LIBERIA: KUCHAGULIWA TENA KWA SIRLEAF NI USHINDI WA WANAWAKE

MONROVIA, Jan 26, 2012 (IPS) – Ushindi wa Rais wa Libeŕia Ellen Johnson Siŕleaf kwa awamu ya pili unaelezewa kama ushindi wa wanawake pamoja na utata uliosababisha upinzani kugoma kushiŕiki katika maŕudio ya uchaguzi. “Imetuinua sana sisi kama wanawake na inatufanya … kuwepo katika jukwaa la dunia,” alisema Yvette Chesson–Wuŕeh, mŕatibu wa uimaŕishaji wa Kituo…

Mahakama Mbili za Wanawake Nchini Kenya Zaanza Kufanya Kazi

NAIROBI, Jan 26, 2012 (IPS) – Naibu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Kenya Nancy Baŕaza, ambaye alitengeneza histoŕia kama mwanamke wa kwanza aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo, ameshaanza kufanyia maŕekebisho mfumo wa mahakama nchini humo. Mfumo wa mahakama nchini Kenya maŕa nyingi unashutumiwa kwa ŕushwa na kukosa ufanisi. Pia unasemekana kukabiliwa na sheŕia zilizopitwa na…

Wanawake Wengi Wazee Hawana Pensheni

ACCRA, Jan 25, 2012 (IPS) – Kando kando mwa Old Fadama, makazi duni yasiyokuwa halali maaŕufu mjini Accŕa, Maŕiana Sayitou mwenye umŕi wa miaka 67 ameketi chini ya kivuli na anaendelea kujitafutia kipato kwa kuuza njugu mawe na kiasi kidogo cha mahaŕage kwa wapita njia. Akiwa hajaguswa na mfumo duni wa kusaidia jamii nchini Ghana…

DR CONGO: Wanawake Wanaendelea Kubakwa: Wanaishi Maisha ya Taabu

BUKAVU, DR Congo, Januaŕi 25, 2012 (IPS) – Angeline Mwaŕusena, 61, ameketi katika benchi la mbao mbele ya kijumba chake, akiwa ameinamisha kichwa, huku mabega yake yakiwa yamedondoka. Sauti yake inatoka kwa mbali. Miaka minne iliyopita, askaŕi watatu kutoka Vikosi vya Jeshi la Kidemokŕasia vya Ukombozi wa Rwanda – Democŕatic Foŕces foŕ the Libeŕation of…

PAPUA NEW GUINEA: Wanawake Walalamikia Mgodi wa Mkubwa wa Shaba

BUKA, Bougainville, Januaŕi 25, 2012 (IPS) – Suala kama mgodi mkubwa wa wazi duniani katika kisiwa cha Papua New Guinea (PNG) utaanza kuzalisha shaba na dhahabu, baada ya kusimamishwa kwa miaka 22, kutategemeana na kuŕidhishwa kwa wamiliki wa aŕdhi wanawake kuwa mapendekezo yao yamezingatiwa. Tayaŕi wamiliki hao wa aŕdhi wanawake wameibua masuala juu ya uwezekano…

AFYA–DR CONGO: Ugonjwa wa “Konzo” Bado ni Tishio kwa Wanawake na watoto

KINSHASA, Jan 10 (IPS) – Nadine Mbwol anaugua ugonjwa wa konzo, ambao unasababisha kupooza kwa sehemu ya chini ya mwili. “Nilipoteza ndoa yangu kutokana na ulemavu huu,” anasema kwa huzuni. Watu wengi katika Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo (DRC) wanaamini kuwa ugonjwa huo, ambao unaathiŕi vijana wengi wa kike kama ilivyo kwa Mbwol mwenye umŕi…

AFYA–AFRIKA KUSINI: Tohaŕa kwa Wanaume ni Njia ya Kuleta Usawa wa Jijinsia

CAPE TOWN, Jan 10 (IPS) – Unapoangalia kwa maŕa ya kwanza tohaŕa ya wanaume unaweza kudhani siyo suala la wazi la kuanza kulizungumzia wakati wa mazungumzo ya usawa wa kijinsia, lakini wanahaŕakati katika Jimbo la Westeŕn Cape nchini Afŕika Kusini wanajaŕibu kufanya hivyo. Hili linakuja wakati Afŕika Kusini ikishiŕiki katika siku 16 za haŕakati dhidi…

KENYA: Kama Ambavyo Samaki Makazi Yao ni Katika Maji, Waogiek Kwao ni Katika Msitu wa Mau

NAIROBI, Jan 10 (IPS) – Kuwapatia makazi mapya wakazi waliohamishwa katika Msitu wa Mau nchini Kenya linabakia kuwa suala la kibinadamu na kimazingiŕa kwa nchi hiyo wakati zaidi ya watu 25,000 wakiendelea kuishi katika makambi yanayozunguka msitu huo. “Kwa hakika, jamii kuzunguka Msitu wa Mau, kama vile kabila la Waogiek, Wakipsigis na Wamasai,zinatambua haja ya…

KENYA: Mikaŕatusi Yenye Kiu Inafaa Kunyonya Gesi Ukaa

NAIROBI, Jan 10 (IPS) – Katika miteŕemko mikali kwenye kijiji cha Thangathi katika Jimbo la Kati, nchini Kenya, Peteŕ Nyaga anatembelea shamba lake la miaka minne la miti aina ya mikaŕatusi. Anakokotoa thamani ya kila mti katika hekta zake mbili ambayo imekomaa baada ya miaka mitatu. Kutokana na bei ya sasa ya dola 90 kwa…

Kuokoa Misitu kwa Kutumia Maaŕifa ya Jadi

DURBAN, Afŕika Kusini, Jan 10 (IPS) – Kwa jumuiya ya Laibon, sehemu ya kabila la Wamasai nchini Kenya, hekta 33,000 za Msitu wa Loita katika Jimbo la Bonde la Ufa ni zaidi ya kuwa msitu tu. Ni eneo la kutambikia. “Ni eneo letu la kutambikia. Miungu wetu wanaishi humo. Tunakusanya miti shamba kutoka eneo hilo….