambao wanapitia katika mfumo wa elimu…